naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Naomba mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR

    Wakuu hbr za Leo naombeni msaada mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR kuhusu ajira zake huwa zinatangazwa na kwa degree ya lab technician anaeanza mshahara wake ni kiasi gan
  2. T

    Naomba mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR

    Hbr za Leo wakuu naombeni msaada mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR kuhusu ajira zake huwa zinatangazwa ? Na vip kuhusu mishahara kwa upande wa degree ya lab technician anaeanza?
  3. Naomba kujua hizi Dola 45 na Dola 90 ambazo Watanzania wanatakiwa Kulipa JNIA ni za nini na kwanini?

    Tafadhali mwenye kujua kwa Undani kabisa jambo hili si vibaya tu akatupa Ufafanuzi wa Kiuchambuzi ili Wabongo tujue.
  4. O

    Habari zenu naomba kuuliza mwenye uzoefu na interview katika post ya assistant trade officer anipe muongozo notice za kusoma

    Samahani great thinker shida yangu nikujua muongozo vitu vya kusoma kwa anaeenda interview ya post ya assistant trade ooficer
  5. Naomba ushauri. Kupata stahiki zangu za kuachishwa kazi kutoka NSSF

    Habari wana jukwaa wa jf. Mimi naomba ushauri juu ya swala langu kama ifuatavyo. Kuna kampuni nilikuwa nafanya kazi kwa kipindi cha miaka minne sasa mpaka ilipofika tarehe 11/7/2025 nilipoachishwa kazi kwa kosa la upotevu wa mafuta Lita 20 kwa kuambiwa nimeweka Lita 60 badala ya Lita 80 ambazo...
  6. M

    Kwa kuwa siasa uchwara zimekithiri michezoni leo naomba Morroco waifungu taifa stars tano bila

    Litakuwa jambo jema sana. Walimu wanaishi vijinini hawana nyumba. Manesi na madaktari wanangaika vijijini kuokoa maisha ya watu. Hakuna anayepewa hata sh tano kama motisha. Leo stars afungwe tano bila
  7. Kwa madini ya huyu Mama Msema Kweli tafadhali naomba mwenye namba yake ya Simu anipe nimrushie chochote kitu

    Kutwa nikisema hapa kuwa Vijana wa leo acheni Kuwadharau Wazee na kuendekeza Uzungu kwani Uzee ni Dawa nami pia mnaniona nimepitwa na wakati. Haya sasa hebu Kuleni Chuma kikali hiki!!!
  8. Nashauri kama itawezekana na itawapendeza Wahusika naomba leo Kipa awe Aishi Manula kwani naona upo uwezekano wa kwenda katika Penati

    Namkubali na Namheshimu Kipa anayedaka sasa, ila kwa Ujuzi wangu nina Mashaka nae tu hasa katika Penati zikitokea.
  9. N

    Naomba editor mnisadie kuedit mmuweke huyu jamaa maeneo ya Dubai

    #Challenge
  10. Watafsiri na wabobezi wa ndoto naomba mniambie hii inamaanisha nini?

    Mara nyingi usiku nikilala huwa sipati kabisa ndoto au nikiota asubuhi nakua nimesahau nilichoota. Ila jana usiku nimeota ndoto ambayo imenitisha na naikumbuka kwa sehemu kubwa, siku nzima nimejaribu kuwa bize ili kuisahau ila imegoma kabisa kutoka kichwani na kuna kitu kinanisukuma niisimulie...
  11. N

    Hivi ni simu gani model ya Samsung galaxy nzuri yenye uwezo wa kupiga picha, kuitumia kama CCTV

    Hivi ni simu gani model ya Samsung galaxy nzuri yenye uwezo wa kupiga picha, kuitumia kama cctv na mambo mengine kama hayo? Bei yake ni she ngapi? Naomba kujua kwa anayeelewa please.
  12. B

    NAOMBA KUELEKEZWA

    Wakuu habari...naomba msaada nielekezeni jinsi ya ku Post thread kwa picha au video pia jinsi ya ku save picha kwa account yangu Naomba KUELEKEZWA si kwa ubaya 🙏🏾
  13. WANASHERIA WA MASUALA YA ARDHI NA NYUMBA NAOMBA MAWAZO YENU YA SUALA HII KESI.

    Wakuu habari zenu. Kuna jambo ningetamani kupata muongozo na ikiwezekana nijipange tupate mwanasheria mzuri wa kesi za kuzurumiwa nyumba, tena aliefanya hichi kitendo ni hakimu mstaafu,na ndio sababu hata hakimu alieamua kesi akafanya maamuzi ya kujuana na kupindisha sheria nyumba akapewa...
  14. Naomba ushauri kuhusiana na hizi kazi mbili nilizozipata?

    Habari za sahizi waungwana? Naomba mchango wenu wa mawazo. Nimepata ajira mbili kwenye kampuni mbili tofauti. 1.kampuni ya kwanza ni kiwanda cha wachina,kazi inahusiana na professional yangu niliyosomea(uhasibu) mshahara sio mkubwa kivile ni around 1.3m kabla ya makato. 2.kampuni ya pili nayo...
  15. Nikiwa kama 'Mtanzania Mganda' naomba Dua zenu leo Watanzania ili Uganda Cranes nayo ifuzu, kwani leo ina Mtihani mkubwa sana Mandela Stadium

    Yaani Timu zote Tatu zina nafasi ya kupita ila iIiyo tu Mtegoni hasa Kimahesabu ni Uganda (Uganda Cranes) mtuombee.
  16. Nitazipata wapi pepeta (rice flakes) nchini? Nipo Mbeya

    Habari wanajamvi, naomba msaada wenu. Natafuta pepeta (rice flakes) kwa ajili ya matumizi ya biashara ya vyakula. Nipo Mbeya lakini niko tayari kuagiza hata kutoka nje ya mkoa kama kuna wauzaji wa jumla au rejareja. Naomba mnisaidie kujua ni wapi naweza kuzipata au hata kama kuna mtu anayeuza...
  17. Vipi kama mabaya ya sasa yanafanyika na kundi lililokubalika na Magufuli?

    Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana. Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha...
  18. Kwenu Vodacom, mkiwa katika kipindi cha kutimiza miaka 25 tangu muanze kutoa huduma kuna tangazo la zamani naomba mtuonyeshe tena kama kumbukumbu.(TBT

    Habari wadau wa Chitchat Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom inatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania. Vodacom ilianza kutoa huduma zake rasmi tarehe 16/08/2000 kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa. Wakiwa katika mwaka wa shamrashamra hizo mimi nikiwa kama mteja na mdau wao...
  19. Wakuu naomba kuelekezwa jinsi compound interest ya M wekeza inavyofanya kazi

    Nimewekeza kwenye kampuni ya sanlam ambayo imeungana na Vodacom Na kuita jina M Wekeza Sasa nilitaka kujua pale kwenye hii huduma nikichukua asilimia na pesa zangu ninazoweka Kwa mwaka wananimetea kiasi Fulani ambacho nataka kujua he hicho kiasi ndio kimejumuishwa na compound interest au ni...
  20. Naomba Tundulissu aachiwe mara moja na bila mashariti yoyote nimeongea mimi na nikiongea huwa sirudii.

    Binafsi Mimi Leo nimetoa angalizo kuwa TAL wamuachie bila mashariti yoyote , akaungane na familia yake haraka. Mimi nafikiri kwa nilivyobarikiwa sifikirii Kama mtakubali nikasirike. Mimi Kama MTU wa haki na Mtumishi ambaye huwa siingiliwi katika mamlaka zangu . Nimesema TAL aachiliwe haraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…