natabiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sergio 5

    Waandishi wa habari, wasanii na influencers wataomba kufanya kazi tume ya taifa ya uchaguzi

    Waandishi wa habari Tanzania na reporters kujumlisha na wasanii na influencers wengine watakuwa ndiyo wanaomba na kufanya kazi cha tume ya taifa ya uchaguzi kama waalimu na watendaji
  2. Hance Mtanashati

    Natabiri machafuko yataendelea tena na tena. Watanzania wameshapata starting point

    Baada ya kuona vurumai lililotokea usiku wa leo na chap hatua za haraka zimechukuliwa ikiwemo kuwatengua baadhi ya staffs na kuongeza mwendokasi ,ili kupunguza mihemko kwa wananchi. Kiuhalisia tunaweza kusema sasa wameshaanza kuzibuka masikio maana ilikuwa kila wakiambiwa wanatia pamba...
  3. Zanzibar-ASP

    NATABIRI: Hema la Mwamposa la Dar (Kawe) litageuka kuwa gofu kama lile hema lake kule Moshi (Memorial)

    Siku ya jana, kiongozi wa kidini, Boniface Mwamposa akiongozwa na rais wa Tanzania, Samia Suluhu amezindua hema la kisasa na kubwa la thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 15 za kitanzania. Kumbukumbu zinaonyesha, miaka kadhaa nyuma, Boniface Mwamposa aliwahi kusimika hema kubwa kiasi katika...
  4. M

    Natabiri: Hotuba ya Rais Samia atalazimika kuitataja No reforms mara nyingi kushinda hata uchache wa alichofanya kwa awamu yake hii!

    Tega masikio utaniambia niko paleee!
  5. Mvinyo mpya

    PreGE2025 Paul Makonda anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

    Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
  6. endesha

    Natabiri hili kutokea kwenye mikutano ya CHAUMMA

    Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja. Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa. Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na...
  7. Magical power

    Natabiri kwa watu 21 kuinuka kiuchumi kabla mwezi huu haujaisha. Pokea kuinuka!

    Natabiri kwa watu 21 kuinuka kiuchumi kabla mwezi huu haujaisha. Pokea kuinuka!
  8. Amo1

    Watanzania inabidi tuwe wazalendo tuipende nchi yetu kwanza halafu vyama baadae

    Wakuu Ipo siku sisi kama watanzania tutaruhusu nchi yetu iingie katika kipindi kigumu zaidi Cha kiutawala ambapo tutajikuta tumeruhusu kutawaliwa na mtu asie mtanzania halisi bila sisi kujijua kwa sababu tunaonekana hatuna uzalendo kabisa. Imefikia wakati watu Wanapenda vyama kuliko kuipenda...
  9. T

    Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

    Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe. Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani. Israel amemtwaa mchezesha ngoma na...
  10. M

    PreGE2025 Predection: CCM itashinda zaidi ya 90%- 2025

    Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia." Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data) Researcher anaweza kutumia aina ya Machine learning moja, 2 au 3 ili kuweza kutabiri (Predection) kwa jambo litatokea...
  11. Mudawote

    Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

    Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na...
  12. sonofobia

    Natabiri Yanga vs Mamelod kukosa watazamaji uwanja wa Mkapa

    Kama kawaida sisi mashabiki wa Yanga sio watu wa kwenda uwanjani ni wazuri wa kelele barabarani na kwenye vijiwe. Wakati wenzetu Simba wakijaza uwanja kama kawaida yao sisi hatutajaza na tutakuja na visingizio kibao na lawama kwa uongozi. Daima mbele nyuma mwiko.
  13. M

    Natabiri Yanga kutolewa na Mamelodi kwa jumla ya Magoli 7-1

    Jinsi wanavyojiona ni timu tishio kisa tu walimfunga simba kwa kubahatisha goli 5-1 , hawa watatolewa kirahisi sana na Mamelod. Kwa mkapa watapigwa 3-1 na kule south watapiwa kama walivyopigwa na CRB plus goli 1. Wao wanafikiri mfano wakikutana na simba nusu itakuwa ni rahisi kuitoa simba...
  14. T

    Natabiri tena mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri

    Natabiri huenda kutakuwa tena na mabadiliko madogo kwenye wizara nyeti mbili kama sio tatu. Katika mabadiliko hayo mawaziri wawili watapumzishwa na kuwekwa mawaziri wengine. Upo uwezekano Mkuu kufanya uteuzi maalumu kwa sababu Pana za kimasilahi ya Taifa. Utabiri huu utatimia pale itampendeza...
  15. Jidu La Mabambasi

    Natabiri tu. Baada ya uongozi wa Rais Samia, Waziri Mbarawa anaweza kushitakiwa

    Hili suala la Bandari na DP World bado ni bichi na linavuja damu. Natabiri tu, baada ya muhula wa mama, Prof. Makame Mbarawa anaweza shitakiwa kwa uhujumu uchumi. Prof Mbarawa hana kinga. Natabiri tu.
  16. The Assassin

    Natabiri Elon Musk wa Tesla/Twitter kumpiga KO Mark Zuckerberg wa Facebook kwenye Pambalo lao la Masumbwi

    Matajiri wawili Duniani, Bwana Elon Musk na Mark Zuckerberg wamekubali kuzichapa kavu kavu kwenye ulingo uliofungwa, caged match siku zijazo mjini Nevada. Binafsi natabiri Elon Musk kumfumua Mark kwa KO. --- Mr Musk posted a message on his social media platform Twitter that he was "up for a...
  17. GENTAMYCINE

    Natabiri mapema hapa Mtoto Mmoja wa Marehemu Kuteuliwa nyadhifa za Serikalini / Siasa

    Katilka nafasi za DAS au RAS au DED au DC au RC na hata Ubunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais aliyeko. Na hili linaweza kufanyika ndani ya Miezi Sita au Kenda (Tisa) au hata Miezi Kumi na Mbili ijayo ili Kuwafariji na Kubebana. Uzi wangu huu Utunzwe tafadhali.
  18. R

    Huu ni mwezi mtukufu, natabiri Rais Samia atachukua point zote tatu atakapoulizwa kuhusu ndoa za jinsia moja

    Huu ni mwezi WA toba Kwa Wakristo na Waislam; Ni mwezi ambao Tanzania inategemea kupata ugeni wa Makam wa Rais wa USA na moja ya Jambo linalosumbua katika safari yake ni hoja ya mahusiano ya jinsia moja. Hatuna shaka kwamba Mhe. Rais wetu atakutana na swali linalohusu msimamo wa Tanzania kama...
  19. G

    Leo ni siku ya uchaguzi Nigeria, Ijue Nigeria kwa jinsi makundi ya ukanda, udini na ukabila yanavyopewa uzito kwenye siasa

    >> MOVED
  20. FOX21

    TANESCO haina mipango mizuri na sisi

    Ndugu zangu watanzania kwanza hiwapongeza kwa uvumilivu mlio nao na matarajio ya kuuona mwaka mpya🎇🎇🎆. Nasikitika kuwambia ndugu zangu kuna huyu nyang'au anaejiita TANESKO hana mipango mizuri na sisi. Wote tunatamani kuupokea mwaka miji yote ikiwa imechangamka kwa burudani za kila aina. Ila...
Back
Top Bottom