nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nani yupo salama? Tupo kwenye nyakati zinazohitaji akili kubwa kuliko Moyo mkubwa(Moyo mzuri)

    Niwaslimu ndugu zangu hapa!! Kama Bado unayo pumzi basi vuta pumzi Kisha ipe akili kazi. Nani yupo salama??? Tupo kwenye nyakati zinazohitaji akili kubwa kuliko Moyo mkubwa(Moyo mzuri) 1-Nyuma ya Kila technology IPO dhana fiche ambayo inatumika kama Silaha ya kupata muda,nguvu, UWEPO na akili...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mind game za kishamba na utoto sijui zinaweza kumuathiri nani!

    Kwamba Simba kutotokea kwenye press ni jambo linaloweza kuwatoa yanga mchezoni? Kwamba Simba kutotokea kwenye press ndio wanawaaminisha mashabiki wao awapeleki timu uwanjani? Hiki ni kisa cha yule bwana aliyesikika akisema Mimi situmii samaki lakini mchuzi wa samaki nakunywa! Unashindwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge wako ni nani? Unampa ngapi kati ya 10 kwa maendeleo aliyokuletea?

    Wakuu, Huko X kuna mjadala unaendelea umenivutia nimeona niwaletee huku Swali ni hili, Mbunge wako wa sasa ni nani, na kwa kipindi alichopo madarakani, unampa alama ngapi kati ya 10 kulingana na maendeleo ya kweli aliyoyafanya kwenye jimbo lako? Karibuni
  4. JamiiForums Tanzania Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC? Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nani wa kumwambia Irani mchezo anaocheza dhidi ya marekeni ni hatari sana kwa Irani?

    Kwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi kali na maumivu yasiyosimulika. Ndio maana najiuliza swali hili: Nani wa kumwambia Irani kuwa mchezo...
  6. JamiiForums Tanzania Nani anatuwakilisha US-Africa Business Summit, Luanda, Angola?

    Nani mwakilishi wetu huko kwenye US-Africa Business Summit inayofanyika Luanda, Angola? Makamu yupo Roma,Italy, PM Bungeni. Tujitahid tuhudhurie hii kitu muhimu sana. Najua hatutakosa mikopo huko
  7. JamiiForums Tanzania Tujadili kwa Umakini: Nani anateka na kwanini wanaotekwa ni wakosoaji wa utawala?

    Tujiulize kwa uzito na dhamira safi: Kwa nini matukio ya utekaji yameendelea kuwa siri nzito inayoumiza jamii, na kwa nini wahanga wakubwa ni wale tu wanaothubutu kusema wazi kuhusu mfumo wa uongozi? Hii sio coincidence—ni pattern ya hatari. Kama taifa, hatuwezi kuendelea kufumba macho huku...
  8. JamiiForums Tanzania Kikwete: Nani hao akina "na mimi mwenzenu"?

    Leo, June 21, 2025, JNICC katika kongamano la sheria kuelekea uchaguzi mkuu, lililoandaliwa na Chama cha mawakili wa serikali, Mh. Jakaya kikwete, amesimulia kisa cha kufikirisha sana. Kwakifupi sana; kisa hiki ni cha mlevi wa gongo, kuzamia kikao cha kahawa, na kujitambulisha "na mm mwenzenu"...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa linalipwa na nani

    Nimemskia rais samia akisema kuwa ufaransa wapo tayari kuendelea kutupa mikopo zaidi kwa maendeleo ya nchi yetu. Mpaka sasa deni la taifa limeshavuka trillion 107 na bado tunaambiwa nchi yetu itaendelea kukopa kwa sababu deni la nchi bado ni stahimilivu. Najiulizaga maswali mengi sana juu ya...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

    Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana. Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze. Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro. Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu Waziri anayetaka kumdhuru Mzalendo Heche ni nani? Kwa nini anamuhofia Heche.?

    Kuna mkutano mkubwa wa CHADEMA. Heche amemwambia Dj apige audio ya mmoja wa Mawaziri wa CCM akiapa kumnyoosha Heche kwa kumdhuru. Je, huyu Waziri ni nani na kwa nini awe anatishia watu maisha? # No reform no election
  12. M

    JamiiForums Tanzania People who win the war, ni wenye IQ kubwa tu, Isrel anapiga vyenye upinzani kwanza, Iran anapiga visivyo na kizuizi, nani ni nani?

    Acha akili kubwa iendelee kuongoza dunia na itakuwa hivyo milele Najifunza mengi sana kwenye hii vita Ukiangalia mashambulizi ya pande zote Mbili, Iran na Israel Huwenda uwezo wao ni mmoja tu na ama wanazidiana kidogo sana ila akili ndiyo inayoamua hii vita Mashambulizi ya Iran yanalenga...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiwa na miaka 17 ulikua na nini na nani?

    Leo katika pitapita zangu mitandaoni mana kipindi hiki bwana ukikosa bando Bora ukose mke au mume ila sio Bando. Dakika kumi kuzima data ni nyingi ukiwasha ni kama miaka mitano imekupita. Nakutana na habari ya lamine yamal Mimi namuita bitozi nyangema,...akiwa anakula raha na...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Watanganyika na Wazanzibari hawataki muungano, muungano ni wa nani?

    https://www.youtube.com/watch?v=_6uZjtRfs40 Kuna video nyingi zinazunguka mtandaaoni ambapo Wazanzibari wanasema hawataki muungano na wanataka nchi yao. Wanahoji zilipo hati za muungano. Je, kati ya watanganyika na wazanzibari, nani ananufaika na huu muungano unaonza kuwa mgongano? Je...
  15. JamiiForums Tanzania Live from King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Shirikana Jukwaa la Wahariri, TEF

    Wanabodi Niko hapa King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Kati ya Shirika la Nyumba la Taifa, NHC na Jukwaa la Wahariri, TEF. Tuanze na wasilisho WASILISHO KUHUSU UTENDAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI Hamad Abdallah Hamad Mkurugenzi Mkuu Shirika la Nyumba la...
  16. JamiiForums Tanzania Kwani wanajihami na nani?

    Muda huu napita hapa kisutu naona polisi wamezingira na Hawaii is ishirini na wana magari 3,wanajihami na nini hawa watu?.
  17. JamiiForums Tanzania Nani angemsikia

    Nani angemsikia ? Tulikuwa kijiweni, akafika kaka Uledii Asema changamkeni, akatupa mredii Ana kitu mkononi, twendeni kwa zawadii Nani angemsikia, mapenzi yamemuua Akaagiza mabapa, vijana tufurahini Mtu asitoke kapa, kinywaji hiki kunyweni Akayavaa malapa, akenda zake chooni Nani angemsikia...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tujadiliane JF kuhusu hili: Wewe ulitegemea nani awe Chief Justice?

    Tupeane mawazo kidogo maana tumekuwa stunned na what happened! Mimi Nilitegemea hawa (but not limited to) kwa kusoma hukumu zao and their power of reasoning being very high! 1. Mugasha, Mkuye, Mwandambo, Mwarija
  19. JamiiForums Tanzania Huyu tajiri wa mabasi ya Jonhavia investment ni nani hapo Musoma?

    Siku za hivi karibuni hii kampuni ya Jonhavia investment yenye makao makuu yake Musoma mkoani mara imekua ikitoa ushindani kwa wakongwe wa kanda ya ziwa,jamaa nadhani kila mwezi anaingiza vyuma vipya barabarani. Ningependa kumjua huyu mmiliki ni nani hapo Musoma?
  20. W

    JamiiForums Tanzania Nani unamtabiri kuwa Rais mpya wa TFF katika uchaguzi wa mwezi wa nane ?

    Uchaguzi uliopita Karia aliweza kutwaa kiti cha urais kwa mara ya pili kwa kuengua wapinzani wote kisha yeye mwenyewe kubaki kugombea. kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Karia kashamaliza muda wake wa mihula miwili, hawezi kugombea tena. Je ni nani atakuwa Rais mpya ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…