naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Naona sera ya CHADEMA, No reform No election ni ngumu sana

    Nimeona sugu ameitisha press, na kuwaambia waandishi wa habari kwamba atagombea ubunge 2025 October, Naona hii italeta mpasuko mkubwa ndani ya Chama, wanachama wengi wanaona kama Wana nafasi ya kuingia bungeni 2025, lakini maono ya viongozi wao wanaona ya kwamba hata kama wakiingia ulingoni...
  2. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Naona ndoto yangu kumiliki ndege yangu binafsi ikizama

    Sio kunguru wala bundi ni ndege aka aeroplane kwa lugha ya kihaya Hivi wakuu kweli nishindwe kumiliki hata hutu tundege tudogo tunapitaga hapo juu hadi unaona ngondi za suka anakanyagia klachi kwa chini😭😭😭 Kwani vinauzwa shingapi hivi wajameni? nikiingia hapo crdb nikope sivuti kamoja...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Naona kama DSTV TANZANIA MMEWAZOEA WATEJA WENU................

    Sianzi na salam sababu ya jazba ............hivi hawa mbwa wanajikuta nani?? Yaani mmelipwa pesa na huduma mmekata.........mnadhania pesa ni ya mababa zenu??...........hii kampuni sio international bora hata mngeweka ofisi yenu tandale ................huduma kwa wateja namba haifanyi...
  4. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania Naona sasa uchawa umezidi hapa nchini. Nashauri serikali ya CCM ianze kugawa tuzo za machawa

    Kulikua na haja gani mheshimiwa chawa kuvaa nguo ya aina hii? Hakika Anko Magu alituingiza choo cha kike.
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Naona 500 ndiyo sarafu pekee imebaki mtaani

    Sijaona sarafu nyingine. Hata vitu kununua bei zinapangwa kuanzia 500. Labda viwili miatano au vitatu 1000. Ni ishara ya mfumuko wa bei?
  6. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Mzee mmoja alikuwa haudhurii misiba leo kafariki, kinachoendelea hapa naona ni msiba wa familia tu

    Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli za kutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali. Sasa ya Mungu mengi bwana leo...
  7. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

    Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu. Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho upate alert na wengine weeengi sana. Wiki kadhaa zimepita toka nilete mikasa yangu na mazonge ya...
  8. Powder

    JamiiForums Tanzania Naona Kocha wa Fountain Gate kaamua kuwatafutia Simba Hili.

    Kwa kuwaambia Wachezaji wake kipindi Cha pili wafunguke mwanzo mwisho.
  9. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

    Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri. Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Bado naona Salum Mwalimu akiwa hajatumika ipasavyo CHADEMA, bado ana vitu vingi vya ku-offer

    Wakati Lissu na timu yake wakiandaa mikakati mbalimbali bado naona anahitajika mtu Kama Salim Mwalimu katika safari ya ukombozi . Nimemfahamu Salim Mwalimu tangia akiwa Vodacom katika idara ya masoko na pia nimewahi kufanya nae kazi katika taasisi Fulani . Ni Kijana smart ,humble and goal...
  11. Vitu Vingi

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal Login na Registration - Naona ni Changamoto Kwa Baadhi ya Vijana

    Katika pita pita zangu hapa jamii forums, haswa katika jukwaa hili la ajira na tenda... moja kati ya mambo ambayo nimeyagundua ni kuwepo kwa changamoto kwa vijana (haswa ambao ni wapya katika soko la ajira), ama wakiwa hawafahamu ajira portal ni kitu gani, ama wanashindwa kujisajili na baadhi...
  12. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Washa VPN, X naona ina kamzozo

    Naona mtandoa wa X unasumbua washeni VPN
  13. Mjasiri na Mali

    JamiiForums Tanzania Wapendwa naona kama mwisho wangu umekaribia

    Habari za wakati huu, Sijui wapi pa kuanzia Ila tangia mwaka 2018 niliamua kuacha kazi na kuanza maisha ya kujiajiri. Kazi niliacha baada ya kuona biashara zangu zingine ndogo ndogo zinalipa Ila changamoto ilikuwa ni kukosa usimamizi nzuri. Pia sababu nyingine ilikuwa kutoelewana na...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya kumiliki EV naona inayeyuka. Anaehusika na kuset kikokotoo TRA amelisikia ombi, ila kapunguza Milioni 2.5 tu!

    Niseme tu 2025 kumiliki EV yangu ya kwanza kushakauka kama hivi. Baada ya kukesha na kuomba muhusika wa TRA acheki vizuri kikokotoo nilete Nissan Leaf nisupport juhudi za green environment na kuwaunga mkono TANESCO naona mission imefeli. Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA nayo naona ina mfumo wa kulindana. "Kunya anye Kuku akinya bata Kaharisha"

    Hamjambo wote Bila Shaka. Lissu amezidi Kuonyesha rangi halisi za CHADEMA. Kwa kweli Watanzania wengi hawakutegemea haya wanayoyaona kwenye Chama hiki. Lissu hacheki na wowote. Lisu hana mawe mawili ya Kupimia. Yeye Mla Rushwa na CHADEMA ni sawasawa na mla Rushwa wa CCM. Wote ni wla Rushwa...
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza jezi ya Madrid ila naona website haifunguki

    Wakuu nataka kuagiza jezi original ya Madrid ila Kila nikifungua website Yao haifunguki Hawa jamaa shida itakua nini naombeni anaejua maana Nataka kuagiza jezi tatu zote wakuu
  17. Be calm

    JamiiForums Tanzania Naona mmetoboa 2025

    Mshukuruni Mungu....enendeni 2025 na moyo mkunjufu. Mwenyezi Mungu akafanikishe kila mlipiganialo maishani. Mkawe na afya, mkastawi. Nawapenda sana.🤞
  18. econonist

    JamiiForums Tanzania Naona Leo polisi wameruhusu maandamano ya Mbowe

    Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbowe, Lema, Sugu na wenje mbali na siasq wanaweza kufanya kazi gani? Lisu naona yuko katika genge la wahuni na zero brains.

    Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba. Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbowe, Lema, Sugu na wenje mbali na siasq wanaweza kufanya kazi gani? Lisu naona yuko katika genge la wahuni na zero brains.

    Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba. Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
Back
Top Bottom