nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. Poker

    JamiiForums Tanzania Wafalme wawili duniani. Unadhani nani alishinda hapo?

  2. Poker

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nani alileta huu usafiri wa boda boda Tz?

    Habari za jioni, usiku, mchana na asubuhi. Nimekuwa nikijuiliza sana ni nani alileta huu usafiri wa boda boda, maana nikikumbuka miaka ya nyuma usafiri tegemezi ulikuwa ni dala dala, teksi na gana gana. Ila ghafla zikaibuka maboda boda ambao wamekua kero sana kila sehemu kwa kuendesha piki piki...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaoifuata Nyota yako ni kina nani?

    WANAOIFUATA NYOTA YAKO NI KINA NANI? Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Ni kina Nani hao? Unawajua wanaoifuata Nyota yako? Neno Nyota linaweza kuwa linachechemea katika fikra za watu wasioamini mambo ya Kiroho hasa ndugu zangu kina Kiranga, hata hivyo wao tutatumia istilahi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea? Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji! Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea! Hata ukitazama hizo suruali...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Frateli ni nani katika Kanisa Katoliki?

    Wakuu habari za muda!! Naomba kujua Frateli ni nani katika Kanisa Katoliki na Shemasi ni nani na wana ngazi gani za elimu?
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi ni ya nani haswa? Serikali ipo kwa maslahi ya nani haswa?

    Tarehe 09 Desemba 1961 ni siku ambayo bendera ya Tanzania (Tanganyika) ilipandishwa kuashiria nchi huru yenye kujitawala na kujiamulia mambo yake bila kuingiliwa na taifa lolote la nje. Leo tunakaribia miaka 61 ya uhuru lakini bado wananachi wa Tanzania wanaishi kwa kudra za watawala. Bado...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje CHADEMA mwakani Mbowe aking'atuka uenyekiti? Nani anafaa kumpokea kijiti?

    Bwana Freeman Mbowe alitangaza kuwa ataachia uenyekiti wa chama baada ya kukitumikia kwenye nafasi hiyo kwa miaka mingi. Unafikiri ni nani anastahili kumpokea kijiti huyu mwamba?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nani anayemlipa Kubenea?

    HABARI KUBWA KATIKA GAZETI LAKO PENDWA LA MWANAHABARI NI:- Nani anayemlipa Kubenea ? - Anatumia GAZETI lake la Raia Mwema kuchafua viongozi mbalimbali -Anaonekana kuwa na mwendelezo wa kutengeneza taharuki kwa taarifa za uongo kwa viongozi - Wadau wazishangaa Mamlaka husika kwa kushindwa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nani anabisha kuwa kupambana hadi ushindi wa Yanga SC jana kulichangiwa na kubezwa mno na mashabiki wa Simba SC?

    Kwa lugha nyingine ni kwamba badala ya kutushangaa na kututukana hadi kutudhihaki watu wa Simba SC GENTAMYCINE nikiwa kinara wao hapa JamiiForums, basi mngetupongeza! Kwani kwa 60% tumechangia kuwajaza ndimu (upepo) wachezaji wenu na wao kuamua kujitoa vile mpaka kushinda na kutinga makundi...
  10. voicer

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya ‘Majaliwa adondoke’?

    Wenye Macho tunaona!, "Rosti-Tamu"imeingia jikoni....asiyekubali kula. "Rosti-Tamu" Atafungwa na "Kamba" za "Makamba" Naona "Mjomba" Cheff maarufu wa "I-Go-Unga"sasa ameamua kufunga mahesabu ya Mwaka,ni wazi sasa "Katelephone" anaandaliwa zengwe ili adondoke! "Ma-ajali -waa!" yamesakamwa toka...
  11. naliwe

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata deni la taifa hadi kufikia leo?

    Wakuu naomba msaada katika hilo.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya haya nani anastahili kuwajibishwa

    Ninaandika kwa mwandiko wa machozi mengi baada ya kushuhudia kilichotokea Bukoba ziwani namna tulivyoshughulika kuokoa watanzania wenzetu na hata wengine kupelekea kupoteza maisha Sitaki kujikita sana huko maana tuko siku nyengine mpya. Je hii inchi yetu. Imekosa kweli vifaa vya uokaji? Mpaka...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nani aliiga wimbo wa mwenzake, kati ya Kilwa Jazz na Franco Luambo Makiadi?

    ..Nyimbo zenyewe ni hizi hapa chini. Cc Mohamed Said, Kichuguu
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nani aliwadanganya Watanzani kuwa nyimbo laini kama za Celine Dion na Shania Twain zinaitwa blues?

    Imezoeleka kwa watanzania kuita nyimbo laini kama za wasanii hapo juu blues. Lakini ukweli ni kuwa blues ni nyimbo za aina tofauti kabisa na wala siyo laini. Na hata ukitafuta huwezi kuta wanasema Celine Dion anaimba blues. Blues ni nyimbo za kelele na ndiyo zilizaa Rock n' Roll. Ni nyimbo za...
  15. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Hivi yanga ikicheza na Simba Queens nani anachapwa?

    Hii ni serious debate niliikuta kwenye kijiwe cha kahawa. Kina mwamnyeto watachomoka kwa opa? Kina Kibwana watamuweza Aisha? Kina mayele wazee wa kuruka ruka watamuona Gelwa? Kina aziz Ki na kina Aucho watatoboa kwa kina Sarive, Jacki na kina Joelle kweli? Mimi sidhani.
  16. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Diamond na Mbosso washindana mauno, nani zaidi?

    Hapa kati ya hawa watoto nani anaweza kuyarudi? Waswahili wanasema kusasambua, kuyanengua, kuyamwaga mauno?
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM Wanamlalamikia Nani Bungeni?

    Hili Bunge la chama kimoja ni hovyo kabisa watu hawakabani mashati Najiuliza CCM ni watawala wako wenyewe wanaisimamia serikali. Afu madudu yakifanyika Wanalalamika. Asa Nani awasaidie? Kwa niñi wasichukue hatuna mara moja. Unajua kujidunga sindano mwenyewe ni kazi ngumu sana inahitaji...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Nani ndio super power wa ukweli ukanda wa maziwa makuu kudhibiti mikwara ya Rwanda na Congo

    Siku zote panapofuka moshi ujue kuna moto hivyo kila jambo linalotokea huwa halikosi sababu. Kenya ameonekana kujiandaa kupekeka mamia ya wanajeshi Congo baada ya waasi kupata nguvu mashariki ya Congo na kukua kwa uhasama kati ya congo na Rwanda. Ikumbukwe mwaka 2013 Tanzania alipeleka...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Sisi Wasukuma, ni nani aliyeturoga?

    Kwa kweli sisi ni washamba sana na malimbukeni. Sisi ndiyo tunaouza ng'ombe tukale chips kuku na wanawake. Uchawi tumo sana, UMUGHAKA anaujua muziki wetu. Sisi ndiyo tunapiga mapicha na mapozi ya ajabu. Kupiga wrong number sasa.....dadad dadada dadadaaa. Sisi ndiyo tuna kila kitu cha ajabu...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Helicopter ilikuwa inamuonesha nani matokeo ya sensa huko angani?

    Kuna vitu vingine vinatendeka Hadi tunashindwa kuelewa. Helicopter iko juu halafu tuinue vichwa juu tuumie shingo na macho kutazama matokeo ya sensa.? Hii ya leo ilikuwa unnecessary kuanzia Kukusanya watu na urushwaji wa helicopter. Bure kabisa nakulilia Tanzania
Back
Top Bottom