Naona Tv imaan ishageuka machawa na wao

Naona Tv imaan ishageuka machawa na wao

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
456
Katika juhudi za kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia kilimo cha kibiashara, mkoa umeanzisha shamba la pamoja la kahawa lenye ukubwa wa ekari 300 katika kijiji cha Makongora, wilayani Muleba, likihusisha vijana 300 waliopatiwa mafunzo na nyenzo.

Aidha, kongani 4 za vijana zimeanzishwa katika wilaya za Missenyi, Bukoba, Muleba na Kyerwa, ambapo jumla ya vijana 180 wamewezeshwa kujiajiri na pia kuwaajiri wengine kupitia shughuli mbalimbali za kilimo na uzalishaji.

FB_IMG_1754233446816.jpg
 
View attachment 3429818
Tasaf ni Genge la wahuni wakubwa .
Kama Tasaf ingekua na nia njema tangu ilipanzishwa mpaka leo nchi hii isingekua na maskini .

Wafanyakazi wa Tasaf wanajitajirulisha kwa muda mfupi sana huku walengwa wakiwa wanabaki kwenye umaskini ule ule miaka baada ya miaka .

Yaani eti semina ya kuzitambua kaya maskini ,inafanyika mwezi muzima . Watu wanalipana zaidi ya elfu 80 kwa siku . Baada ya semina hiyo kuisha , Bibi kizee asiye na mtu wa kumtegemea wala kumtunza anapewa elfu 20 kwa Mwaka mzima .
Hakuna Vyombo vya dola wala Takukuru wanaofuatilia . Wote wapo bize kuangalia nani anayeikosoa seikali ya CCM
 
Hapo Imaan TV waambie wasitumie vitu au bidhaa za makafiri uone Imaan TV na Radio kama hazijapotea hewani😁😁😁😁 Wanawaita watu makafiri wakati akili wanazo za kujitawazia ili waingie msikitini😁😁😁
Mfano.
Windows Operating system,
Android Operating, Gmail, Yahoo
Microsoft Office, Chrome, telegram, WhatsApp, YouTube, Facebook hivi ni vichache tu
 
Hauna

akili na haujielewi! Wasitumie wakati wenzio wanafanya biashara? Usiwe na akili za kijima za kuwadha udini tu focus na maisha yako huo upumbavu na ujinga wako wa kidini hauwezi kukuletea chakula mezani.Hao founder wa hizo mambo hata kanisani tu hawaendi wenzio wapo kibiashara we unawaza udini tu waAfrika sie wapumbavu aisee
 
Mtume Mohamad angekuwa na akili angejua kusoma na kuandika. Tangu utoto mpaka utu uzima unashindwa kujifunza kujua kusoma na kuandika? Petro kabla ya mtume Mohamad alikuwa anajua kusoma na kuandika ila mjinga mmoja tu ambaye anajiita mtume na hajui kusoma na kuandika

Umeandika kwa kutumia akili za kujitawazia ili uingie msikitini😀😀😀😀😀
Nyie si mnawaita watu makafiri wakati mna akili za kujitawazia tu😀😀😀
Waambie waislamu wenzenu wasitumie bidhaa, huduma au vitu vya makafiri muone kama mtaendelea kuwaita watu makafiri😀😀😀😀
 
Hauna akili na haujielewi siwezi kubisha na mjinga mmoja kama wewe nakutupa kwenye ignore list 🦟🦟🦟
 
Mjinga ni mtume Mohamad ambaye tangu utotoni mpaka uzeeni hajui kusoma na kuandika.
Uislam umeanza 610A.D na kipindi cha B.C watu walikuwa wanajua kusoma na kuandika ila mpuuzi mmoja anazeeka hajui kusoma na kuandika halafu anajiita mtume na alioa kitoto cha miaka 9 ambapo kwasasa angekuwa anatumikia adhabu ya miaka 30 jela kwa ubakaji
Huu muda wa kubishana na watu ungekuwa unajifunza lugha ya bwana wako Muarabu ili akhera upate kuelewana vizuri na Allah usije kunyimwa mabikra 72
 
Attachments

  • downloadfile-1.png
    downloadfile-1.png
    627.4 KB · Views: 21
Back
Top Bottom