nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    KWELI ARV's zinatumiwa na baadhi ya wafugaji kunenepesha mifugo

    Nahitaji kufahamu taarifa inayosambaa kwamba dawa za ARV zinatumika kunenepesha mifugo.
  2. Nahitaji moja ya gari hizi kwa milini tatu na nusu

    Habari wakuu Kwa bajeti ya milioni tatu ,natafuta moja ya gari hizi pichani.Niko Kibaha,piga 0713 -039 875
  3. Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

    Je,unafahamu Tooth Pick Kwa Kiswahili inaitwa "Kimbaka",Kuna muda nawashangaa sana BAKITA na haya Majina Yao! Any way Wakuu nahitaji mtu yeyote mwenye wazo la Kibiashara ambalo liko tofauti na biashara ambazo zimezoeleka hapa Bongo!,Binafsi ninafanya biashara ya nafaka,pia Nina mashamba...
  4. 2

    Nahitaji mwanamke wa kuoa

    Nahitaji mwanamke wa kuoa. Awe ni muelewa tu sio mjuaji. Najibu PM zote kuanzia sasa kwa mengi zaidi.
  5. Nahitaji nyumba maeneo ya Masaki

    Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. Nahitaji nyumba maeneo ya masaki ambayo ipo kwenye standard ya hali ya juu Nipo serious maana nataka niishi sehemu yenye furaha ambayo haina uswahili na naomba mnitajie bei kabisa na picha za nyumba
  6. Nahitaji Starlet Used

    Habari wakuu Nahitaji starlet used ,iwe kwenye hali nzuri. Niko Kibaha Maili moja piga 0713 039 875
  7. Nahitaji Makadirio ya Vifaa (BoQ) Kwa Ramani hii (Nitakulipa)

    Habari Wakuu, Kama kichwa Cha Habari kinavojieleza. Nataka kuanza ujenzi wa Nyumba huko kwetu uchagani, wazee wa ukoo wamenikalia kooni, hii December nisiende kama hata ka-msingi sijaweka hapo mgombani (Just Kidding 😀). Nahitaji Mtu ambaye atanisaidia kutengeneza Makadirio ya vifaa (A Bill of...
  8. Hello,, nahitaji xiaomi redmi note 12s

    Husika na kichwa cha habari,, naombeni mnipe mawili matatu juu ya simu tajwa kabla sijazama dukani,, naipenda kwa sababu ya umbo lake sio kubwa,, Asanteni sana
  9. Nawaza nimekosea wapi au ni laana! Napitia msongo wa mawazo

    Habari Mimi sio muandishi mzuri lakini nitaelezea kama ilivyo. Umri wangu bdo 20s lakini napitia depression Yaani msongo wa mawazo. Sina mtoto na sijui kama nitakua nae maana hamna demu ananitaka maybe jinsi nilivyo and love is only thing make life worth living... Inafikia hatua nawaonea wivu...
  10. Nahitaji dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji

    Wataalamu kwema jamani, hivi kuna dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji?
  11. Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu Kuvunjiwa mkataba

    Habari zenu humu
  12. Y

    NAHITAJI NINI ILI NIWEZE KUFUNGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA SIMU ?

    Natamani kufungua kiwanda cha kutengeneza simu.Najua kua kila component hutengenezwa nchi tofauti then kuunganishwa, nahitaji vitu gani ili niweze kufungua kiwanda cha Simu ?
  13. TCRA nahitaji Mrejesho

    Nimekuwa mara nyingi nikitumiwa ujumbe wa WIZI na ULAGHAI kupitia simu yangu ya mkononi. Kutokana na kero hii TCRA wameweka utaratibu wa kureport kadhia hii kupitia no 1540 na wanajibu kwa sms muda huo huo. Wanakiri kupokea taarifa yako na kuahidi KUISHUGHULIKIA . Ombi langu kwako warudishe...
  14. G

    Msaada: nahitaji router ya kuweza kuwabana watumiaji kwenye speed na MB.

    Speed - niweze kuseti speed ya juu kwa kila mtumiaji, mfano asivuke speed ya kudonload MB 1 kwa dakika MB - iwe kama tunavyonunua mabando ya MB kwenye mitandao ya simu, ukimaliza MB connection inakata.
  15. M

    Nahitaji mtu wa kuanzisha biashara ya kuagiza magari nje ya inchi

    Kama ujumbe unavyojieleza natafuta mtu mwenye wazo la biashara ya kuagiza magari mtandaon
  16. Z

    Nahitaji nyumba ya kupanga.

    Nina uhitaji wa nyumba, vyumba viwili, kimoja self contained , sebule, jiko, maji, umeme na fence. Maeneo: Kinyerezi (kuanzia darajani - Kinyerezi mwisho) Segerea (Magereza hadi Petroleum station - kona baada ya stand kuu Segerea). Ukonga - Magereza, Madafu, KM...
  17. L

    Nahitaji msaada wa kuongeza confidence na kujiamini

    Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini Natanguliza shukrani na nipo hapa kusoma Kila comment na ushauri mtakaonipa
  18. Nahitaji TAHAKIKI ya A-leve na pamphlets

    Wadau wa elimu, nahitaji TAHAKIKI ya A-level, pamphlets za masomo mbalimbali haswaa physically geography na science subjects. English kwenye literature
  19. Nahitaji kujifunza lugha ya kifaransa online na kupata cheti, sehemu gani sahihi ya kujifunzia?

    Sehemu gani sahihi ya kujifunza Kifaransa na kupata CHETI?
  20. Phone4Sale Nahitaji simu second hand, Vivo, Oppo au Sony.

    Wakuu, hoping mko salama. Nahitaji simu second hand, isiwe ya wizi, ikiwa na receipt au used toka nje itakua vema zaidi. Iwe miongoni mwa brands tajwa hapo juu. Specs 1. Resolution iwe na 1080x2400 au zaidi 2. RAM 6 au above storage 128. 3. Battery 4000 au above 4. Dual simu (ikiwa na esim)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…