naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni tupige hesabu, Kila mbunge akipewa milioni 400, jumla ni shilingi ngapi zinachotwa kwenye kodi zetu ?

    Ni matusi kukiita kiinua mgongo kwasababu hata watumishi waliofanya kazi miaka 30+ katika taasisi kubwa kama Benki kuu, TRA, Bandarini, Tanapa, n.k. wengi sana hawapati hicho kiasi, Kuna jumla ya majimbo mangapi yenye wabunge Idadi ya wabunge Viti maalum Idadi ya wabunge wanaochaguliwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni content ya kipekee isiyoboa kama vile drip check ya msanuaji

    Kuna watu Wana bahati sana wamejipata mfano NI Yule msanuaji wa clouds anafanya drip check kuwauliza wasanii bei ya nguo walizovaa..kwangu me naona jamaa ana kazi nzuri kwani haiboi yaani kila siku unaweza kuisikiliza.sasa Mimi sio comedian na sipendi zile pranks sasa kuna sehemu naenda hivi nje...
  3. JamiiForums Tanzania Waumini wa Kilutheri naombeni mnisaidie kujibu maswali haya muhimu sana

    Shalom wakuu, Naomba kama kuna Mchungaji wa Kanisa la Kilutheri humu(KKKT) au muumini mbobezi anisaidie kunijibu maswali haya; 1.Kwenye Kitabu cha Tumwabudu Mungu wetu ukurasa wa 489 kuna Imani ya Athanasio Mtakatifu(Quicunque vult) Je huyu Mtakatifu Athanasio ni nani na kwanini imani hii...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni sana mwenye Aya kamili ndani ya Quran ambapo Mungu amebainisha wazi wazi kuwa Mohamed ni Nabii wake wa mwisho

    Weka Aya usije na ubishi
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri WA haraka

    B
  6. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni mchanganuo wa kupaua hii nyumba

    Ramani
  7. JamiiForums Tanzania Naombeni majina mawili pacha ya kikristo la mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" Liishie na "N"

    Habari ndugu zangu Wakuu naombeni majina ya kikristo mawili ya mapacha, mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" na mwisho liishie na herufi sound " N" "Likianza na "Jo" lika sound mwisho "N" itakua unyama zaidi maana mbegu na mayai tumeunga j & n mwanzoni ningependa na watoto wa anze na...
  8. JamiiForums Tanzania Naombeni tofauti ya hizi kozi mbili

    Wakuu natanguliza shukrani kwenu. Naombeni mnipe tofauti ya hizi KOZI mbili ambazo ni 1.Barchelor of arts in community development 2.Barchelor of community development Hizi KOZI mbili zinatolewa kwenye vyuo viwili tofauti moja chuo cha ardhi na nyingine ni SUA. Naombeni mnisaidie utofauti...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndoto ni ya ajabu mno naombeni maana yake

    Inaanzia nikiwa eneo ninalifahamu nikaenda kunywa supu anaye pika supu namfahamu ni kweli anauzaga supu na huwa nakunywa mara kadhaa asubuhi nikiwa kazini. Sasa nilipofika kwenye sufuria ya supu tulikuwa watu kama 3 hivi wenzangu wakachota na kuanza kunywa ila mm kila nikichota ile supu ilikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni kitu cha kusoma

    Habari wana jf kuna dogo kamaliza form 4 mwaka jana .kaniombs ushauri wa kitu cha kusoma mm nimeshauri aende veta tu. Dirisha likifunguliwa kama kunaushauri tofauti na wangu naomba unisaidie tumshauri dogo ufaulu wake nika ifuatavyo phy d mth f cv f kxw f bio c geo c chem d lit d hixtr c .pia...
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Suluhisho la Maji ya Chumvi kwa Kutumia Teknolojia ya Reverse Osmosis.

    Habari wanajukwaa, Nipo kwenye eneo ambalo maji ni changamoto kubwa sana, tatizo kubwa ni kwamba maji yanayopatikana hapa ni ya chumvi (hayafai kunywa moja kwa moja, pengine hata kuoga wala kufulia). Kutokana na hali hiyo, nimekuwa na wazo la kuanzisha huduma ya kusafisha maji kwa kutumia...
  12. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Good morng Ase hii kitu ina ni kwaza sana since nipo mdogo up now tena kipindi nipo mdogo nilikuwa sitamani usiku ufike kabisa ipo hivi Usiku nikiwa nimelala naweza amka katikati ya usiku nikawa macho up saa kumi au saa kumi na moja na hapo unakuja usingizi ule mzito sana then na muona mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Naombeni support yenu wana jamiiForums

    Habari zenu ndugu zanguu Naitwa Michael Godfrey Kutoka Transpark Solution Marketing agency. Taaluma yetu ni kusaidia biashara yako kupata wateja zaidi kupitia promesheni, branding, na digital marketing. Tunaweza kukusaidia kuongeza mauzo. Naweza kukuelezea jinsi tunavyofanya kazi kama...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo. HGL division II ya point 10, ni kozi ipi yenye future ya kujiajiri ama kuajiriwa?

    Na kama nitapatiwa na jina la chuo inapopatikana hiyo kozi, itapendeza zaidi. Natanguliza shukurani.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

    Habari zenu wakuu Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 Na kubahatika kupata 1.9 Katika process ya kuomba vyuo, nikaja kupata round ya 3 ambayo ndo ya mwisho kabisa chuo cha kampala, kozi MD. Sasa ndugu zangu, mm kwetu hoehae,uchumi ni mdogo sana kuweza kumudu hizo garama za ada ambayo ni...
  16. JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri ya huu wimbo kwa muktadha wa siasa za Bongo

    https://youtu.be/mpNrmB_Qe6U?si=mbUaIlbrDNWvaiyY
  17. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakuu

    Wadau wa elimu, naombeni ushauri. Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma muajiriwa. Nahitaji kufanya program nyingine tofauti na ualimu ili nifanyiwe recategorization. Ni ipi program kwa halmashauri ninayoweza kupata recategorization kwa urahisi kati ya hizi. 1.Bachelor of social work(OUT)...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Wadau wa elimu, naombeni ushauri. Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma muajiriwa. Nahitaji kufanya program nyingine tofauti na ualimu ili nifanyiwe recategorization. Ni ipi program kwa halmashauri ninayoweza kupate recate kwa urahisi kati ya hizi. 1.Bachelor of social work(OUT) 2.Bachelor of...
  19. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amefeli F6 analia tu kila wakati naombeni ushauri

    Wajumbe hamjambo. Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6 Kapata as follows Gs - E Phy - S Chem - E Bio - D B/math - F Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Maisha ni very hard naombeni kazi

    Habari nilikuwa natafuta kazi here in dar es salaam nina miaka 20 kazi ni ya kuuza duka
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…