naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani Mwanamke kufurahia mapenzi baada ya kutolewa bikira?

    Inachukua muda gani mwanamke kuenjoy tendo la ndoa baada ya kubikiriwa? Nilimsikia mwanamke mmoja akisema inachukua miaka 3- 5 Niliistaajabu!! Huyu mwanamke ni wakawaida au?
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni mnijuze kuhusu Samsung Galaxy A55

    Leo nimekuja kwenye jukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu simu aina ya Samsung Galaxy A55 Ubora wake upoje? Kwenye camera, battery, software updates nk Bei halisi nijiandae na sh ngapi? Mkitaja na maduka sio mbaya
  3. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo

    Amemaliza form 4 na kapasi vizuri tu ana one, ni Ke. Anataka kwenda diploma kwenye kozi ya sekta ya afya. Anaomba ushauri wa kozi gani nzuri kati ya hizi Ordinary Diploma in clinical medicine Ordinary Diploma in Pharmaceutical sciences Ordinary Diploma in medical laboratory sciences Ordinary...
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu mahuiano na mwanamk aliyenizidi umri

    Shalom shalom. Mwanamke aliyenizidi umri ananitaka mana nilikuwa nikimsalimia shikamoo anakwepa, ni limwalim wa secondary kanizidi kama miaka 15 hivi. muda wote anataka kuchat usipochat ananuna. Ushauri wenu wanazengo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hodi humu ni mgeni naombeni mnikaribishe

    Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali hapa JF kwa muda mrefu hatimae leo nimekuwa miongoni mwa member naombeni mnipokee kwa mikono miwili
  6. JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kumshauri mdogo wangu Course ya Kusoma

    Kapata matokeo mazuri sana, kwa hiyo Competition sizani kama itakua ni tatizo sana, kubwa anataka kujua course mzuri ya Kusoma. Matokeo. Chemistry A, Physics A , Adv Mathematics A .
  7. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa maoni yenu

    Kwa anaejua je supu Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo ni sawa au itamletea madhara naombeni mnifahamisge wanajamvi.
  8. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada

    Nisaidieni list ya vyuo vunavyotoa kozi ya mechanical engineering
  9. JamiiForums Tanzania Anayejua jina la huu wimbo naombeni wakuu,

    Msaada wenu unahitajika hapa
  10. JamiiForums Tanzania Kuna nafasi ya pili ya kuomba vyuo vya diploma mwaka 2024?

    Nauliza kama kuna nafasi ya pili ya kuomba vyuo vya diploma mwaka huu??
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni 'connection' ya kazi

    Wakuu habari za saizi Nimekuwa na wakati mgumu sana hivi karibuni. Nimebahatika kuitwa katika interview zaidi ya 3 lakini zote zimekosa sababu sina expirience yani uzoefu Naomba kwa yoyote mwenye connection ya sehemu ambayo naweza ku gain and grow up popote pale niongeze uzoefu nitafanya bila...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kuwekeza kwenye saluni ya kunyoa

    Wakuu kwema Kijana niko na 350k , kuna jamaa yangu kaniambia anauza saluni yake kwa hio bei. Vinyozi wanampa 4k per day, na kodi wanalipa wao, nataka kuinunua . Naombeni ushauri pia kama mna idea nyingine. Asanteni.
  13. JamiiForums Tanzania Polisi mpaka sasa wananizungusha naombeni msaada

    Imepita kama miezi miwili na ushee tangu niibiwe tv yangu inch 43 na subwufa kwa bahati mbaya mtu aliyeiba alipigwa na wananchi wenye hasira kali na kupoteza maisha ila kabla ya kupoteza maisha nilikuwa tayari nimetoa taarifa ya kuibiwa kwa vitu vyangu na miongoni mwa suspect nilio wataja na...
  14. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu guys

    Me sijui kuomba mkopo kwa level ya diploma napitia app gan??
  15. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu guys

    Me sijui kuomba mkopo kwa level ya diploma napitia app gan
  16. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni uelewa msaada

    Ety ndugu zangu naombeni mnisaidie, matokeo ya kidato cha Sita 2024 yanatoka LINI?
  17. JamiiForums Tanzania Kati ya Clinical Medicine, Dentist na Radiology ipi ni kozi nzuri kwa sasa?

    Kati ya Clinical Medicine, Dentist na Radiology ipi ni kozi nzuri kwa sasa?
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni mwongozo wa kupata simu kali iliyotengenezwa kati ya 2023/24

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kujua Smartphone iliyotengenezwa hivi karibuni, isipokuwa TECNO, INFINIX NA ITEL.. Ninahitaji kununua Smartphone mpya, Budget yangu 450k hadi 500k pia processor isiwe ya SPD au MTK, hii sizihitaji katika list yangu.
  19. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu

    Jambo ndugu zangu Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama Sasa ilo jambo linanitatiza Sijui nyinyi mnanishauri nini
  20. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada wa kisheria Wakuu

    Habari wakuu naombeni msaada wenu Nilifukuzwa kazi nikapewa barua ya kufukuzwa na inaelekeza nitapewa madai yangu yote ndani ya siku kumi na nne (14)za kazi, ila Leo ni siku ya 16 sijalipwa chochote je naweza kuwashtaki waajili wangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…