Niko bar na mama yenu, nashindwa kabisa

Niko bar na mama yenu, nashindwa kabisa

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Aisee nipo hapa kama unaenda huku kushoto na mama yenu. Yaani inapita mizigo ya hatari hatari hadi roho inaniuma.

Picha linaanza pembeni kuna mimama saizi yangu kabisa nabaki naikodolea tu.

Kuna muhudumu mmoja kaamua kunivalia aisee ni shida mara mia nane.

Naangalia kwa wiziwizi nakaribia kuumia shingo
 
mwambie mama ako hivo shame on you.
 
Aisee nipo hapa kama unaenda huku kushoto na mama yenu. Yaani inapita mizigo ya hatari hatari hadi roho inaniuma.

Picha linaanza pembeni kuna mimama saizi yangu kabisa nabaki naikodolea tu.

Kuna muhudumu mmoja kaamua kunivalia aisee ni shida mara mia nane.

Naangalia kwa wiziwizi nakaribia kuumia shingo
Amka utajikojolea mkuu
 
Back
Top Bottom