GE2025 Nape: Watanzania msinunue ugomvi wa kisiasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
972
Reaction score
1,946

Mgombea ubunge wa jimbo la Mtama Nape Moses Nnauye amewaasa watanzania kutokushawishika na kununa ugomvi wa kisiasa kwani ni hatari kwa maslahi ya nchi Nape Nnauye ameyasema hayo katika program yake maalumu aliyoianzisha ya kupita kijiwe hadi kijiwe na kuongea na wananchi wa marika mbalimbali kuhusu masuala ya siasa, program hiyo inajulikana kwa jina la Kijiweni na Kaka Mkubwa.
 
Huko kijiweni anatamanisha waungwana wampige ndo ajue watu wamechoka ufala wao..!!
Muache aendelee akifika cha ukucha asilete taharuki
 
Mgombea ubunge wa jimbo la Mtama Nape Moses Nnauye amewaasa watanzania kutokushawishika na kununa ugomvi wa kisiasa kwani ni hatari kwa maslahi ya nchi Nape Nnauye ameyasema hayo katika program yake maalumu aliyoianzisha ya kupita kijiwe hadi kijiwe na kuongea na wananchi wa marika mbalimbali kuhusu masuala ya siasa, program hiyo inajulikana kwa jina la Kijiweni na Kaka Mkubwa.
Ila ugomvi wa kifisadi ruksa
 
..kuna ugomvi wa uchaguzi.

..Nape anasema wananchi wasinunue ugomvi.

..Kwa maana nyingine anashauri wananchi wasiende kupiga kura.
 
Ninachoshangaa ni hao watu waliokaa hapo wanamsikiliza.

Wamekaa kabisa kitako wanamsikiliza huyo jamaa?

Watu wana moyo sana.
 
Mgombea ubunge wa jimbo la Mtama Nape Moses Nnauye amewaasa watanzania kutokushawishika na kununa ugomvi wa kisiasa kwani ni hatari kwa maslahi ya nchi Nape Nnauye ameyasema hayo katika program yake maalumu aliyoianzisha ya kupita kijiwe hadi kijiwe na kuongea na wananchi wa marika mbalimbali kuhusu masuala ya siasa, program hiyo inajulikana kwa jina la Kijiweni na Kaka Mkubwa.
Issue sio kununua ugomv nape!
Issue ni kwamba serikali yenu haifanyi kazi inavopaswa!

Ajira hamna,hali ya maisha imekuwa ngumu mno ilhali ufisadi wa hali ya juu unafanyika wazi wazi na watawala.
Utekaji na mauaji hakuna anayezungumzia, lini Raisi kakemea ufisadi hadharani,hamna mtu atakuwa mjinga kias hicho kila siku!
 
Ninachoshangaa ni hao watu waliokaa hapo wanamsikiliza.

Wamekaa kabisa kitako wanamsikiliza huyo jamaa?

Watu wana moyo sana.
Jana nilipita njia ya kibo kuelekea kimara nikaona maandamano ya kitila mkumbo. Bodaboda wanamchekea chekea kama waxenge. Hii nchi watu wanalalamika mitandaoni tu lakini wakionana na hao viongozi face to face wanakua mafala
 
Huyu ndio amekuja kijiweni nakaa kwa mbali namlenga na manati chapa kwenye kisogo hapo avuje damu asahau kilichomleta. Takataka kabisa.
 
Mgombea ubunge wa jimbo la Mtama Nape Moses Nnauye amewaasa watanzania kutokushawishika na kununa ugomvi wa kisiasa kwani ni hatari kwa maslahi ya nchi Nape Nnauye ameyasema hayo katika program yake maalumu aliyoianzisha ya kupita kijiwe hadi kijiwe na kuongea na wananchi wa marika mbalimbali kuhusu masuala ya siasa, program hiyo inajulikana kwa jina la Kijiweni na Kaka Mkubwa.
Mzee wa goli la mkono!
Wako HOI! DHARAU, VITISHO, UTEKAJI, UNYANYASAJI, KUTESA NA KUUWA HAKUJAWASAIDIA!
NA BADO!
 
Bumunda

Back
Top Bottom