Na Mwandishi Wetu,
Namtumbo: Njama zilizokuwa zimepangwa na mmoja wa watia nia wa ubunge Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma kuzuia makabidhiano ya gari jipya la wagonjwa (ambulance), zimekwama.
Taarifa zinadai kwamba mtia nia huyo, Juma Zuberi Homera, aliwaandaa vijana kadhaa ili wafanye fujo...