naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Trigeminal Neuralgia - naombeni ufafanuzi juu ya tatizo hili la kiafya

    Wakuu nasumbuliwa na maumivu makali upande mmoja wa uso kwenye shavu karibu na sikio. Maumivu haya yanakuja kila baada ya kupita muda fulani inaweza ikawa nusu saa, lisaa au masaa kadhaa, yakija yanadumu kwa sekunde kadhaa then yanatoweka, maumivu mithili ya shoti kali ya umeme, au kama mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri biashara ya uwakala(M-PESA, tiGO Pesa nk)

    Habari zenu wana jamvi, Mimi naishi Dar es salaam lakini nataka kufungua vibanda viwili vya uwakala niwe na yas, Airtel money na mpesa kwasababu wilayani kwetu mwanza mtaani Kuna uhaba sana Lengo langu niwe na vibanda viwili wilaya nzima maeneo tofauti tofauti na mimi nikiwa huku huku Dar...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu

    Kuna maswali ambayo najiuliza Mwanzo na mwisho ndugu yangu tulikutana mwanza Alivyofika nairobi ndugu zake na mke wake Sasa familia yangu wamenitenga Dar es salam ndiko mke wangu anaishi Mimi nipo uku morogoro kutafuta dawa Atapata bus nikasema hapana ilo ni swali lake Sasa tupo hapa...
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kaka zangu sihitaji matusi

    Wakuu samahani Mimi mdogo wenu naitaji ushauri wa haraka ,Kuna demu alinisumbua kama mwezi hivi alikula vyangu jana akasema anakuja magetoni nikaona nimkomoe nikaenda kununua mkongo ili nimkomoe hii ni mara yangu ya kwanza kutumia mkongo, nilitaka nimkomoe nikaupaka kwenye uume wote maelekezo...
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni playlist ya nyimbo za kusindikizia sikukuu ya Christmas & Mwaka mpya

    Miondoko yote. Afrobeats, Gospel mix, Gospel Catholic, amapiano, 3 Step's, R&B's, n.k.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu wadau wa IT

    Habarini ndugu zangu, Naombeni ushauri Mimi ni mwalimu by professional level ya diploma. Nipo interested sana na masuala ya IT hivyo natamani hata future yangu nije nijiendeleze kwenye IT. Kwa kuanza nimeandaa mpangokazi wa miezi 24 ili unisaidie nijifunze mwenyewe online ili baadae nikiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Nani anamfahamu mmilikiwa wa Cheche Times anaeneza sana chuki za kidini. Naombeni Tujuzane

    Nimekuwa nikiingia Facebook na Instagram nakutana na machapisho sponsored yenye chuki za kidini ambayo ni taarifa za kueneza chuki za kidini au upotoshaji. Mtu huyu wa Cheche Times analipia kabisa matangazo katika majukwaa ya Instagram na Facebook. Posts zake ni kashfa zaidi za...
  8. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ninunue gari ipi

    Wananzengo habari zenu. Mimi ni mtu wa safsri kila ijumaa ja jumapili, na huwa napenda nitumie gari binafsi ili nijipangie mda wa kuondoka na kufika. So nlikuwa na gari ndogo nahisi kuichoka. Kati ya gari ninayohitaji ni honda crosroad ama rumion nikishindwa hizi basi outlander but hizi 2 za...
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni VPN za uhakika

    Kuelekea kesho huenda huduma za internet nchi zikazimwa hivyo wadau naombeni VPN ya uhakika mapema kabisa.
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni kazi au mwenye connection yakazi anae jua mahali flani sikosi. Mimi ni dereva, popote nafanya kazi

    Mimi ni kijana umri miaka 26 elimu kidato cha sita 6 nimepita veta kupata basic driving, NIT kua VIP driver na ninauzoefu wakutosha kabla ya kwenda kuongeza ujuzi nabaada ya kwenda kuongeza ujuzi udereva nikazi ninayo ipenda nipo tayari kufanya kazi popote hata na mtu binafsi
  11. JamiiForums Tanzania Napenda sana makalio ya wadada. Naombeni mnisaidie nitapotea

    Wazee napenda sana makalio ya wadada hili tatizo kitaalam linaitwaje? Yani hata manzi awe na sura kama kifaru mradi tu ana boflo nitafanya juu chini kwa gharama yoyote nimuweke kifuniko cha asali pembeni alafu nianze kurina asali.... Huwa sipendi kutoa kifuniko chote ndo nianze kurina...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanzania Naombeni tuuamini huu uongozi mpya wapo serious watatufikisha nchi ya ahadi

    Nimekaa nikatafakari nikaangalia Uwongozi huu mama Samia utatupeleka nchi ya ahadi wako serious hawaigizi kabisa pleas please Dec 9 tusiandamane tumpe mama mda nina Imani naye kubwa sana. Yaliyotokea ni mabaya sana ila Ameshajirekesha maana ndo mara yake ya kwanza so hakujua namna nzuri ya...
  13. JamiiForums Tanzania Naombeni chimbo la pumba Dar

    Kwa dar es salaam wapi ni chimbo la kupata vyakula vya mifugo kama pumba na mashudu kwa wingi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa kusimamia group la facebook kabla sijalitelekeza, Nimechoka kufuta post za biashara, waganga, n.k.

    Niliwahi kuanzisha group la Facebook kwa kitu amnacho nina interest Lakini sasa limekuwa kubwa members elf 18, ninacho kutana nacho ni rundo la post za Biashara, waganga, free mason, vinyozi, siasa, dini, n.k. Magroup makubwa huwa wanawezaje na unakuta kazi yote anafanya admin
  15. JamiiForums Tanzania Naombeni kwa sasa tumsapoti comedian maneno kumi anatosha

    Huyu jamaa wa iliyokuwa jambo na vijambo mwana dar es salam ambaye pia ni mc kwa sasa ndiye msanii wa vichekesho ninayemfuatilia sana anajua sana na ni genius naombeni huyu tuone nafasi awike amefanya kazi kubwa na hawajawi kum acknowledge..watoto wa mama tupa Kule tunaenda na dokta maneno 10.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni link au nitagini na ule uzi wa vitabu vya hadithi

    Wakuu nisaidieni link ya uzi wa vitabu mbalimbali vya hadithi.au mkinitag nitashukuru pia.
  17. JamiiForums Tanzania Walioelewa hiki kibonzo cha Masoud Kipanya naomba tafsiri yake

    Siku ya leo katika mitandao ya kijamii kuna hii katuni nimekutana nayo, imenitafakarisha sana lakini nimeshindwa kuelewa umaana wake hivyo nimeona haja ya kuileta hapa jukwaani nieleweshwe
  18. JamiiForums Tanzania Wazee wa Mitindo, Tupeane dress code za Beach

    Wakuu. Tupeane dress code za beach leo. Kwa wanaume na wanawake. Na wapi unaweza pata izo dress. Kuna wakina sisi kila sehemu tunavaa jezi ya Arsenal, angalau tuweze shine mara moja moja. Pamoja. PS: Tupo jukwaa la Lifestyle, nisikaripiwe.
  19. JamiiForums Tanzania Naombeni kupewa muongozo wa kuandamana hiyo 29/OKTOBA

    Ningependa kupata muongozo, yaani kwa hapa Dsm tunakutania wapi? Au unajitokea tu kwa rodi unawasikilizia wenzio. Ningependa kupata muongozo nisije kutoka na bango langu na kuwa chambo wa mfano kwa wengine. Na vipi siku hiyo kwa wafanyabiashara nao wanafungua biashara zao au wanafunga kuonesha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni misaada kwa wanaojihusisha na uchimbaji wa madini

    Habari wa juu Nimekuja hapa kwa lengo moja tu natafuta mtu wa kunishika mkono anayejihusisha na mambo ya madini Mimi ni kijana wa miaka 26 nipo Dar es Salaam Lengo la kuja hapa ni kuomba kama kuna mtu anayejihusisha na maswala ya madini anasehemu ambayo anafanya uchimbaji ambayo anahitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…