nape

  1. L

    JamiiForums Tanzania Unafikiri Nape Nnauye amemaanisha nini kwenye ujumbe huu aliouandika?

    Ndugu zangu Watanzania, Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako. Huu hapa ujumbe wenyewe 👉 Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukisikiliza maneno ya Nape, DC Longido, Polepole na sasa Naibu Waziri Sangu lazima ukubali No Reform No Election ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania.

    Baada ya kusikiliza clip ya maongezi ya Naibu Waziri wa Utumishi Bw. Deus Sangu ambaye pia ni mbunge wa CCM jimbo la kwela, na zile nyingine za Nape, DC Longido na Humprey Polepole kuhusu CCM wanavyoshinda uchaguzi utakubaliana na mimi kuwa No Reform No Election ni mpango wa Mungu kuikomboa...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pasaka ni Sikukuu ya Ukombozi na Ushindi Dhidi ya Dhulma, Je Tuitumie Kuombea Uchaguzi Uwe Huru na wa Haki, au Uwe Kama Kawa, Kama Alivyosema Nape?.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo ambayo ni Sikukuu ya Pasaka. Pasaka ni sikukuu ya ukombozi na ushindi dhidi ya dhambi zozote ikiwemo dhambi ya dhulma ya uchaguzi, Je tuitumie Pasaka hii kuombea uchaguzi wetu uwe uchaguzi huru kweli na wa haki kweli, au...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape: Wapinzani wanapinga lakini wanapanga foleni kuchukua pembejeo za bure

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi mwenye usikivu mkubwa kwa wakulima wa korosho, akisisitiza kuwa pembejeo za bure alizotoa kupitia serikali yake ni uthibitisho wa dhamira ya kweli ya kuwawezesha wakulima nchini. Akizungumza Aprili 12, 2025...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nauye hii ndiyo legacy yako? tunakulilia kwa kuuwa TTCL yetu

    Kutokana na report ya CAG Shirika la TTCL chini ya waziri Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano limeongeza hasara kutoka Sh 4.32billioni mwaka 2022 hadi 27.7billioni mwaka 2023 licha ya serikali kufanya uwekezaji mkubwa. Kazi ya kwanza ya waziri Nape alipochukua wizara ilikuwa ni kufukuza...
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape Nnauye na January Makamba mfumo wa utawala wa sasa umewakataa. Nendeni upinzani mungu atawatokea mkiwa huko huku hata bungeni hamrudi 2025!

    Za ndaani kabisa ni kwamba Nape na January pamoja na wabunge 15 wa CCM hawatarudi Tena bungeni hata kama watashinda kura za maoni na kupitishwa na wajumbe,wakiwamo pia mbunge wa Sumbawanga Mjini, Mbunge wa Chato, mbunge wa Kilolo, mbunge wa Kigoma Mjini na aliyewahi kuwa spika hawatarudi kabisa...
  7. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Nape kapotelea wapi?

    Mwamba kapotelea wapi? Madaraka haya aisee kama nguo ya kuazima
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nape Moses Nauye Katibu Mkuu mpya wa CCM, Pole pole Mwenezi huku Makongoro Nyerere akiwa RC Dsm

    Tunapoelekea uchaguzi mkuu safu mpya zinazokuja kuziba mapengo ni pamoja na Nape kuchukua nafasi ya Nchimbi huku Pole pole akirejea nchini kumsaidia Kazi Mzee Amos. Makongoro Nyerere anakwenda kuchukua jiji la DAR. Mzee Januari anarudi kusimamia Muungano
  9. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Nape ndiyo bye-bye

    Kama sikosei, Dk Nchimbi na Nape haziivi tokea enzi zile walipokuwa UVCCM. Dalili zi wazi, Dk Nchimbi anaelekea kuwa mtu mkubwa sana ndani ya Nchi hii huko mbele. Kwa muktadha wa mahusiano yao ya huko nyuma ni wazi Nape hana chake tena. Hongera Dk.
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Nape na Makamba waongezwe kwenye timu ya wasimamizi wa uchaguzi wa CHADEMA

    Hii ni kwa sababu wao kama wanaCCM hawana upande wowote ndani ya CHADEMA hivyo itazuia malalamiko yoyote toka kambi ya Lissu au Mbowe. Nape na Makamba ni wazoefu wa mambo ya uchaguzi hivyo watawasaidia sana wenzetu wa CHADEMA kwenye uchaguzi wao hasa kwenye kuhakikisha usalama wa kura. CHADEMA...
  11. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape Nnauye amtabiri mshindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa bila goli la mkono

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri . Ameibuka kibabe na kutoa uchambuzi wake mfupi na tathmini yake fupi juu ya nani anakwenda kuibuka kidedea katika...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: Nape apiga kura Serikali za Mitaa Jimboni Mtama, atinga na pikipiki

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amepiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo Wagombea wote wakubali matokeo. "Watu wamejitokeza kwa wingi hilo jambo linafurahisha, nataka kutoa wito kwa Wagombea wote wakubali matokeo sababu hii...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Huyu Nape Nnauye ndio kutuita wananchi Nungaembe! "Mkiweka Nungaembe ni Hasara"

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye katika eneo la Kiwalala katika Jimbo la Mtama Mkoani Lindi, amefunga mkutano wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoani Lindi na kuwataka Wananchi wajitokeze kwa wingi kesho kupiga kura huku akionesha...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Rukwa: Nape awataka Wagombea kufanya Kampeni kwa Amani

    Nape Moses Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa (MNEC) alipokuwa akifungua mkutano wa uzinduzi wa kampeni hizo Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Rukwa aneeleza kuwa ni muhimu wagombea kufanya kampeni kwa amani.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Nape effect: Kosa la Nape ni kuzungumza ukweli kuhusu chaguzi za Tanzania. Hajawakosea wananchi, amewakosea wenye mamlaka

    Nape kwa asili ni mtu mwenye mizaha, tabia hii imemsaidia kwingi lakini pia imemuumiza katika mambo mengi. Sio mara ya kwanza kwa Nape kutoa kauli zenye utata kuhusu ushindi wa CCM dhidi ya Upinzani Tanzania. Mwaka 2015 aliwahi kutamka kuwa CCM itashinda hata kwa bao la mkono. Mwaka 2020 katika...
  16. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ofisi ya Taifa ya Takwimu: Watanzania wasipotoshwe, walioandikishwa daftari la Mkaazi uchaguzi wa Serikali za Mitaa wote wana sifa

    https://m.youtube.com/watch?v=y9oF0mu09zQ Mtakwimu mkuu wa serikali atetea takwimu zilizotolewa na TAMISEMI kuhusu waliojitokeza kujiandikisha katika daftari la mkaazi, lililo maalum kwa ajili ya kuweza kupiga kura November 27, 2024 katika uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya Nape, Makamba who's next, Bashe?

    Salaam, Shalom!! Utulivu kiasi umeendelea kutamalaki mioyoni mwa Watanzania wenzangu baada ya kuondoshwa Kwa waliokuwa mawaziri vijana wa Makamo / Wazee wachanga, Nape Nnauye na January Makamba. Hivi sasa, amebaki mmoja au wawili watatu kuelekea u haguzi mkuu, Leo tumwongelee mmoja, Ndugu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Nape na Mkuu wa Wilaya ya Longido kuwa serikali ya CCM inalazimisha ushindi katika uchaguzi zinahalalisha kuindoa CCM madarakani kwa nguvu

    Kawaida, chama cha siasa kilichopo madarakani kwa kuchaguliwa ki-demokrasia, hakipaswi kuondolewa madarakani kwa nguvu. Uhalali wa kuiondoa serikali madarakani unapaswa uwe kupitia sanduku la kura katika uchaguzi wa kidemokrasia, na kama kuna ukiukwaji wa haki za uchaguzi, mfumo wa sheria wa...
  19. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania kwa nini ishu ya watu kutekwa lawama haziendi kwa waziri husika bali ni Raisi moja kwa moja ? Mbona umeme na bando walikuwa wakilaumiwa Makamba& Nape

    Wasalaam wanaJf , Sijaona uzi hata mmoja wa kumlaumu waziri husika wala kupewa masharti ya kujiuzulu kama ilivyokuwa kwa Makamba na Nape. Swali langu ni hilo !
  20. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Nape, Makamba, Kinana, Wamasai, Chadema na hasira za kutemwa=FURAHA YA WAPIGAJI?

    Boss lady atambue, hana uwezo wa kupambana na hila za wafitini wakimwamlia. Kasi yake ya kuongeza u hasama inaendelea kushika kasi kwa mwendo kasi wa ajabu! Kasi yake ya kujiongezea maadui inatishia mno salama yake ki siasa. Nahofia hao hapo juu wakiungana kwa minajili ya kumdhoofisha ama...
Back
Top Bottom