Ni wiki 3 sasa tangu nimekutana na mwanamke na hii ni baada ya kupima nae kabla na kukuta hana maambukizi, baada ya siku kadhaa nilikutana nae baada ya kumuamini na ndipo nilipo ona usaa kwenye uume wangu, nilienda hospital nikaanzishiwa Ceftriaxone na tabs Ciproflaxin pamoja na Dox.
Nimetibiwa...
Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi.
Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini.
Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho.
Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha...
Ni imani yangu mnaendelea vyema sana.
Kumekuwa na gepu kubwa sana siku hiz kwenye engagement kati ya mada za matumizi ya maarifa ya juu au fikirishi na mada za kuchekesha au kuburudisha. Hili jambo limeenda sambmba kabis na kupungukiwa hamu kwa wanajf wakongwe au wahitaji wa kujiunza au misaada...
Iwapo mtu ameacha kazi na ana michango yake NSSF kwa muda usiopungua miaka minne,je utaratibu wa kupata mafao yake ukoje?
Maana nimesoma vigezo vyao vipo vingi lakini kigezo cha kwamba usiwe umeacha kazi badala yake uwe umeachishwa ndipo uombe, naona hiki ni kama kigezo cha kushetani sana.
Kwa...
Nauliza hivi kweli Rais anauzunika ANALIA wananchi mnaruka ruka mna adabu nyie kweli?
Nafahamu Pascally Mayalla na Proffesa Mussa Assad mnafurah ila ndo mkodi mziki?
Naomba mwekwe ndani mpaka azikwe.
Wakuu wajuzi wa mambo hawa wanamgambo wanasemekana ni waasi na wako oppose na jeshi la serikali ila kwenye tovuti Yao wanajinasibu wanafanya operation zao under chief military na pia Wana support kubwa toka falme za kiarabu je NI kweli NI magaidi au NI jeshi la namna gani hili?
Habari zenu wakuu,.Mimi ni kijana wa makamo kidogo,born January 1995.
Nina elimu ya kidato cha sita, chuo nilifika lakini sikumaliza niliishia mwaka wa pili (udom coed).
Mkuu kwa mda sana nimehangaika huku na kule lakini mambo bado magumu hadi sasa nikaamua kujishughulisha na kazi za uvuvi.kazi...
Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
Wakuu,
Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi.
Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu.
Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo...
Wakuu, hili swali limekua linanisumbua kichwa changu sana, tafadhari sana msinione km napatwa na wazimu kuhoji hili swali la jinsia ya Mungu. Ila wakuu naomba kwa anaefahamu tafadhari sana aniambie Jinsia ya Mungu ni ipi? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume au MUNGU hana jinsia kabisa...
Habari za muda huu wakuu...naomba kufahamu kiwanda au mahali nitakapo pata mifuko hii ikiwa kiwandani kilipoa jumla nahitaji mingi sana ikiwekana nifamu na bei zake
Ninaomba mnilipe gawio langu la Samia Infrastructure Bond vinginevyo nitaenda Mahakamani mnirudishie fedha zangu. Tuliaminishwa kuwa kila baada ya miezi mitatu tunapata gawio lakini siyo kama walivyoahidi.
Nimekuwa nikikutana na kadhaa moja pale ninapokwenda kukunua bidhaa dukani na kudai risiti ya EFD huwa naambiwa, Ukitaka risiti ya EFD bidhaa hiyo bei yake inapanda otherwise tukuandikie tu au uende bila risiti.
Swali langu ni je, na huko kwenu ipo au ni huku tu, na vipi kuhusu hilo suala...
Msaada ndugu zangu, naomba mtu binafsi mwenye uwezo wa kunikopesha 13m kaa riba atakayoitaka yeye naomba anisaidie.
TUtakopeshana kisheria,mahakama, na taratibu zote tutafata.
Nina Shida ya DHARULA naomba msaaada nina DHAMANA kadhaa za mali zisizo hamishika.
Naomba msaada Tafadhali.
Alie...
Picha za Ikulu ya Nairobi, Kenya.
Angalia mazingira, Angalia muonekano wa ndani, angalia mpangilio wa vitu
Chini Picha za Ikulu ya Chamwino Dodoma Tanzania
Angalia mazingira, angalia mipangilio ya ndani n.k. Ni kama tumepigwa vile
No Reforms No Election ✊️ ✌️
Mim ni Kijana wa kiume , mwenye afya njema elimu yangu kidato Cha sita. Naishi dar es salaam kimara. Nimetafuta sana kazi ila nimekosa ,nilikuwa naomba nafasi ya kazi yoyote ile , na nipo tayari kufanya kazi yoyote ile kwenye mazingira yoyote yale