Habari zenu?
Nina mchumba tuko nae kwenye mahusiano huu ni mwaka wa nne.
Sasa imefikia wakti wa kwenda kumtambulisha kwa wazee home ila naona aibu kumtambulisha kwa ndugu na jamaa zangu sababu ya historia ya hilo kabila kuwa mbaya kwenye mahusiano.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumtambulisha ili...
Bado Mbowewe. Namshauri Mbowewe asifanye hivyo. Bado akitubu na kumrudia Mungu anaweza akawa na mawazo chanya.
Najua haitajiki na walio wengi, but time heals!
Akienda CCM ni uchuro!
Ya Chauma yameisha....DEAD ALREADY
Ukiwasikiliza wagombea wetu hasa wa urais ambao ni wa chama kimoja japo wanajionyesha kama wanapingana wakati lao moja, huoni sera zaidi ya sura. Wakiahidi, unashindwa kuelewa kama ni nani kati ya mataahira kati yao na wapiga kura.
Mgombea wa urais anakwambia nitafanya hili au lile bila...
Siasa za Marekani zimegeuka na kuwa kama za Afrika ndani ya muda mfupi. Bw. Trump kila ambaye anapingana naye basi anakuwa mbaya na waliomzunguka sharti kumsifia tu kama machawa. Siasa zimekuwa ni kuwatuhumu Demos ambao wengi wanakuwa referred kama the lefts na kila baya anawatuhumu wao
Zamani...
Huu ni mtazamo wangu:
Kama ambavyo kiongozi wa nchi akifariki, wahusika huhitaji kujipanga kabla ya kutoa tamko kwa umma sababu ikiwa ni kuweka mambo sawa kabla ya kutangaza kifo cha Rais.
Kwa msingi huo, hata taasisi Kama benki ambayo watu wengi wametunza fedha zao, inapokumbwa na tishio...
Natamani sana sasa CCM tuanze Rasmi Kampeni. Maana naona bado tunatest mitambo. Kumepoa sana huko Tanzania na kwenye mitandao.
Chauma wametulia nadhani wanajipanga namna ya kuanza Kampeni maana nao ni muda sana toka kipindi kile wanazunguka zunguka kutafuta wanachama.
ACT Zitto Kabwela...
( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee
Salaam wana jamvi.
Mara trekta milioni 10.
Mara kusikiliza kero kidigitali.
Mara nishati Safi ya kupikia.
Tena mitaa ya viwanda sijui...
Tuendelee kuchapa kazi kulijenga Taifa.....
MImi naona Kuna shida kwenye system ya vyeti vya kuzaliwa na Nida mfano taarifa zote zinazopatikana kwenye NIDA Zipo kwenye vyeti tena nida iko na Tarifa nyingi na za muhimu kuliko NIDA ss kwa nini kila ofisi ya serikali utakayoenda wanatak cheti cha...
Unajua binadamu tuna roho ya kutamani zaidi hata kumuangusha yule unayemtamani ili ushikilie wewe.Hapa kuna mada nyingi ambazo kama mapenzi,biashara,ajira,vyeo na n.k katika maisha kuna mtu anatamani hawe yeye sio wewe.
Sasa tuliyeaye alishamaliza hilo na sasa anatamani hata vyote tulivyo navyo...
Mda mzuri wa kuwachanganya watawala weusi nguvu za giza ni zile mada unaleta usiku.Wazungu na waarabu na wa asia ukifatilia walivyokuja afrika waliingia usiku au kuna pambazuka na ili ndio watu weusi kushtuliwa usiku.
DMZ ni code ya kijasusi
Yule mtu nilitaka kumjibu lakini naona posting yake chafu imeondolewa.
Yule mtu alikuwa anasema amefanya ngono ya jinsia moja.
Yule mtu atakwenda motoni kufuatana na kosa alilofanya.
Sasa tuone kosa lipi la zinaa alilofanya na atakwenda Motoni wapi.
Yule hakuweka dudu lake katika mdomo wa...
Nimeshindwa jinsi ya kuupata ule uzi niliweka hapa miaka kama mitatu imepita. Kwamba procurement officer wa mizigo alikuwa Sabaya.
Ndio maana alijiamini sana ndugu Sabaya.
Haya sasa, na inasemekana Harakaraka yuko waya mkali. Anakula booster kila siku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.