nape

  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    My Take Cheo ni dhamana, maisha yaendelee 🙏🙏👇👇 === Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt, Moses Kasiluka, viongozi hao ni kama...
  2. Informer

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Najua nitateuliwa! Wakituchokoza, tutashughulika nao (VIDEO)

    Nape akijigamba: Maneno aliyoyatoa mbele ya Waziri Mkuu jimboni Mtama
  3. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na sababu ya msingi kumtimua Nape?

    Kama hali ya kuzuia shughuli za kisiasa ndiyo hii na kukamata viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani ndiyo huu, kosa la Nape ni nini? Nape alitamka kuwa mshindi katika uchaguzi hatokani na sanduku la kura, na huo ndio ukweli kwa nini Samia akamtimua kwa kusema ukweli?
  4. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Nape atahadharisha kufanywa kwa siasa za kijinga, asema zitagharimu roho na damu za watu

    Nimekutana nahii post kwenye mitandao ya kijamii kwenye akaunti yenye jina la mbunge wa Mtama ikitahadharisha watu kufanya siasa za kijinga akidai zitagharimu roho za watu na damu. Je post hii ni hali halisi na imechapishwa na Nape mwenyewe?
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

    Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi. Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia. Rais Samia hatoboi 2025. Pia Soma - Breaking News: -...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nape na Janu hawatapata hata udiwani mwaka 2025, Mwigulu endelea kuwa makini!

    Dkt. Mwigulu wewe unatakiwa kucheza vizuri tu na watu wako ambao wanasemwa semwa kuwania ubunge jimboni Iramba, usijaribu kumpuuza Prof. Kitila Mkumbo na Gwajima pia. Wapo kadhaa na wengine wameshajitambulisha mpaka level ya kitaifa chamani. Sitawataja hapa lakini jua wapo na ni watu smart kweli...
  7. kyagata

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Nape Nauye?

    Wakuu Toka Rais wetu Kipenzi Daktari Samia Suluhu afanye mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuamua kumpumzisha Ndugu Nape Nauye,hatujamuona wala kumsikia hadharani mwanasiasa huyo machachari. Je Nape atakua yuko mapumzikoni wapi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA fanyeni mbinu zote mumnase Nape; ni msema kweli. Kaondolewa Uwaziri kwa kusema ukweli

    Bila kuwachosha kichwa habari kunajitosheleza. Si watz wanataka wasema Ukweli. Basi nape ni msema ukweli. Ccm hawawapendi wasema ukweli. Hivyo upindazi na hasa chadema achague hii karata. Mtakuja kunishukuru. Mbinu zote za ushindi anazijua
  9. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Nape Nnauye apewe tuzo ya Uzalendo

    Ujasiri aliyo onesha ni wakupigiwa mfano. Lile Gari ni kwaajili ya Waziri na si vinginevyo hivyo baada ya utumbuzi ilitakiwa alikimbize parking sio kubeba mtu ambaye hana cheo chochote wizarani. Kuna watu unaweza kuwapa lifti ukaishia kukabwa na kuibiwa maana wana uzoefu wa wizi na utapeli.
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Isingelikuwa ni wazee wao, akina Nape wangekuwa wapi kwa sasa?

    Mzee Kikwete, Mzee Yusufu Makamba, na Mzee Kinana, naamini wana mchango mkubwa katika mafanikio ya kisiasa ya: 1. Nape Nnauye 2. January Makamba 3. Riziwani Kikwete Hivi isingelikuwa hao wazee, watajwa wangekuwa wapi kwa sasa? Wangekuwa juu sana kisiasa na kiuchumi? Wangekuwa chini sana...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nape kutumbuliwa ni sawa, lkn kutelekezwa na dereva akiwa bado anatoa tuzo ukumbini siyo sawa

    Kuna video clips zinatembea zikionesha gari ya serikali iliyo na plate namba ya waziri wa habari na mawasilno ikidondoka muda mfupi tu baada ya taarifa za kutumbuliwa kwa Nape kuwekwa mitandaoni. Wakati huo Nape ndiyo alikuwa meza kuu akigawa tuzo kama mgeni rasmi, na hata hotuba alikuwa bado...
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Video: Nape aanza kuimba nyimbo za injiri baada ya kutumbuliwa

  13. R

    JamiiForums Tanzania Nani anafahamu kampuni au ofisi inayomilikiwa na Nape au Makamba? Kama hawana ofisi watakubali kuishi bila kazi ya uteuzi?

    Viongozi wengi wa kisiasa Tanzania hasa wa chama tawala hakuna kumbukumbu zao za kumiliki biashara wala ofisi au kampuni. Mfano Nape na Makamba tofauti na kazi ya ubunge qwalipaswa kumiliki kampuni na ofisi kwa ajili ya kuanza kufanya kazi kipindi hiki ambacho wametambuliwa. Kukosa ajira ya...
  14. olimpio

    JamiiForums Tanzania Kutaka kuiua eGA na kuipa tender NMB za TEHAMA inaaiwa kumtoa Nape

    Mwaka mmoja na miezi yakutosha niliwahi kuwajulisha juu ya njama za kutaka kuua eGA, Watu kadhaa inadaiwa walikua nyuma ya carpet wakiandaa mikakati hio. Hivi karibuni inadaiwa watu hao walifikia 98% kuiua eGA, wazalendo wa Makumbusho wakaokoa jahazi dakika za jioni sana (Hongera sana kwao)...
  15. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape Nnauye tutakukumbuka kwa ubunifu katika sekta

    Mheshimiwa Waziri (Mstaafu) [MB] ulikua mbunifu sana katika sekta ya Mawasiliano. Toka Uhuru hakuna Waziri aliyewahi kupanda kwenye minara ya Mawasiliano Ila wewe umeweza. Na umeacha alama. Hongera Sana na mapumziko mema ya kustaafu Uwaziri. Endelea Kula mema ya ubunge mpaka Wananchi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape na makamba kurudi CCM kuchukua Nafasi za uenezi na ukatibu?

    Nape na makamba kurudi CCM kuchukua Nafasi za uenes na ukatibu. Baada ya Tenguzi katika nafasi zao za Uwaziri January Makamba na mwenzake Nape watapangiwa majukumu katika Chama kutokana na uzoefu wao katika kazi hasa nyakati za uchaguzi mkuu.
  17. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Nape Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi na sasa Bahari ipo shwari

    Mbio za sakafuni huishia ukingoni. Kiko wapi sasa? Magufuli alikunyofoa si kwa bahati mbaya Bali alikuona wewe hufai. Ukaishia kumtukana na kumkejeli. Leo Kiko wapi? Mwenyezi mungu kaamua ugomvi sasa karibu kwenye benchi. Wewe umejaa dharau,mikogo na mipasho tu kazi huwezi. Ona sasa ulivyoaibika...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nape kwahiyo ulikuwa unasubiria Utumbuliwe jana na Rais Samia ndipo Uufunge ghafla Mtandao wako wa X ( zamani ) Twitter?

    Kutenguliwa ni jambo moja, lakini kutenguliwa ukiwa katikati ya shughuli za nafasi uliyotenguliwa kwayo ni jambo lingine, hiki ndicho kilichomkuta aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ambaye si mara yake ya kwanza. Taarifa ya kuondolewa kwa Nape katika...
  19. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je, January na Nape ndio Tume ya Uchaguzi?

    Januari na Nape kuondolewa sio faraja kabisa kuelekea Uchaguzi, Hivyo tutafakari ya mwaka 2015 walio yafanya tunaweza kujiuliza ni kweli wameondolewa au watanzania wamefanyiwa kiini macho, Hao vijana ni hatari sana mfumo unaweza kuwa unahadaa umma sio rahisi kihivyo kabisa katikati ya nyakati...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nimechukia Rais kuwatoa kwenye nafasi za uwaziri Nape Nnauye na January Makamba

    Shalom, Nape Nnauye na January Makamba wametolewa kwa visa vya wazanzibar kutaka kujiwekea mizizi ya vita ya kutawala Tanganyika na kuiba na kupora rasilimali na mali za Tanganyika. Watanganyika amkeni. Ujumbe wangu kwa Nape Nnauye na January Makamba nawapenda na sitawaacha tumekua pamoja na...
Back
Top Bottom