Wakuu kwanini msikae kimya tu hata kama mnamchukia? Huu ni wakati wetu wa kutamba na mama yetu. Nyie tulieni ikifika zamu yenu mtatamba na wakwenu.
Mnanikosesha amani, nikiongea mnaanza kuniita Ponjoro wa Kinondoni , jina sio baya sana ila mtulie nasisi tule keki ya taifa, tukishiba mtakuja na...
SIO VIKOBA TUU
Wakuu,
Mambo yanaendelea kuchangamka ni hatari, hii ndiyo ile hamsini kwa hamsini hakuna kuacha gap, nilijua ni kwenye Vikoba tu kumbe ni muendelezo wa kukaba maisha yaendelee
Mtaani hakuna kupoa
Hili kundi bado lipo nyuma sana kifikra.
Wapo bize hapa wamejazana kwa Mtendaji Kata warudishe barua za maombi ya kusimamia Uchaguzi Mkuu.
Naambiwa leo ndio mwisho, kwanini kada nyingine hazijichoreshi namna hii kama hawa ndugu zetu?
Mwenzenu nawaza fursa tu, si unajua pesa ya kutegemea mbaya..
haya tuachane na hiyo😊
Bunge hiloo linaenda zake, je huwa wanautaratibu wa kutoa zile Samani zake? Maana ni almost 5 years nadhani wanatumia, kama wanauza tupeni network jamani tukapambanie, hata pcs 100 tu.
Kwanza tunapunguza nuksi...
Kwema wanajamii forum, Moja kwa moja kwenye mada kwanini hizi gari zinatoka japan nyingi kama sio zote zinakuja na ile screen inakuwa na ramani za miji na navigations za japan kwa huku Bongo watu wengi hawazitumii na zinakuwepo tu kama pambo au kwa hapa bongo hakuna fundi wa kuwepa shapefiles za...
Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.
Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.
Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno
Nikiazima hela yake kama nina...
GT
Jamani jamani mambo ya asili yabaki kuwa ya asili miaka nenda rudi bulabo ni Tamasha lilioasisiwa na kanisa pamoja na kabila la wasukuma hapo Mwanza.
Leo nimeshangaa mno kuona hali ilivyokuwa kugeuzwa Tamasha hili uwanja wa siasa ni aibu kwa kweli. Inawezekan hata na ubongo wa waafrika una...
Kama ulikuwa ushahidi wa kutunga, ushahidi alioutoa akija on a latter date for cross examination , atakuwa amesahau! na hivyo unamkanyaga kisawasawa.
Sasa kwanini Kibatala alikuwa nakataa?
Ni mara 100 zaidi hata angenitumia mbuzi au kuku ningejua baada ya muda watazaliana na biashara itakuwa.
Kanitumia muziki wa youtube, leo siku ya 3 kuna views 600,
kakomaa sana na muziki, wazazi na ndugu tumemuasa lakini wapi, hasikii wala haoni kwenye muziki. anapost sana status za one day...
Hawa watu kila kukicha na Africa,sijaona TLS wala wanasheria wa EALS wakitoa neno lolote kuhusu Los Angeles,hata kwa majirani zetu wanaharakati kimya,wapi TLS,wapi EALS.Wapi Kajunjumele.
Wana JF,
Kila ukiona wapiga kura wa DSM hasa wilaya za Kinondoni na Ubungo, wengine na wakina na tai shingoni walivosukumizwa kwenye yale mabasi kama matenga ya vitunguu naona kama kampuni inayoyaendesha either imeshakufa au haina muda mrefu.
Hivi huyo mkurugenzi huwa anajipimaje utendaji KAZI...
GT
Pesa ni hatari sana. Ndo maana hata kwenye bibilia pesa imeandikwa kumsaliti yesu. Viongozi wenye njaa wanaenda kulitumbukiza taifa hili katika matatizo Makubwa sana.
Wale wa wa upande ule ambao walikatazwa kuwa na familia nadhani waliona mbali sana maana kuepuka maslahi binafsi ni kazi...
Naona kwa sasa nchi inaelekea kwenye uponyaji wa kweli baada ya watu wengi kuondokana na tabia ya kuogopa na sasa wanaongea wazi-wazi.
Watekaji wasiojulikana wanakazi ya kuteka wananchi wote wanaopenda haki, mabadiliko ya sheria za uchaguzi, tume huru ya uchaguzi, nk.
Kila siku umeme unakata asubuhi unarejea saa mbili usiku hakuna taarifa hakuna lolote hii inaitwa "mtajijua" sijui kwanini tunateswa namna kwenye nchi yetu !!!
Ukiinhia kule X naona wote kuanzia Dalali wao Zitto Kabwe ni full shangwe kwamba leo wana mpokea Kigoho, je ni nani huyo?
1. Sugu?
2. Gwajima?
3.Mbowe?
4.Yeriko Nyerere?
5. Wenje?
6. Wale Covid 19? mmoja wao?
Nazani hapo kuna mmoja wao na kwa Gwajima nitaeleza baadae.
Jamani dunia ya sasa mambo yanaenda kwa kasi ya ajabu kwa kila sekta, pia na maarifa ya naongezea kwa kasi na ni rahisi kupatikana, na watu wanazidi sana kuwa na akili kupita kawaida.
Je nawe umeona hili, mwisho wa haya itakuaje?
Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga.
Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka...
Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekani🙄
Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk..
Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza...
Naomba nijue isije siku nikalitumia sehemu isiyofaa..
NB: kuna mtu inbox aliniambia sijui kuchakata mbususu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.