nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nahitaji wawekezaji kwa wazo langu

    Habari wakuu! Suala ni hili wakuu, Nina online radio ambayo inasikilizwa kwa kiasi hapa nchini na zaidi ni nchi za nje kama Misri, Algeria, Germany, Finland, nk. Hali iliyopelekea watu wa nje wengi wanitafute kwa ajili ya kuomba airtime, hasa wasanii (nyimbo, interviews ). Pia saivi niko...
  2. Nahitaji mkopo wa shilingi milioni 2

    Dhamana ni shamba/nyumba Marejesho ndani ya miezi 2 Riba sisizi 20% Nipo kibaha Contact 0678804442
  3. wakuu nashida na kazi

    kijana wa miaka 22 pia nnalesen ya udereva class d nimeish form 4 ila nahitaji kazi yoyote kwa sasa ya kujikimu kwa sasa .... natanguliza shukrani zangu za dhati.
  4. Nahitaji kufungua NMB chap chap account

    Habari za asubuhi wanajamii Nahitaji kufungua nmb chap chap account je kwa pale bank nikienda watadai nini kingine tofauti na namba ya nida ili kuweza kunifungulia hiyo chap chap account
  5. E

    Nahitaji elimu kuhusu biashara

    WAkuu hivi naomba kuuliza kama una milioni 30 inatosha kuchukua mzigo china ila pesa hiyo hiyo ndio yakufanyia clearance bandarini na kupakia mzigo kutoka china kuleta hapa na kama inatosha ni biashara gani italipa
  6. Nahitaji apple developer accounts

    Mambo vipi wakuu Kwa waliowahi miliki Apple developer accounts kwa ajiri ya kupublish app zao app store Nahitaji account hizo kwa offer nzuri Asante.
  7. W

    Nahitaji gaming PC, Kwa Tanzania ni wapi wanauza au ku build custom PC?

    Ninahitaji custom Pc ikiwezekana ziwe za mtumba Ninahitaji kichwa cha custom cpu, Monitor ipo ya kawaida. Budget niliyonayo ni laki 8 hadi milioni 1 Matumizi ni ku edit video pamoja na kuchezea games zifuatazo Euro Truck Simulator 2 MINIMUM: OS: Windows 10 64-bit Processor: Intel Core...
  8. Niko na shida nahitaji kumbadilisha jina mwanangu kutoka Samia kuwa Amina, Utaratibu ukoje?

    Kiufupi baada ya kupata mtoto wangu 2021 nilimpa Jina la Samia kutokana na mafanikia ya bi mkubwa mmoja mtaani ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza pale mtaani kuwa na Master of Science in Computer Science, lakini namna alivyokuwa ghafla hizi siku za karibuni, siamini kama anaweza kuwa mfano mzuri...
  9. Nahitaji router itakayonifaa nimehamia Tarime kikazi

    Habari ndugu zangu nahitaji router nipo Tarime ni ipi itakayonifaa kuendana na mazingira ya huku??
  10. Nahitaji Mtaalamu wa Wordpress, anayefahamu vizuri Site Migration.

    Hello Wana JamiiForum. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji Mtaalamu wa WordPress Website anayefahamu vizuri Site Migration. Lengo kuu la uhitaji huo ni kutaka kuhamisha website zangu kutoka Hosting wa sasa na kuzipeleka Kwa hosting mwingine. Kwa yeyote aliyekuwa tayari...
  11. Nahitaji dada wa usafi wa nyumbani

    Asanteni Nimeshapata!
  12. Nahitaji vifaa vya uhamilishaji (artificial insemination kit)

    Kama kichwa kinavyosema, Nahitaji duka au mahali wanapouza vifaa vya kupandikiza mimba kwa wanyama..almaarufu "uhamilishaji" Nahitaji hivi vifaaa hapa chini:- 1.Liquid nitrogen container lita tatu 2.pistolet moja 3.shealth 4.PD gloves 5.surgery tools
  13. Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million, hii itasaidia endapo nataka kukopesha mtu au kukopa

    Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
  14. U

    Nahitaji vifaa hivi vya gari kwa mwenye navyo

    Wadau nataka taabya mbele kubwa ya spacio new model upande wa kushoto,bampa la mbele zima,side mirrow kushoto, kioo cha mbele na kijioo kile kidogo cha kushoto. KAMA UKO UNAWEZA PATA NITAFUTE NIKUPATIE PESA
  15. Nahitaji mkopo wa haraka

    Jaman nani anaweza nisaidia kupata mkopo wa milion 5 kutoka kwa mtu binafsi kama inawezekana naomba tuwasiliane 0748469897
  16. Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

    Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro. To cut long story short, Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika...
  17. WAJUZI WA SHERIA NAHITAJI MSAADA.

    Habari wanajukwaa, nina hii sakata nahitaji msaada wa mawazo nini kifanyike. Nilikua na nimeajiriwa kwa biashara ya mtu, mzigo/malighafi nachukua kwa watu watu kwa mali kauli na mwenye ofisi alikua anafahamu. Baada ya mda mwenye biashara kanigeuka kwamba yale madeni ni yangu binafsi sio ya ofisi...
  18. Nahitaji bwana shamba awe msimamizi wa shamba

    Nahitaji kijana alietoka chuo mwenye uelewa mpana kwenye kilimo Cha nyanya, kitunguu, mahindi, maharage na alizeti pia mwenye kujua na kutunza vizuri nguruwe, mbuzi na ng'ombe -Awe anajituma -Mwenye kufanya kazi Bila kutumwa -Awe mbunifu na kujiongeza Tabia njema na uaminifu -Awe ametoka na...
  19. Nahitaji kujua zaidi kuhusu kisiwa cha Mayotte

    Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika kufuatilia zaidi nakutana na habari ya kuwa kisiwa cha mayotte ni eneo la Ufaransa na Rais wa Ufaransa...
  20. Nahitaji mke

    Mwaka unaisha ivo sijapata mke Naishi vikindu Kama yupo basi aje mwenye miaka 25-35. Aliyetayari tuyajenge DM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…