nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nani humnyoa kinyozi?

    Kipo kijiji ambacho sheria kuu pale ni kuwa kinyozi hunyoa ndevu za wanaume wote ambao hawajinyoi ndevu zao wenyewe tu/=. Mwanaume yeyote anayejinyoa mwenyewe yule kinyozi hapaswi kumnyoa. Sasa swali ni, nani hunyoa ndevu za kinyozi? Kama kinyozi anajinyoa ndevu zake mwenyewe, basi hawezi...
  2. JamiiForums Tanzania Na mme wenu kapigwa,Sasa kesi mtakuwa mnaenda kushtak kwa Nani?

    Baada ya mke kupigwa siku chache zilizopita,kaanza kujishebedua kuwa yupo mmewe mkali kuliko ataweza kuwapiga,Cha kushangaza Leo na mme kala kichapo!! Sasa huyu mwanamke sjui anasemaje?
  3. JamiiForums Tanzania Je, huyu mtoto wa kiume nani anamsaidia au kumshika mkono?

    Kwani hatuna vijana wa kiume walioacha masomo kwa kusababishiwa na wazazi au walezi wao hata wakajikuta wamepotea mtaani? Katika miji na majiji vijana wa kiume wanafanya kazi ya kukata nyasi za mifugo, kuuza kahawa kwenye mabirika, kusafisha vioo vya magari na wengine wapo kwa ajili ya kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiisoma hii hadithi unamuela Rais Samia kwanini alisema Stupid ila mpaka leo hatujui stupid ni nani

    “If to correct you must humiliate; you don't know how to teach.” An old man meets a young man who asks: “Do you remember me?” And the old man says no. Then the young man tells him he was his student, And the teacher asks: “What do you do, what do you do in life?” The young man answers: “Well, I...
  5. JamiiForums Tanzania Nani anayeweza kutegua kitendawili kwenye hizi picha?

    Hizi ni baadhi ya picha (optical illusion) zilizoenda viral sana. Unaweza ukafafanua utata wake?
  6. JamiiForums Tanzania Zungu achaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge kwa 98.33% ya Kura

    Mgombea pekee wa nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mbunge wa Ilala) amepata 98.33% ya Kura zilizopigwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kati ya Wabunge 301 waliopiga Kura, 296 wamepiga Kura za Ndiyo, 3 wamepiga Kura ya Hapana na Kura mbili zimeharibika...
  7. JamiiForums Tanzania Peter Msangi anayedaiwa kuvujisha picha/video chafu za Waziri wa Kenya ni nani?

    Peter Noel Msangi Mtanzania anayetrend Kenya kwa kuhisiwa kuvujisha picha na video za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga ni nani? Kwa mujibu wa Sonko, kijana huyu alikutana na Waziri huyo mwenye shape yake mwaka 2017 na walianza kuchapana na ulikuwa mchepuko wake wa Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Rajab (Harmonize) Vs Nasib (Diamond). Nani tumkabidhi tuzo 2023?

    Kutokana na mchango wao wanaouonesha katika taifa, hasa ule wa kuitangaza nchi yetu nje ya mipaka, hatuna budi kuwapa motisha kutokana na kazi nzuri waifanyayo Mimi pamoja na jopo zima la sanaa X na tuzo bora Afrika mashariki, kwa kushirikiana na baraza la sanaa nchini, hatutoishia kuwaalika...
  9. JamiiForums Tanzania Je, CCM Inapaswa Kulaumiwa kwa Vijana Kupoteza ari ya Siasa nchini? Tafakari Kuhusu Elimu ya Siasa Tanzania

    Uko msamiati miongoni mwa wanazuoni wa Kikoloni kuelezea mtu ambaye kwa juhudi na maarifa yake pekee, bila usaidizi wa mtu ama mifumo au jamii fulani ya watu, huweza kufanikisha ama kufanikiwa kuinua maisha yake kwa viwango vya kushangaza. Hili laweza kuwa katika biashara, siasa na kadhalika, na...
  10. JamiiForums Tanzania Kati ya Burhani na Hemeti nani ashinde Sudan

    Mapigano mengine makali ya wenyewe kwa wenyewe yameibuka nchini Sudan.Safari hii ni kati ya general Abdel Fattah al-Burhan ambaye ndiye kiongozi wa nchi hiyo kwa sasa na mkuu wa jeshi. Mpinzani wake ni general Mohamed Hamdan Dagalo maarufu kama Hemeti na ambaye ndiye naibu katika utawala wa sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Nani zaidi?

    Mimi AWE katisha.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hizi bilioni Kumi za vikundi mbona hakuna kikundi kijijini kinachodaiwa? Waliolipwa ni wakina nani?

    Hizi fedha zilitolewa Kwa ajili ya viongozi wa CCM, wakagawana Kwa mgongo wa kijiji. Hakuna mwana ACT wala CHadema wala chama kingine cha siasa aliyepewa hizi fedha. Zilichukuliwa zikapelekwa kwenye matawi ya CCM wakagawana. Hii NI mara ya pili zoezi kama ili linafanyika, yalitolewaga mabilioni...
  13. JamiiForums Tanzania Nani anawavalisha Viongozi/Marais wa Tanzania? Hawavai kizalendo

    Salaam Wakuu, Kwenye hii picha kuna nguo na viatu vya aliyekuwa rais wa Tanzania Hayati John Magufuli. Tutumie picha hii kutafakari Watanzania tulipo, Tulipotoka na tunapoenda? Chemsha bongo. Unahisi Kiatu cha aliyekuwa rais wa Tanzania Magufuli ni Kipi? picha ya kushoto au Kulia?
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

    Nimejaribu kucheki baadhi ya members wengi wao tumechelewa sana kujoin JF japokuwa tulikuwa watumiaji tokea kitambo, kitu kinachonifanya nijutie kweli maana JF inaniumbua kama member mpya yani natamani hata kuwa Senior member.😂 Apart from KIGOGO ambaye alijoin 2007 nani mwingine ni mkongwe...
  15. JamiiForums Tanzania Kati ya Equity Bank na Exim Bank nani ana afadhali katika huduma na makato?

    Wadau kwema, Nimekuwa nikitumia bank moja hivi sitoitaja jina lake, lakini nimechoshwa na makato yake ya ajabu ajabu. Sasa nimefikia maamuzi ya kubadili mtoa huduma. Je, kati ya hizo bank mbili yaani Equity na Exim ni yupi ana huduma nzuri in terms of makato madogo, zero maintain fee...
  16. JamiiForums Tanzania Ukurasa wa Twitter wa Nape Nnauye nani anausimamia?

    Najua wazi viongozi wengi wa kisiasa wana vijembe sana. Wapo niliowahi kukutana nao na kushuhudia mwenyewe majibu yao yasiyo na staha. Lakini linapokuja suala la maadili, ifike mahali tuambiane ukweli. Kwa majibu haya ya kejeli nina wasiwasi na anayetoa majibu hayo. Ni yeye kweli au kuna mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Una namba ya simu ya nani ambaye hutakaa uisahau?

    Hii inatokana na umuhimu wa mtu huyo au watu hao kwako.. Mwenzenu toka mwaka 2004 nikiwa bado primary school, enzi hizo tunatumia simu za kukoroga (za Ttcl), kama hii pichani Mwenzenu hapa ndio niliweza kuiona namba ya simu ya Kaka yangu ambapo baba mdogo alikuwa akimpigia mara kwa mara...
  18. JamiiForums Tanzania Kwako Mbunge Gwajima, nani anahusika na uuzaji wa eneo la Mecco Kunduchi?

    Mchungaji Joseph at Gwajima wewe ni mbunge wa jimbo la Kawe. Upo bize kweli na siasa za Sukuma Gang ukisahau zile za jimbo lako. Taarifa iliyopo ni kwamba eneo la mecco kunduchi "mashimoni" linataka kuvamiwa. Watoto wa mjini wanalitolea macho wakidai kupisha mwendo kasi. Wananchi hawa...
  19. JamiiForums Tanzania Nipeni elimu juu ya madeni ya Luku, hayo madeni huwa yanakopwa na nani? Kwanini nidaiwe mimi kwenye meter yangu?

    Habari zenu wote humu ndani. Kuna sehemu ilikuwa na frem mpya kabisa nikaona nichukue chumba, kila chumba kina meter yake, cha ajabu leo hii naaka ninunue luku ya elf 5 inakataa, nikaweka umeme wa elf 10 nimeambuliwa kupewa unit 10 tu za ememe wa elf 3 huku deni likiwa elf 6, buku iliyobaki...
  20. JamiiForums Tanzania Kati ya wanawake na wanaume nani wanaongoza kutangaza madhaifu ya wenzao?

    Nimejaribu kufikiria, kwa upande wangu naona wanaume wanapenda sana kutangaza wapenzi/wake wao. Yaani iwe kwa wema au ubaya. Utasikia mke wangu hajui kabisa kupika! Au yule demu akilala kama gogo! Wanawake ni nadra sana kusema, wengi hustruggle kumbadili ili awe vile anavyotaka awe. Au wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…