naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba kumjua Interior Designer wa Ikulu ya Dodoma. Tuambiwe pia alilipwa kiasi na walimtoa wapi kwa vigezo gani?

    Picha za Ikulu ya Nairobi, Kenya. Angalia mazingira, Angalia muonekano wa ndani, angalia mpangilio wa vitu Chini Picha za Ikulu ya Chamwino Dodoma Tanzania Angalia mazingira, angalia mipangilio ya ndani n.k. Ni kama tumepigwa vile No Reforms No Election ✊️ ✌️
  2. Wakuu naomba ufafanuzi zaidi huu mstari unanitia sana mashaka

    1. 1 Samweli 18:1 2. 2 Samweli 1:26 (Baada ya kifo cha Yonathani) awake.”
  3. Z

    Naomba nafasi ya kazi

    Mim ni Kijana wa kiume , mwenye afya njema elimu yangu kidato Cha sita. Naishi dar es salaam kimara. Nimetafuta sana kazi ila nimekosa ,nilikuwa naomba nafasi ya kazi yoyote ile , na nipo tayari kufanya kazi yoyote ile kwenye mazingira yoyote yale
  4. K

    Naomba kuelimishwa kuhusu ufagaji wa samaki ziwa Victoria

    Kumekuwa na ufugaji mkubwa wa samaki katika Ziwa Victoria. Kwa takwimu nilizo nazo asilimia 80 ya wananchi wanaozunguka Ziwa Victoria kwa sasa wanatumia samaki hawa wa kufugwa kama chakula chao tofauti na hapo zamani. Chakula cha samaki hawa kinatengenezwa na ndugu zetu Wachina. Hatujui...
  5. Naomba mnijuze majina ya Wagombea wa Hanang' Mkoa wa Manyara waliopishwa

    Namsikiliza hapa Makalla lakini naona mtandao umeshake. Kasema wagombea sita lakini nimewasikia wanne tu. Nijuzeni usahihi wa taarifa hii wadau
  6. Naomba kujuzwa hizi Sura za watu wa video za AI ni Sura halisi?

    Kuna hizi video zina trend Sana mitandaoni zimetengenzwa kwa AI me sio mtalaam Sana wa mambo ya computer ila Niko interested kujua hizi Sura za watu ni kwamba kweli ni Sura za watu zipo kiuhalisia au wame generate automatically kabisa na kwamba katika ulimwengu huu hazipo
  7. Tafakuri ya swallat adhuhuri: Naomba Mnisaidie kuyajua Majina ya watoto wa Adam kutoka kwenye quran

    Jioni hii wakati natafakari na kuiskma quran kuna kitu kimenichanganya kidogo na kunipa ukakasi ndio maana nimekuja mbele yenu mnapenda majibu. Vifungu vingi vinasema kuhusi uumbaji mzuri wa Allah kwa namna alivyomuumba Adam mfano: 1. (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika, “Hakika Mimi...
  8. M

    Naomba ushauri wa Kampuni inayotoa huduma ya mortgage hapa nchini

    Naomba kujua huduma ya mortgage hapa nchini Hali ikoje,ni wapi watoa huduma wazuri kwa mtu mwenye uzoefu. Najua JF ni kisima cha Taarifa. Nawasilisha!
  9. Naomba msaada wa neno “moyo kulipuka”

    Habari husika na mada apo juu naomba kuuliza mtu akisema moyo kulipuka ndio ana maana gani?
  10. U

    Naomba kujua wasifu kamili CV ya Shehe maarufu nchini Kipozeo

    Amebobea kwenye eneo gani hasa? Karibuni
  11. Naomba ushauri ndg zangu

    Habari ndg zangu samahan naomba ushauri nilikuwa kazin shift ya usiku nimeamka asubui nimeona uvimbe kwenye shingo yangu itakuwa ni nn maana leo siku 4 uvimbe unakuja na kupotea baada ya dk unarudi tena?
  12. Naomba mnisaidie wingi wa Maneno haya

    Wakuu, Naomba wingi wa maneno haya; 1.Ulimwengu 2.Uchumi Ahsante
  13. Moderators naomba mtu anajiita Abtaili Mwerevu apewe ban kwa kutangaza ajira za utapeli .

    Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli . Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli. Kuweni nae makini au apewe life ban
  14. Naomba kuchangia hoja aliyoleta Mheshima Dkt. Dorothy Gwajima , kuhusu kuchangia malezi ya watoto hasa mzazi wa kiume

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu . Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
  15. Naomba mnifundishe kuendesha gari aina ya IST

    Mko poa humu? Kuna jamaa yangu amesafiri kwenda majuu, atakaa almost miezi sita huko, sasa ana gari lake aina ya ist kaiacha hapa kwangu, kaniachia na ufunguo, kaniambia niwe naiwasha mara moja moja kuipiga resi ili injini sijui isiwaje anajua mwenyewe. Kaniambia pia niwe napigia misele if...
  16. Naomba sababu ya Kiufundi na ya Kiutaalam kabisa kwanini huyu Nyoka HATARI hapa hakumuuma huyu Mtoto

    Na mkishaipata hiyo sababu Kubwa ndiyo mtajua na kuamini kuwa kwanini ukitaka Kubarikiwa haraka na Mwenyezi Mungu basi uwe unapenda mno kutoa Sadaka kwa Watoto kwani ile Asante yao / Shukran zao ni Baraka na Ulinzi tosha Kwako na Mimi kwa 90% ndiyo huwa nafanya kila Maulana / Mola akinijaalia...
  17. Naomba ushauri juu ya kozi za udemy

    Wakuu wana JF, hope mpo salama. Ni graduate mwenye uchu wa kujua programming na mambo ya system security(cyber) kwa udani, nimejaribu kupitia youtube tutorials ila bado sijaridhika, nimetumia resources mbali mbali lakini katika harakati za kutafuta more resources, nikapata Wazo la UDEMY...
  18. L

    Naomba msaada wa taratibu za kuomba kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania

    Heshima zenu Wasomi wa jukwaa hili. Naomba kuelekezwa hatua kwa hatua za kufuata kwa ajili ya ku apply kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania,kwani nina mtoto wangu amemaliza kidato Cha sita mwaka huu wa 2025. Naileta kwenu hoja hii ili mnipe maelekezo na njia zinazotumika ku apply...
  19. Kiroho , Utawala wa awamu ya tano umekatiliwa naomba wataalamu wengine wa kiroho mkae chini na atafutwe Mgombea anayekubalika.

    Kiroho Rais , Samia hatoweza kuwa Rais wa awamu ya sita. Ikiwa kuna wataalamu wa kiroho wamshauri mapema . Na pia yalifanyika makosa makubwa kumteua kuwa Makamu wa Rais kwakuwa hatima yake haikuwa ya kitaifa bali ya eneo dogo Kama Jimbo Ndo ufanisi wake ambao umeacha alama ni ule wa Bunge la...
  20. Special Branch, Naomba Mfanye Life Style Audit ya Mawaziri Wafuatao na Kisha Mmpe Report Mheshimiwa Rais

    Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais. 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…