Mzimu wa Ramaphosa waibukia Los Angeles

Mzimu wa Ramaphosa waibukia Los Angeles

anthopody

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2024
Posts
262
Reaction score
183
Hawa watu kila kukicha na Africa,sijaona TLS wala wanasheria wa EALS wakitoa neno lolote kuhusu Los Angeles,hata kwa majirani zetu wanaharakati kimya,wapi TLS,wapi EALS.Wapi Kajunjumele.
 
Muwe mnaandika habari kamili, keywords Ramaphosa - Mzimu - Los Angeles. Kafanya nini!?,lini?,wapi na nani!?.. tatizo mnakimbilia kuwa wa kwanza kuanzisha thread bila kurudia kusoma ulichoandika kabla ya kupost,au umekurupuka usingizini!?
 
Mtoto: Baba ananipiga sana, anatuteka na kutuua. Nazuiwa kueleza shida zetu kwenye alahiki tunapigwa sana.

Baba: Hapàna mtoto wangu ni mwongo.

Rafiki wa Baba: msikilize mtoto na kumpa haki za kuchagua katika haki na uwazi. Pia komesha vikundi vinavyohusika kwenye mambo ya kudhulumu haki za wananchi wanaopaza sauti zao kuhitaji haki.

Mtoto: Rafiki wa Baba unamwonea Baba, mbona watoto wako nao wanapigwa kama sisi? Tuache tunampenda babayetu hatakama anatuua hivyo.

Mtoto ni punguani.
 
Back
Top Bottom