nairobi

Nairobi () is the capital and the largest city of Kenya. The name comes from the Maasai phrase Enkare Nairobi, which translates to "cool water", a reference to the Nairobi River which flows through the city. The city proper had a population of 4,397,073 in the 2019 census, while the metropolitan area has a population of 9,354,580. The city is popularly referred to as the Green City in the Sun.Nairobi was founded in 1899 by the colonial authorities in British East Africa, as a rail depot on the Uganda Railway. The town quickly grew to replace Mombasa as the capital of Kenya in 1907. After independence in 1963, Nairobi became the capital of the Republic of Kenya. During Kenya's colonial period, the city became a centre for the colony's coffee, tea and sisal industry. The city lies on the River Athi in the southern part of the country, and has an elevation of 1,795 metres (5,889 ft) above sea level.According to the 2019 census, in the administrative area of Nairobi, 4,397,073 inhabitants lived within 696 km2 (269 sq mi).Home to thousands of Kenyan businesses and over 100 major international companies and organizations, including the United Nations Environment Programme (UN Environment) and the United Nations Office at Nairobi (UNON), Nairobi is an established hub for business and culture. The Nairobi Securities Exchange (NSE) is one of the largest in Africa and the second-oldest exchange on the continent. It is Africa's fourth-largest exchange in terms of trading volume, capable of making 10 million trades a day.

View More On Wikipedia.org
  1. Msaada kuhusu kwenda Nairobi

    Hamjambo wakuu? Nataka kuenda Nairobi Kwa siku mbili, nahitaji kujua usafiri mzuri kutoka Dar, nauli na pale mpakani kinahitajika kitu Gani? Passport ninayo je, kuna kingine kinahitajika ili kuingia Kenya? Je, maeneo Gani mazuri Nairobi ya kukaa Kwa budget ndogo, msaada?
  2. January Makamba nikuulize unijibu, umeme ulianzia Singida ~ ARUSHA ~ Namanga ~ Nairobi nini kinaendela?

    Rais JPM alibuni mradi wa kisasa wa kutoa grid ya Taifa kutokea SINGIDA~ BABATI.~ ARUSHA~ NAMANGA ~ NAIROBI. Plan hii ingezalisha umeme mkubwa kwa mikoa mradi unakopitia na kuuza umeme Kenya. Sasa nyaya zimesambazwa singida hadi arusha , kutoka arusha kuelekea Namanga kuna ngozo zachuma hakuna...
  3. K

    Nairobi Railway City: Europeanization of Nairobi Begins

    As President Ruto breaks ground of Nairobi Railway City today, I think the project deserves its own thread. To be constructed on 425 acres of land owned by Kenya Railways, smack right in the middle of Nairobi CBD, Railway city will be built in 3 phases. Phase 1 involves the new iconic railway...
  4. Msemaji wa M23: Hatujashirikishwa katika Mazungumzo ya Amani Nairobi hivyo Kipigo kitaendelea huko Congo DR

    "Hii ni mara ya Pili M23 tunabaguliwa na hatushirikishwi katika Mazungumzo ya kutafuta Amani ya Kwetu Congo DR kama haya ya Leo Nairobi Kenya hivyo nasi tutaendelea Kuwapambania Wakongo kwa Kupambana na Utawala wa Rais Tshisekedi ambao ni wa Kibaguzi hasa kwa Wakongo tutokao Mashariki" Wille...
  5. Nairobi: Mradi wa Mabasi ya Mwendo kasi (BRT) umekwama kwa sababu ya ukosefu wa fedha

    Kukamilika kwa mradi wa wa BRT, Usafiri wa Haraka wa Mabasi Nairobi kunacheleshwa na kutosekana kwa ufhadhili. Mfumo wa BRT ulitazamiwa kutoa suluhisho la kudumu la msongamano wa magari katika jiji na viunga vyake, ahadi ya njia salama, bora na ya bei nafuu ya usafiri wa umma ambayo bado...
  6. B

    THE FALL THAT KILLED A CITY: How the death of Kenya Bus Service brought forth disorder in Nairobi.

    How powerful people brought down the once organised Nairobi city transport system and the mess that followed. Enock Sikolia reports. Source : Kenyan Historian
  7. Rais Museveni awaomba msamaha Wakenya kufuatia Tweets za uvamizi alizoweka mwanaye Jenerali Muhoozi

    Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto. Akitishia kuivamia Kenya na kuiteka Nairobi, Jenerali Muhoozi Kainerugaba alidai operesheni hiyo ingechukua si...
  8. Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

    Yaaani nimeshindwa kuelewa mshauri wa masuala ya usalama katika nchi analeta utoto kama huu duuh
  9. Kaunti ya Nairobi kutupa miili ya watu 236 waliokosa kutambuliwa na ndugu

    Kwa mujibu wa taarifa, miili 218 ambayo haijachukuliwa na wahusika au ndugu wa marehemu imehifadhiwa katika Mochwari ya Jiji la Nairobi na mingine 18 iko Mochwari ya Mama Lucy. Wananchi wametakiwa kwenda kuitambua miili hiyo na kuichukua, na endapo hatatambuliwa au kuchukuliwa ndani ya siku 7...
  10. Top Ten ya majiji tajiri zaidi Afrika 2022, Nairobi namba 5, Dar es Salaam haimo

    Kwa Mujibu wa Africa Facts zone, Dar inashika namba 11 na haimo kwenye List ya Majiji 10 Tajiri zaidi Afrika. Source-Africa Wealth Report 2022. List kamili hii hapa 👇
  11. Ujenzi wa barabara ya Mombasa-Nairobi kukamilika baada ya miezi 60

    Mamlaka inayo simamia ujenzi wa barabara hiyo inayo unganisha mji wa Mombasa na Nairobi imesema kuwa ujenzi rasmi utaanza baada ya kukamilika kwa upembuzi yakinifu wa muundo wake pamoja na kupatikana mkandarasi atakaye fanya kazi hiyo. Kauli hii inakuja muda mfupi baada ya kuzuka kwa tetesi...
  12. Sijui na London pia kutatokea Fursa ya 'Kupaishwa' kama ya Nairobi ili 'niwarembulie' zaidi na 'Macho Kungu' yangu..!!!!

    Ikitokea nitaamini kuwa kweli Wasukuma wana Dawa Kali ya Mvuto mbele ya Wageni wanazowapa Wageni wao hasa hasa Wasio Wasukuma japo Dawa ya Kutuliza Hasira ya Tozo Kali kwa Watanzania mpaka hii leo wameikosa.
  13. Bei ya mchele kwa kilo kwa sasa ikoje Dar es Salaam

    Habarini wanajukwaa? Nilikuwa naomba kufahamu bei ya mchele kwa kilo kwa sasa ikoje Dar es Salaam na ikoje pia Nairobi Kenya? Shukrani.
  14. M

    Kafulila: Bei ya mafuta Nairobi ni ghali sana pamoja na Ruto kuwa Rais, Dar bei iko chini. Hongera Rais Samia

    Gthinkers wasalaam, Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa Twitter. Ukweli ni kwamba bei ya mafuta imeshuka sana Tanzania japo hatujaona waliokuwa wakilalamikia kupanda kwa bei wakipongeza kushuka kwa bei. Pia Soma hii, 👇👇👇 BEI...
  15. Nairobi Ranked Fifth In African Cities With Most Dollar Millionaires

    Nairobi has been ranked fifth in the cities with the highest number of dollar millionaires in Africa. A new report by London-based investment migration consultancy firm Henley & Partners shows that Kenya's capital is home to over 5,000 high-net-worth individuals (HNWIs) who have Ksh.120 million...
  16. Kenya2022 NAIROBI: Viongozi wa Dini wamuangukia Raila kabla hajalianzisha!

    Viongozi wa dini wamekutana na ndg Raila Odinga ili kujadiliana kwa suala la amani, katika kikao hicho ajenda kubwa ilikuwa suala la AMANI kuliko HAKI. Baadhi ya wanachama wa Azimio wamesema kuwa, wao hawapingani na Amani bali wanapinga Dhuruma, pia wameendelea kusema hawataki Amani ya...
  17. NALA MONEY yafungua ofisi yake ya kwanza Afrika jijini Nairobi, Kenya

    Kampuni ya NALA MONEY Nala ya kijana Mtanzania Benjamini Fernandes imefungua rasmi ofisi yake ya kwanza Afrika, mjini Nairobi nchini Kenya. Ufunguzi wa ofisi hiyo uliambatana na utiaji saini mkataba wa kibiashara kati ya NALA na benki ya Equity nchini Kenya ili kuwawezesha Watu kutuma fedha...
  18. Ninaweza kwenda Nairobi bila passport?

    Habari wakuu? Nilikua nauliza ninaweza nikapenda Kenya bila passport?Nina kitambulisho Cha taifa je nikifika boda siwezi pata pass ya mda ya kuingia Kenya? Na je basi zinazoenda Nairobi kutokea Dar ni basi Gani? Natanguliza shukrani
  19. Air Tanzania kwanini haitui Nairobi?

    Nimeangalia ruti za Shirika letu sijaona Dar-Nairobi, kuna sababu yoyote ya msingi labda ? Kwani hiyo ruti kwa maoni yangu ni nzuri hata kwenye mambo tu ya utalii, mfano kuna mashirika mengi makubwa ya ndege hayatui Dar lakini yanatua Nairobi halafu Kenya airways inaleta abiria mpaka Tanzania...
  20. Biashara vifaa vya ufundi simu Nairobi

    Wakuu habari za masiku nilikua naomba msaada mimi ni fundi simu nilikua nimeandaa bajeti ya. Milioni 1 nataka kuboost ofisi vifaa navyotaka kuongeza NI UFI Box,Digital Power Supply na Short killer. Hiyo bajet kwa dsm naona kama haitoshi UFI Box tu kwa dsm ni 750000. Nilikua naomba kujuzwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…