nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi

    Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai. Nape ameandika kupitia Twitter -- MAJIBU YA TANZANIA KUHUSU TAARIFA ZA...
  2. JamiiForums Tanzania DP World walipatikanaje kama hatukuona tenda ikitangazwa?

    Kuhusu bandari mimi siungi mkono ubinafsishaji wake hata kidogo! Ibinafsishwe ili sisi tufanye nini? Kwani uendeshaji wake unagharimu nini ambacho hatukimudu kama nchi? Mbona ATCL inapewa ndege mpya na serikali na bado inapata hasara ila haibinafdishwi? Bandari inaingiza hasara gani mpaka...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

    WANAUKUMBI. Hii ni kauli ya Dr Slaa. Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi "Najua kuna viongozi wanakaa...
  4. JamiiForums Tanzania Nawashangaa watu wachafu wanaohangaika kusafishiwa nyota wakati tatizo ni uchafu, kuoga na usafi wa mazingira ni shida. Nani umvutie?

    Tena ni hasa jamii flani ya sehemu flani (sio dini) nisingependa kuitaja kuna baadhi yao uchafu kwao ni suala la kawaida kabisa, mtu kuwa msafi ni kwa nje tu juu juu lakini usafi wa mwili na mazingira anayoishi upo chini mnoooo, atafukiza mamoshi ya udi kuondoa harufu, kuoga zinapita hata siku 3...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kupotea na kutoweka kwa Mtoto wa Rais Thabo Mbeki eneo la Mazimbu Morogoro. Nani walihusika?

    Ktk pitapita zangu viunga vya YouTube nakutana na kisa hiki. Ikumbukwe South Africa walikuwa na kambi ya wapigania Uhuru eneo la Mazimbu Morogoro. Aliyewahi kuwa Rais wa South Africa Thabo Mbeki 1999 Hadi 2008 alikuwa na Mtoto mmoja tu wa pekee aitwaye Kwanda Mbeki. Alimzaa na Mwanafunzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

    Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi. Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake. Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa? Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
  7. JamiiForums Tanzania Nani anafahamu jinsi ya kusali Novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anisaidie?

    Habari zenu watu wa Mungu, Naomba mwenye kufahamu namna ya kusali/kufunga novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anipe maelezo yake jinsi ya kufanya. Natanguliza shukrani.
  8. JamiiForums Tanzania Nani alikuwa na bajeti halisi ya usajili wa Simba na Yanga?

    Naomba kuuliza hadi sasa kwa jinsi usajili ulivyoendelea kati Young African na Simba sport club nani aliwadanganya wachama wake?
  9. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke nani atamuoa? Atalipwa nae?

    Tazama picha sina maelezo yapo katika picha.
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake mnavutiwa na nani humu JF?

    Tuambieni jamani wanawake ukiona ID yanani humu unaanza kupata hisia za mapenzi sema tu basi tujue siri sio nzuri. Naombeni mushuke
  11. JamiiForums Tanzania Hii collabo kati ya mtu mzima Jigga (Jay-Z) na Slim Shady (Eminem) Renegade nani aliua (verses kali)?

    Mataita, kwa wale wote ambao tayari wameupa sikio mkwaju huu wa "Renegade" kati ya mzee mzima Jigga akimshirikisha Slim Shady ni mchizi gani alipiga verses kali humu. Mpaka sasa mzani wangu bado upo 50/50 verses za machizi wote nazielewa kiaina. Sijui kwa nini hawa mataita huu mkwaju hawa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika ni nani?

    Katika mila na desturi za Kiafrika kuna maswala ambayo yamehodhi jadi za matukio ambayo yaliakisi Makabila hayo kujinasibisha na mahala kuwa makazi yao ya asili kutokana na fursa zilokuwepo. Na historia ya makabila haya imetokana na koo zile zile za Wakulima, Wafugaji na Wavuvi kutengana aidha...
  13. JamiiForums Tanzania Kati ya Assad na Paskal nani anatakiwa amuunge mkono mwenzake kwenye jambo la kisheria?

    Kati ya Post zilizomo humu leo nimemuona Paskal akimuunga mkono Assad, Paskal ni mwanasheria mzuri Assad tunamfahamu kwa umahili wake kwenye mahesabu ya ndululu sijui kama naye ni mwanasheria. Leo Assad amejitokeza na kuelezea mambo ya kisheria kuhusu uwekezaji wa bandari na kuungwa mkono na...
  14. JamiiForums Tanzania Nani Anamiliki Akaunti Ya Tanzania Leaks?

    Wakuu kuna Akaunti inavuma Sana kule X(Twitter) na inavujisha Siri npzito nzito za wanasiasa. Hata mjadala wa sakata la bandari kwa mara ya kwanza ulianzia kwenye hiyo akaunti. Nadhani ni mbadala wa Kigogo wa awamu ya tano. Mmililiki anaonekana ni mtu mzito ndani ya serikali, ambaye hakubaliani...
  15. JamiiForums Tanzania Nani anasimamia Yanga App? Tuanaibiwa

    Kwanza Kabisa mimi ni mshabiki wa Yanga, lakini kuna jambo moja linaweza kuonekana lipo vizuri lakini linakwaza. Nimeshalipia App ya Yanga Mara 3 lakin sipati access ya kusoma habari za yanga. Kwa maana ya kwamba ukilipia bado ukiingia kwenye app haitambui malipo yako na bado itakudai ulipie...
  16. JamiiForums Tanzania Tujadili kuhusu EPL, nani kutwaa kombe 2023/2024?

    Nani ataweza kutwaa hili kombe la premier League season ya 2023/2024??? 1. Manchester City 2. Arsenal 3. Manchester United 4. Liverpool 5. Chelsea 6. Newcastle 7. Brighton 8. Tottenham
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka unakaribia kuisha unamwambia nani nini?

    Mimi napenda kumwambia Intelligent businessman aoe mke wapili ache michepuko ili tumuone next year, pili na mwambia National Anthem aoe usingle 2024 hautajiki au tunakuuza ukawe mtumwa huko kwa waarabu , Lovelovie I miss you umepotea jamani babe wangu,Joannah my dear upo?? Pridah outing mama...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF 1993, We Nani ubishe??

    Katika hotuba yake kwenye siku ya Simba Day 06 Aug 2023, Rais wa Nchi Mama Samiah Suluhu amesema anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF mwaka 1993 na Robo fainali Msimu ulioisha. Sasa wewe Uto endelea kubisha na kuita sijui Abiola Cup. Kwanza unaweza kushitakiwa kwa uhainin Kwa kuonekana...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nani ni mlinzi wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Habari wanajamvi? Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja ya msingi. Kwa muda sasa KATIBA YA JMT imekuwa ikivunjwa na wana Siasa kadiri wanavyo penda bila kujali viapo vyao. Swali ninalo jiuliza ni kwamba ni nani hasa ni mlizi wa KATIBA yetu? Binafsi nimeshuhudia Rais Magufuli akivunja KATIBA mara...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya wimbi la mapinduzi ya kijeshi barani Afrika?

    Katika kipindi cha miaka minne (2020-2023) bara la Afrika limeshuhudia mapinduzi ya kijeshi katika nchi sita (Burkina Faso, Chad, Guinea, Mali, Niger na Sudan). Wimbi hili limekuja baada ya kipindi kirefu cha utulivu, ambao ulilisaidia bara la Afrika kuwa moja ya maeneo yenye ongezeko la uchumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…