and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,279 Reaction score 39,821 Feb 23, 2025 #1 Wapi vijana bado wanasoma BA Archaeology ili waje kufanya kazi wapi?
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 13,358 Reaction score 25,241 Feb 23, 2025 #2 Dr Louis Leakey and Mary
LorenzoA JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 5,889 Reaction score 17,753 Feb 23, 2025 #3 Kuwa mpole mzee .. Kuna nafasi nyingi sana Kwenye hiyo field hasa upande wa Conservation... NCAA, TANAPA etc... Wapo wanaopata na kufanikiwa katika kila course... Na wapo wanaochemka kwa maelfu pia kwenye kila course .. Usikatishe watu tamaa
Kuwa mpole mzee .. Kuna nafasi nyingi sana Kwenye hiyo field hasa upande wa Conservation... NCAA, TANAPA etc... Wapo wanaopata na kufanikiwa katika kila course... Na wapo wanaochemka kwa maelfu pia kwenye kila course .. Usikatishe watu tamaa
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 34,331 Reaction score 99,923 Feb 23, 2025 #4 Issue za Carbon 14
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,279 Reaction score 39,821 Feb 23, 2025 Thread starter #5 Ud bado wanatoa hiyo kozi tu
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,711 Reaction score 4,230 Feb 23, 2025 #6 Mad Max said: Issue za Carbon 14 Click to expand... Carbon 14 Director
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,900 Reaction score 1,251,941 Feb 23, 2025 #7 Wanajua wenyewe