nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wengi watashindwa kumtambua huyu ni nani

  2. JamiiForums Tanzania Kati ya DJ na Mpiga kinanda nani Mkali?

    Kura yangu naitupa kwa mpiga kinanda kumaster hiyo.keyboard kwa nyimbo tofauti tofauti siyo kazi rahisi...Dj siyo kiviile.
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nani alitoa Kibali cha Ujenzi kwa anayejenga Eneo la Mkondo wa Maji katika Mtaa wa Kibugumo, Kigamboni?

    Baadhi ya sisi Wakazi wa Mtaa wa Kibugumo Wilaya ya Kigamboni pembezoni na ilipo Sheli ya Puma hapa Dar es Salaam kuna mwekezaji ameziba njia ya maji hali ambayo imetufanya tunaoishi maeneo ya karibu na eneo hilo kuingiwa na hofu endapo mvua kubwa zikinyesha basi mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania Huu ujumbe wa Nape Nnauye anamlenga nani?

    kwa upepo wa sasa wa siasa unavyoenda unahisi huu ujumbe wa Nape Nnauye unamlenga nani?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba: Hata Mo hatumtaki. Alimpa nani hela (bil. 3) ya usajili?

    Mashabiki wa Simba wanalalamika kuwa hata tajiri wa Simba Mo anaishi kiujanja ujanja. Inaonekana hata fedha ya usajili wa wachezaji hatoi kwa kiasi kinachotajwa. Mo aliwahi kusema kuwa alitoa bilioni 3 za usajili wa wachezaji. Ni muda muafaka sasa atoke hadharani amtaje liyemkabidhi hizo...
  6. JamiiForums Tanzania Makonda ni nani hasa kwenye Siasa za Tanzania? Kwanini nguvu kubwa inatumika kumrejesha ulingoni?

    Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM anatarajiwa kufanya ziara mikoa ya Kanda ya Ziwa lakini tetesi za mambo yanayoelezwa kuendelea ili kumpokea yanatia aibu, kutia hasira na kufedhehesha sana. Inadaiwa Mkuu wa Wilaya ya Chato ameziamuru Taasisi zote za Kiserikali Wilayani mwake kutoa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nani Mgombea Urais kupitia CHADEMA 2025 kati ya Mbowe na Lissu?

    Wanasiasa wanaoweza kupambana na mgombea wa CCM 2025 ni wawili tu kwa sasa. Freeman Mbowe na Tundu Lissu Yupi kati ya hawa ataleta ushindani chanya?
  8. JamiiForums Tanzania Katika tasnia ya kamali Kanji (Mhindi) ni nani?

    Habari za kushinda wana wa jf, Bila kuwachosha niwaulize moja kwa mojaaa wengi katika masuala ya kubeti huwa mnampania kummpiga kanji hii haitegemei na kampuni. Bali kila mtu mara muhindi kanila au kanji, hii nadharia ya kanji au muhindi wakuu imekuaje ....imekuaje kampuni ziko njingi lakin...
  9. JamiiForums Tanzania Nani anawalipa Influencers kwenye matukio ya Kiserikali

    Kwa sasa naona tumekumbwa na wimbi kubwa la Influencers kutumika katika masuala ya kiserikali. Mathalani hivi karibuni, ndugu Mwijaku alikuwa na deal ya utalii na kukawa na shida ya nani anamlipa, serikali kuitia bodi ya utalii au namna gani. Hata hivyo, hii sio tukio la kwanza watu wengi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania 2025 tukichaguana kwa U-Simba na U-Yanga, nani ataibuka mshindi?

    Salaam, Shalom! CDM na CCM hoyee! Twende haraka kwenye mada. HOJA ya swali hapo juu ni kutaka kujadili madhara na faida za kuingiza siasa michezoni. Tumeona hivi sasa imeibuka TABIA ngeni ambayo tangu uhuru hatujawahi kuiona ikiendelea kuzoeleka. Michezo tangu uhuru imekuwa ni chanzo Cha...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mtanange wa kesho huu hapa

  12. R

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kutueleza kwa kifupi bunge limefikia maamuzi gani kuhusu Madudu ya yaliyoripotiwa na CAG? Ndio tuseme tunasubiri ripoti nyingine mwakani?

    Nimeona wabunge na mawaziri wamemaliza kujadili ripoti ya CAG. Kwa namna mambo yalivyokwenda ni kama spika amesimama na mawaziri kufunika kombe. Lakini wakati huo wabunge wakiamua kuungana na mawaziri dakika ya mwisho kwa kupiga makofi kama walivyopigiana wakati wakichangia. Cha msingi zaidi ni...
  13. JamiiForums Tanzania Aliyewaambia Jeshi la Polisi askari kunyoa ndevu ni ishara ya utii ni nani?

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,tofauti na hapo utaambulia chuya tu! Ukiwaona askari polisi wanaolipwa mishahara huwezi kuwatofautisha na wafungwa wa pale kwetu Gereza la Luanda Mbeya,au kule Moshi kwa Shangazi yangu Gereza la Karanga,Au kule Kwa watani zangu Mwanza Gereza la Butimba au...
  14. JamiiForums Tanzania Ni nani anayetaka kuweka maisha yake hatarini kwa sababu ya kuhoji tu?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Nauliza hili swali hapa, ila nina uhakika hakuna atakaekuwa tayari kujitokeza kunijibu. Hii ni kwa sababu wengi wanatumiwa ili mkono uende kinywani, lkn umafia wa yule anaewatumia wanaujua vizuri sana. Hapa nazungumzia ule upande wa kondoo kutembea kichwa chini...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na; Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. Kueneza na kufafanua...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi nyie michepuko mnajiona nyie nani?

    Yaani mwenzenu leo kuna kadada kamenikera sana kanajiona kuharibu ndoa ya mwenzake . Sijui yeye ninani kamfuata mwenzake kazini nakumtafuta uchokozi. Na akahakikisha atamchukua mume na watoto na hana chakumfanya hata iweje, na kamwambia either uiche ndoa yako mwenyewe au nikuue jamani. Hivi...
  17. JamiiForums Tanzania Kati ya aliyempa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza yenye Jina lake na lenye Cheo chake nani ana Akili na nani hana Akili?

    Hongereni sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbeshimisha Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bw. David Concar kwa Kumzawadia Zawadi ya Jezi yenye Jina lake kwa nyuma. Poleni sana kwa Wengine kwa kuendelea kuwa Washamba kwa Kumzawadia Mheshimiwa Balozi huyo wa Uingereza Jezi yenye Jina (...
  18. JamiiForums Tanzania Nani anawajibika kutoa ajira au kazi?

    Tupo kwenye dunia ambayo mageuzo ni makubwa na athari ni kubwa hasa kwa jamii ambayo haijajiandaa. Mbaya zaidi mageuzo hao hayajali umejiandaa au hujajiandaa, umeelewa au hujaelewa. Hivi leo, kwa sababu ya maendeleo mbalimbali ikiwemo maendeleo ya teknolojia, dunia inakabiliwa na changamoto...
  19. JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kuwakatia viuno wageni kwenye viwanja vya ndege nani aliuanzisha?

    Ukihitaji salamu njoo unikatie mauno kwanza kama Yondo, tofauti na hapo utaambulia chuya! Huu utaratibu ulianza kama mzaha lakini kadiri siku zinavyozidi ndivyo hali inakuwa mbaya,kitu kibaya zaidi hadi wanaume watu wazima utawakuta nao wamejifunga kibwebwe wanakata mauno bila aibu wala soni...
  20. JamiiForums Tanzania Man Utd ya 2008 Vs Man City ya 2023 | Nani angeibuka na ushindi kutokana na ubora wa vikosi vyao?

    Chukulia vikosi vote katika ubora wake, Man Utd iliyoshinda Uefa Champions League 2008 Vs Man City iliyoshinda UCL 2023 nani angeibuka na ushindi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…