naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kuhoji kuhusu elimu ya Zanzibar

    Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu Hawa wengine naona hamna kitu Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu Wabunge wa Zanzibar wanaitwa watu Kenge, Mwingine anasema eti Bora jeshi lingemuuwa Martha Karia, nimeshangaa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, naomba tukubali mabadiliko.

    Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician) Mawasiliano inbox
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician) Inbox mawasiliano
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sababu za msingi za vijana wa Kenya wanaosema "Ruto must Go"

    Uzi tayari. Natanguliza shukrani
  6. O

    JamiiForums Tanzania WATAALAMU NAOMBA KUJUA AI GANI NZURI KWA KUTENGENEZA VIDEO?

    HABARI ZENU NNATAKA KUTUMIA AI KUTENGENEZA VIDEO NAOMBA KUJUA IPI NZURI KATI YA GROK AI AU DEEPSEEK AU KM KUNA NYINGINE YOYOTE NZURI ZAIDI YA HZO NAOMBA KUJUA
  7. JamiiForums Tanzania Kuna mKenya kaniuliza swali hapa naomba mnisaidie kujibu

    Baada ya kukamtwa na kurudishwa kwa baadhi ya wanaharakati wa Kenya na baadhi yao kuripotiwa kuteswa na kutupwa mipakani (Tanga na Kagera) Kisha kauli ya Rais kuwa hatakubali chokochoko, na kuwa katiba yetu haiingiliwi na mtu, jamaa kanikomalia kuwa ni kweli nchi yoyote ile duniani ina...
  8. JamiiForums Tanzania Wale mabingwa wa kutukana waislamu na uislamu naomba mkuje pande hii mnisaidie jambo hili

    Kuna watu humu wanawatusi sana waislamu na uislamu wao. Wanawashutumu mambo mazito mazito. Sasa mimi naomba tufanye hivi... Madrasa tunazijua vizuri mitaani na wengine tunazifikia mpaka kuweza kujua hata mafundisho yatolewayo humo. Misikiti kadhalika ni hivyo hivyo Naomba hao watu, kwa moyo...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba jina la hotel iliyopo Tanzania ambayo huwezi kuingia bila kuthibitisha cheti cha ndoa

    Wakuu naomba mnisaidie jina la hotel yoyote ambayo huwezi kuingia bila kuthibitisha cheti cha ndoa. Best Regards
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wanasheria naomba mtuelimishe kwa hili la Boniface Mwangi

    Anasema ameteswa sana. Anaweza kuwashitaki wapi waliomtesa mana anawafahamu. Kuna Iternational courts za ku handle situation kama hii?
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya ufundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi ya ufundi mitambo (mechanical technician) Piga : 0756704145
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu, namba yangu inagoma kusajili whatsapp

    Naombeni Masada namba yangu imekataa kabisa kuji register kwenye whatsapp nimejaribu sana, Lakini inaandika hivi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa tofauti kati ya kudukuliwa na kujidukua kwa maslahi mapana?

    Kama watu hutekwa na wengine hujiteka kwa maslahi binafsi! Naomba mtaalam anielimishe nini tofauti ya kudukuliwa na kujidukua kwa maslahi mapana? Hufanyika wakati gani?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Siipendi Simba lakini naomba wachukue kombe kwa heshima ya taifa na 'ahsante' kwa Huyu Mama Anayeupiga mwingi Michezoni

    Kwakweli wachukue tu Simba Ili jitihada zilizoonyeshwa kwenye michezo na mafanikio mengi yaliyowekwa yaendelee kupata maana. Aisee kwenye michezo umepigwa mwingi mpaka unapwakuka. Hata haters wa mama kimoyomoyo wanakiri. ✓fainali mbili ✓mashindano ya afrika kufanyika hapa ✓viwanja kujengwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Wabobevu wa mikopo naomba msaada wenu hapa

    Wakuu heshima yenu. Nipo nafanya process za kukopa mkopo mdogo wa miezi sita tu maana Nina jamu ya chapu hapa. Lakini Cha ajabu naambiwa sifa zangu ni mbaya..... msg hii hapa "Dear customer, you have a negative status in credit bureau. please clear your previous loan to qualify for ......."...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wana CCM wenzangu, Ni kweli Misitu yetu tumewapa Oman?

    Naomba kuuliza kwa wana CCM wenzengu,nimesikia Jonh Heche anasema Mama pamoja na serikali ya CCM wamewapa Oman misitu yetu ya Tanzania nzima, wao na serikali yao ya Oman wanalipwa pesa nyingi sana kupitia hewa ya ukaa. Huu ni mkataba wa kidunia inchi zinazochafua mazingira lazima ziwalipe...
  17. JamiiForums Tanzania Hard Disk Terabyte 4 bei gani? naomba kujifunza

    naomba kujua bei ya had disk telabite 4 wakuu, samahani kwa usumbufu asubui hii na vip risk ya kununua hizi disk ubovu sijui expire time
  18. JamiiForums Tanzania Naomba mahakama ikatae kusikiliza kesi ya Lissu hadi maelfu ya raia kwenye mikutano ya Chadema waunganishwe

    . Kesi ya Malaika Lissu ni ya uhaini. Kwa urahisi wa maneno ni kwa kuzuia mamlaka kuendesha uchaguzi( hisia). Lissu akiwa bado ndani, mikutano ya Chadema inaendelea nchi nzima. Maelfu kwa malaki wameunga mkono hadharani mambo yaleyale yaliyomtia ndani Lissu na sasa anataka kushtakiwa peke...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenye maswali ya research problem na research design, interview za utumishi na kwingineko naomba tuyaweke hapa tusaidiane na tushee experience

    Naombeni tusaidiane katika hili jamani ili tuweze kujipanga na Saili za sehemu Mbalimbali
  20. JamiiForums Tanzania Moderators naomba kuanzia Sasa nitambulike kama "Mtanganyika" hapa jamii forums

    Naleta ombi langu kwenu nataka kubadili utambulisho wangu hapa jamii forums kutoka Ngara23 kuwa " Mtanganyika" Nahitaji kuanzisha harakati za Kufufua utambulisho wa Taifa la Tanganyika, historia yake, utawala Naona Sasa Watanganyika tumejisahau Taifa letu la Tanganyika limekufa Tunatawaliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…