nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, hadi beat inatumiwa na wasanii wengi hivi huwa ni universal beat, free na huwa imetungwa na nani?

    Hii beat inazidi kuwa maarufu na wasanii wakubwakubwa East Africa wanaendelea itumia, nilianza kuisikia kwa Atilo ft Jovial such kind of love, akaitumia Diamond naanzaje, ameitumia Rayvanny I miss you. Na wengine wanaendelea itumia. Beat hizi hutokea wapi!? Nani ana copyrights!? Je, huwa ni...
  2. JamiiForums Tanzania Gharama za matibabu ya wafanyakazi wa ndani wauguapo ni jukumu la nani?

    Huduma za afya zina gharama na hii ndiyo sababu watu wengi wanaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu. Wengine wanakwenda kupiga ramli kwa kuanguka na kuzimia bila kujua kuwa hii ni dalili ya hatari na inahitaji uchunguzi wa kitaalamu. Wengi huponea hutoa sadaka kanisani ili waombewe. Kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

    Imani ni ufunuo wa Mungu kwa mwanadamu; ni ile hali ya akili ya mtu kupokea ukweli uliofunuliwa na Mungu akiambatanisha nafsi yake kwa Mungu. Kuhani Musa Richard Mwacha amejulikana kama mtumishi wa Mungu mwenye imani kwa Kristo. Na amekua na huduma yake katika jiji la Dar es salaam kwa miaka...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi ni nani anachezacheza na tune ya Wimbo wa Taifa?

    Huu unaoimbwa hapa sasa hivi bungeni wanapoahirisha si ninao ujua mimi. Hili taifa bhana. Yani hii tune niliosikia hapa ni ya hovyoo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Manara (Msemaji wa Yanga SC) acha Unafiki na Kujifanya mwema, halafu nani Kakudanganya kuwa Adui yako mkubwa Dauda ndiyo Mightier wa JF?

    hajismanara Jana nilipoona hii taarifa usiku ilinistua sana na kunifadhaisha mno, huwa najisikia shida nikiona mtu nimjuae akiingia ktk matatizo yoyote yale no matter what. Binadamu hatupaswi kufurahia pale mwenzetu anapopata mitihani au vitu kama hv, ingawa baadhi yetu tumekuwa na desturi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Nani aliwahi kuhoji haya kipindi cha Magufuli?

    Ndugu zangu watanzania, wakati tunaendelea kujadili siasa za nchi yetu ni vema tuangalie serikali zilizopita na ya sasa kwa kuangalia namna ambavyo kumekuwa na tofauti katika utendaji wake wa mambo mbalimbali. Leo hii napenda kuwauliza wenzetu wanaopenda kuweka ulimganyo wa utendaji wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nani yuko Kambarage hapa Morogoro muda huu?

    Aliyeko hapa morogoro, Kambarage anitfute tupige mbili tatu...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa maelezo haya, kigogo wa Serikalini anayeikandamiza Yanga ikose ubingwa ni nani?

    Mtangazaji wa Wasafi FM, Ricardo Momo amenukuliwa katika session yake redio akidai kuwa wale wazee wa klabu waliozungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa watashitaki kwa Rais Samia Suluhu kuhusu klabu yao kuonewa, wamefanya hivyo kwa kuwa kuna kiongozi wa Serikali ambaye yuko nyuma ya...
  9. JamiiForums Tanzania Wazazi nani kawadanganya watoto wenu wa kike na kiume hawanyanduani?

    Mzazi ukiwa Na watoto wa kike Na watoto wa kiume walio fikia umri wa balekhe hakikisha unaweka ukuta Kati Yao ili usije kupata hasara. Dunia ya Sasa hivi watu hawana maadili kabisa. Maadili ni kama yalisha kufa Na kuzikwa.. Kama una Mtoto WA kike ameisha vunja ungo hakikisha unamwambia asikae...
  10. JamiiForums Tanzania Nani zaidi hapa kwenye hizi gari

  11. JamiiForums Tanzania Ni Nani aliyelimdanganya kijana wa Kitanzania kwamba Serikali ina wajibu wa kumletea mafanikio ya Kiuchumi?!

    Nitangaze mapema kwamba 1. Mimi ni graduate na ni jobless kama walivyo vijana wengi 2. Mimi Sina chama chechote na siyo msenaji wa yeyote. Lakini najiuliza sana Hawa wahindi na wazungu waliohamia kutoka nje na kuwawekea watoto wao misingi ya mafanikio na Sasa wengi wa watoto wao under 35 ambao...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Zitto Kabwe: Sisi Watanganyika nani atatusemea

    Mheshimiwa Zitto: Siku hizi Nchi inakopa na sehemu kubwa ya mikopo(Kiuwiano) inakwenda Zanzibar. Nchi ya watu chini ya milioni mbili inapewa zaidi ya 25% ya mikopo ambayo Jamhuri ya muungano wa Tanzania inakopa. Na tunajua sehemu kubwa ya hilo deni itakuja kulipwa na Watanganyika kwa sababu...
  13. JamiiForums Tanzania Anayepanga ratiba za shughuli Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni nani?

    Habarini wazalendo wenzangu. Napata ukakasi sana juu ya kuelewa aina ya ziara anazofanya makamu wetu wa Rais, mbona ni kama haonekani kabisa kwenye ramani kwa anachokifanya? Suala la pili ni hizi ratiba za kila siku kushinda Kigoma huyu mzee kila akionekana kwenye ramani, ina maana yeye ni...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Bagonza ameona mema ya Magufuli mimi ni nani!?

    Kwa mara ya kwanza Bagonza kwa kinywa chake anataja upande wa pili wa Magufuli wazi wazi. Kama huyu mwamba(Magu) alikosea naamini ni katika mapungufu yakibanadamu kama mtu mwingine yeyote.
  15. JamiiForums Tanzania Nimkanye nani kati yangu na wewe? Ok nakukanya wewe!

    Kwamiaka kadhaa, Tumejikusanya katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika majukwaa ya kisiasa, kiharakati na humu mitandaoni kutoka kila upande wa dunia. Tukiwa na mvuto wa Gandhi, Nyerere, Mandela, Churchill, Roosevelt, Nkrumah, Toure, Bandaranaike, Somoza, Lenin, Mao, Reagan, Gorbachev, Morales...
  16. M

    JamiiForums Tanzania TUJADILI: Job Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu kwa mtu asiyehusika ni bahati mbaya au makusudi?

    Ni vigumu kuamini kuwa Mheshimiwa Ndugai hajui utaratibu wa kikatiba wa kujiuzulu nafasi ya uspika. Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania spika au naibu spika anaweza kujiuzulu nafasi yake kwa kuandika barua kwa BUNGE na kuisaini. Spika atahesabika kuwa amejiuzulu baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Nani aliamuru jengo la bunge Dodoma kujengwa uswahilini

    Kila nikipita mbele ya ofisi za bunge Dodoma najiuliza nani alimuru lile jengo kujengwa pale. Hakuna parking ya kutosha, magari ya wabunge mengi huishia nje ya uzio Ni uswahilini hakuna utulivu huku wahuni wa Makole huku wanafunzi wa CBE na vurugu zao. Mapori yote ya Dodoma mkakosa kukamata...
  18. JamiiForums Tanzania Nani mmiliki wa uwanja wa Sokoine Mbeya?

    Uwanja huu ufungiwe mpaka mmiliki aweke nyasi bandia. Tope kama lote hata mpira haunogi. Ni hayo tu.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nani kuwa Naibu Spika? Ikumbukwe ni lazima awe Mbunge

    Mkeka wa Spika ndio umekamilika ambapo utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika. Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazi. Nani atatufaa? Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo? Maendeleo hayana vyama.
  20. JamiiForums Tanzania Usiogope wakiondoka na hata kama watakuachia maumivu, ipo siku watakuja tena wakidai wametoka mbali na wewe

    Nimesoma Kupitia Instagram ya Mtangazaji wa Star TV Alloyce Nyanda, nimeona pia niwashirikishe Je ni nani anayezungumziwa kwenye hiyo story? Je Nyanda alikuwa nabariki Jambazi Sabaya asifungwe na anataka kutuaminisha alimpigania kabisa, Ama je inaweza kuwa na yeye ni sehemu ya waliofaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…