nane nane

Joseph Nane Fils Eone (born March 12, 1987 in Yaoundé) is a Cameroonian footballer, who last played for ASIL Lysi in the Cypriot Second Division.

View More On Wikipedia.org
  1. Yesu Anakuja

    Stand ya Nane Nane Dodoma!

    Nimepita stand ya Nanenane Dodoma leo, kuna kitu sijakielewa. 1. ukiingia na gari, wanakulipisha ushuru wa kuingia na gari. na wanakupa tiket. 2. ukipaki gari, unapoingia kwa abiria unalipishwa, hata kama una tiket ya bus. sasa mimi kwa mfano, nimekuja na mwanafamilia nikiendesha gari yangu...
  2. M

    Bashe ni Kiongozi mzuri atafika mbali, lakini ulichofanya Nanenane Mbeya Mungu anakuona

    Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima Watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wakulima tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru. Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
  3. M

    Bashe ni Kiongozi mzuri atafika mbaki lakini ulichofanya nane nane Mbeya Mungu anakuona

    Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wana tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru. Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia: Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya Nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha sikuku ya Nane Nane jijini Mbeya, leo Agosti 8, 2023. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amesema wakazi wa Mbeya wanaunga mkono uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Bandari ya...
  5. J

    Victoria Mwanziva: Karibuni banda la Wilaya ya Ludewa kwenye maonesho ya nane nane Mbeya katika viwanja vya Mwakangale

    NANE NANE MBEYA 2023 KARIBUNI BANDA LA WILAYA YA LUDEWA Maonyesho ya Kilimo - Nane Nane 2023 yafunguliwa leo tarehe 01.08.2023 katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo mgeni rasmi wa sherehe hizo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango...
  6. Lycaon pictus

    Nini kifanyike juu ya majengo ya kwenye viwanja vya Nanenane na Sabasaba ambayo hukaa bure na wazi kwa mwaka mzima?

    Hasa majengo ya nane nane. Kwenye viwanja hivi ambavyo vipo karibu kila mkoa, utakuta taasisi nyingi zimejenga majengo mazuri na ya kudumu. majengo haya huwa hayatumiki na watu kwa mwaka mzima isipokuwa Kwenye sherehe za nane nane au sabasaba. Tunawezake kuyatumia majengo haya kwa faida kwa...
  7. Bushmamy

    Maonyesho ya nane nane yanaendelea kupoteza mvuto mwaka hadi mwaka

    Maonyesho haya maalum kwa ajili ya wakulima na wafugaji ambayo hufanyika kila mwaka yanaendelea kupoteza mvuto wake tofauti na ile miaka ya uanzishwaji wake Yan 95,96 na kuendelea. Lakini kuanzia miaka hii ya 2000 katikati hali ni tofauti na miaka ya nyuma. Wamachinga kwenye maonyesho...
  8. K

    Plot4Sale OFA YA NANE NANE VIWANJA

    Je ungependa kumiliki kiwanja msimu huu wa sikukuu ya nane nane basi EPL wanakumilikisha kiwanja kwa punguzo la 50% kwenye mradi wa viwanja uliopo Fukayosi-Bagamoyo ni km 1.2 tu kutoka barabara ya lami,Huduma zote za kijamii zinapatikana Tuwasiliane +255 625234332 Whatsapp
  9. K

    Plot4Sale Viwanja DSM na Pwani

    VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu. Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya Tsh 1050 kwa sqm 1 Kama utalipa Cash na Tsh 1,250 kwa sqm 1 kwa mkopo ambapo utalipia 40% na...
  10. Messenger RNA

    Utumishi mko wapi nane nane?.

    Hawa utumishi ndio ilikuwa fursa ya kutatua changamoto za vijana kwenye mfumo uombaji wa ajira kwa kanda zote kipindi hiki cha nane nane kupunguza usumbufu wanaopata vijana,cha ajabu tafuta huwaoni hasa kanda ya nyanda za juu kusini inayofanyika mbeya wenzenu karibia wote wapo. ninyi mnakwama wapi?
  11. Red Giant

    Wakoloni walijali kuongeza mshahara kila mwaka

    Maneno ya Shaaban Robert kwenye kitabu Maisha yangu na baada ya miaka hamsini. IDARA YA FORODHA SASA katika kazi ya ukarani nilikuwa mimekwisha kutimiza miaka kumi katika idara hii. Mshahara wangu wa shilingi sitini kwa mwezi nilioanzia kazi sasa ulikuwa umezidi mara mbili kwa sababu kila...
  12. skilled masala

    SoC01 Maadhimisho ya Sherehe za Nane Nane yatatue tatizo la Ajira kwa Vijana wa Vyuo Vikuu Nchini

    Masala sayi 08, August 2021 Chuo Kikuu cha Iringa. Kila ifikapo tarehe 08, August ya kila mwaka Tanzania huadhimisha sikukuu ya wakulima ambapo lengo kuu la sikukuu hiyo ni kuangalia mafanikio ya wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mwaka husika, hivyo serikali kupitia wizara ya kilimo huandaa...
  13. M

    Maadhimisho ya nane nane mwaka huu yamefutwa?

    Leo ni siku ya Wakulima Nchini! Siku hii huhitimisha wiki moja ya Maonesho ya Kilimo Nchi nzima ambako Wakulima naWafugaji hukutana na kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya Seekta yao! Cha ajabu mwaka huu hakuna chochote kilichofanyika sijui kumetokea Nini!?Au Corona?! Kama ndivyo mbona...
Back
Top Bottom