nami

"Al-Damad" Ahmad Nami or "Damat" Ahmet Nami (Arabic: أحمد نامي‎) (1873 – 13 December 1962) was an Ottoman prince (damat), the 5th Prime Minister of Syria and 2nd President of Syria (1926–28), and a lecturer of History and Politics.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimepokea shukrani zenu kwa dhati. Nami nawapongeza kwa kuonesha ushirikiano nyie wanawake wa 4

    Nashuwakuru nyie wadada wanne ambao mmewasiliana nami na kunisihi niwapatie Zawadi ya Mimba kama ambavyo nliahidi. Na pia nyie wawili ambao tayari mchakato umefanyika kwa kurudia rudia mara tatu ili mridhike kuwa imeingia kama mlivyotaka. Kwa sasa Tuanze tu kusubiria matokeo. Kama msipokuwa...
  2. Watanzania wenye tabia ya Kipuuzi kama hii ifuatayo mkikutana nami katika 18 zangu mtaanyooka tu

    Ni tabia ya Kipuuzi na Kishamba sana ambayo naiona imeshaota Mizizi hasa hapa Jijini/ Mkoani Dar es Salaam. Yaani unakuta umekaa sehemu au mahala (katika Fremu yako ya Biashara) au Kwingineko kisha anakuja Mtu kutaka Huduma fulani badala ya Kwanza Kukusalimu aliyekukuta Yeye Moja kwa Moja...
  3. N

    Agiza nami Vioo vya samsung original kutoka China ndani ya siku 14 za kazi

    Habari wana JF, Nimepata chimbo la kupata vioo original vya simu za samsung kutoka China, nakuagizia ndani ya siku 14 za kazi unapokea mzigo wako kwa bei nzuri kabisa. Nicheki whatsapp 0657940974
  4. S

    Leo nafufuka na Yesu Kristo. Naomba msamaha kwa wote niliowakosea humu JF, nami nimewasamehe.

    Huku JF wakati mwingine huwa naingia nikiwa serious na nikiwa makini kweli kweli. Lkn Kuna muda nakuwa na stress zangu tu naamua kuja kuziondolea huku. Hivyo kuna muda natoa maoni yanayoweza kuwa yamewakwaza baadhi yenu. Nachukuwa fursa hii kuomba radhi kwenu nyote ktk siku hii takatifu...
  5. T

    Nitajie viongozi wawili tu shupavu kutoka Pwani nami nikutajie viongozi 10 shupavu na wenye uwezo mkubwa kutoka mikoa ya bala

    Mara ya kwanza kabisa kufika mikoa ya Pwani, kuna baadhi ya mambo yalinishangaza Nalijifunza kwamba, Mungu alituumba kwa namna ya kutofautiana sana, kutoka watu hadi wanyama na hata ndege! Watu wa Bara ni majitu makubwa makubwa na majasiri yasiyotishwa tishwa kirahisi eti yaogope kirahisi...
  6. Dr Mwaka: Ukiwa nami utakula bata, ukiondoka utaviacha, akakupe Mwingine

    Itoshe tu kusema, Sasa kaanza kujitambua, zile mbwembwe zake óhooo vile ohoooo vile ... Ni mbwembweee Wale Akina Dada mnaolewa kupigia Hesabu Mali ,mkishaona Mali Sasa zanoga mnaanzisha vijisababu ili mvunje Ndoa ,upate nusu Kwa Nusu .. Kaaeni chonjo!!
  7. M

    Baada ya kugundua Mashabiki wa Simba SC wanapenda Kudanganywa nami Nikawadanganya vilivyo

    Baada ya MINOCYCLINE niliyebarikiwa Jicho la Kiufundi kuja na Uzi hapa hapa JamiiForums Wiki Moja imepita kuwa Raja Casablanca FC ni Maji Marefu kwa Simba SC yangu ( yetu ) nilipokea Matusi, Kashfa na Dhihaka nyingi na hatimaye kile nilichokisema leo kimetokea. Na baada ya Kugundua na Kuwasoma...
  8. Ninunue bajaji iniingizie pesa au ninunue gari nami nionekane mtu ila linitese?

    Gari ni muhimu... Ila haliingizi chochote. Zaidi ya kukumaliza tu. Bajaji ikipiga mishe vizuri kwa wiki naweza kuwa naweka kibindoni 150K na dereva anajilipa vizuri. Ushauri wenu.. MONEY IN A BANK.
  9. Nioneshe ofisi yenye weledi wa kimataifa nami nikuoneshe kuku mwenye mwanya

    Kwa kipindi chote nilichofanya kazi na ofisi za serikali au kupata huduma ofisi za umma, nimejiridhisha pasipo na shaka kwamba hakuna ofisi hata moja inayokidhi vigezo vya kimataifa katika utoaji wa huduma. Ofisi zote Bongo ni ujanja ujanja tu. Watu wameacha elimu darasani na kwenye madaftari...
  10. Ofa: Kesho nitaombea wote wenye uhitaji wa kuombewa. Kama wewe ni mmoja wapo jiunge nami

    Anaandika; Robert Heriel Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Kesho ni mwisho wa Mwaka. Kuanzia majira ya 12:00 - 4:00 Usiku nitautumia muda huo kuombea watu wote wenye kuhitaji msaada wa KUOMBEWA. Nafahamu sio Watu wote wanaoamini kwenye mambo ya maombi. Nawaelewa Watu wa Aina hiyo. Maombi haya ni Kwa...
  11. Ombi maalum kwa wale tu wanaonipenda na kuvutiwa nami sana kiuwasilishaji wangu hapa JamiiForums

    Tafadhali kutokana na nyie kila mara (kwa upendo na mapenzi yenu nami) mnaamua kueleza hisia zenu kwangu na kunisifia na kuishia kuhusishwa nami kuwa hizo ID's zenu ni zangu (mimi GENTAMYCINE), nawaombeni acheni kunisifia huko ili kutowakera wanaonichukia. Badala yake muwe mnaanzisha tu threads...
  12. USHUHUDA: Nilisaidia mtu nami nikasaidiwa

    Mwaka fulani, nilikuwa katika wakati mgumu sana, though kidogo nilikuwa na mpunga wa kusavaivu, kuna dogo mtoto mmoja nikakutana naye ameshindwa kuendelea na masomo kwasababu ya ada, niliamua kutoa hela kumlipia ada pamoja na kwamba mwenyewe nilikuwa na uhitaji mkubwa sana. Dogo akaenda shule...
  13. N

    Tuombe Mungu, nami sasa naiona ww3 mlangoni!

    Sioni namna yoyote huyu urusi anaenda kuyaachia hayo maeneo aliyojitangazia....naona yupo tayari hata kwa kujitoa mhanga! Nikiiangalia ile sura ya Putin siku anasema na kuihusisha nuclear, nauona wazi ujumbe wa 'bora iteketee mbali dunia yenyewe kuliko hawa West kunipelekesha'.....alikazia mara...
  14. J

    SoC02 Zungumza nami juu ya Saratani ya Mitoki- Hodgkin's Lymphoma

    Daima saratani hutishia inapokuja kugonga, lakini hivyo hasa wakati mlango ambao unagongwa hodi ni wa nyumba yako. Huzuni kubwa, ingawa tiba-mionzi ni bora sana katika kuharibu kansa seli yoyote zinazo wezekana kubakia, pia hutokea kuua seli za afya katika makundi pia ·Kama jambo la kweli, watu...
  15. IGP Wambura ameteuliwa ili Viongozi waishi vizuri?

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania. “Nitoe rai kwa mtu yeyote ambaye anadhani anaweza akaleta aina yeyote ya vitendo vya uvunjifu wa...
  16. Leo nimeamka nina 'Mood' ya kutaka Kubishana tu tafadhali anayetaka 'Ligi' ya Ubishani nami karibu

    Nasikia kumbe aliyekuwa Rais wa Marekani Barrack Obama alikuwa Shoga ( Gay ) ila kumbe yule tuliyekuwa tunadhani ni Mkewe Michelle Obama hakuwa Mwanamke bali alikuwa ni Mwanaume na inasemekana hata Wamarekani kadhaa ( wenye Akili Kubwa na Udadisi wa Mambo hili ) walilijua ila CIA ilitumia Nguvu...
  17. S

    Majibu manne ya wanaume kwa wake zao yanayovunja ndoa

    Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi. Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno 1. Unataka kufanyia nini? Yaani...
  18. T

    Yanasemwa mengi juu ya ajira za Sensa, nami niseme machache

    Kuna wanaosema ajira hizi za sensa wapewe ambao ni watumishi ili kudhibiti uzembe utakaojitokeza na wengine wanadai wapewe ambao hawana ajira ili walau wapate mitaji. Makundi yote ukiwasoma katikati ya mstari wana hoja zenye mashiko lakini kuna sehemu nakubaliana kutokukubaliana. Kundi la...
  19. Habari! Shedrack David From Chugastan

    Habari! Shedy David from Chugastan hapa. Nami nasema hodi Jf. Hivi ni forum gani huwa inakua active sana humu niweke kambi huko?
  20. Siku nami nikiwa kama huyu nitafurahi sana. Nitayafanya haya ambayo kwa sasa Ni Kipengele Kweli Kweli

    huyu jamaa nilikuwa namchukia mwanzoni. kiukweli sikuwa nimezoea stories za namna hii. unajua sisi wabongo tunapenda stories za kutia huruma,manung'uniko,kukata tamaa, huzuni n.k yaani mtu akiandika nilikunywa sumu sikufa au nilitaka kunywa sumu sababu ya shida. watu watapenda sana huo uzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…