nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji binti wa kuoa, awe na umri kuanzia miaka 25-28

    Habari waJF? Muda umefika wa kuwa na ubavu wangu. Nahitaji kuoa hivi punde. Binti ambae yupo na vigezo hivi naomba tuwasiliane: 1. Mzuri 2. Umri kuanzia miaka 25-28 3. Dini yoyote 4. Ajue kusoma na kuandika 5. Awe tayari kufunga ndoa kuanzia anapoona bandiko hili. Wasifu wangu 1. Ni mwanaume...
  2. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi pikipiki

    habari wakuu, nahitaji mwenye kumfahamu fundi pikipiki anayetafuta ajira, mwenye uzoefu na pikipiki za boxer na tvs. location dar es salaam, karibu na mjini sio nje ya mji. ofisi ni mpya na ni kubwa kiasi kuhusu chakula na kulala kama anatoka nje ya mji juu yangu. aliye na interest tufanye maongezi.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu haraka sana, Ni kampuni gani nzuri ya kubeti simba vs Yanga mechi ya leo kwa matokeo ya ataeshinda

    habari zenu wazee wa kuweka mizigo Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ? nipo karibu na jengo la gal sports betting, niliwahi kufungua account ya meridian bet na sporty bet
  4. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Msaada nnataka kusoma online university vya nje nahitaji kujua jinsi ya kutambua vyuo vinavyotambulika

    Habari zenu wataalamu wa IT shida yangu km nilivyoandika hapo kwenye heading msaada please sihitaji cheti Mimi nnataka ujuzi wa IT ethical hacker nna diploma ya ict
  5. Augustking

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Dalali City Center au Kariakoo

    Habari wana JF natafuta dalali kwaajili ya frem au office space maeneo ya city center au kariakoo Kwa mwenye namba za dalali maeneo hayo naomba unitumie number au km ww dalali njoo inbox Asanteni
  6. DALA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba la kununua kwa ajili ya kilimo na ufugaji

    Habari mabibi na mabwana? Naomba mwenye kujua yanapopatikana mashamba ya bei nafuu, mashamba yanayofaa kwa shughuli za kilimo na ufugaji anifahamishe. Ningependa kufahamu bei kwa ekari na ukubwa. Mimi ni mjasiriamali mdogo hivyo mtaji wangu pia siyo kubwa kihivyo. Naomba kusaidiwa.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Je, inawekana kutumia matokeao ya kidato cha 2 mwaka 2017 kuendelea na masomo kidato cha tatu?

    Habari wana bord. Kichwa cha habari chahusika. .Nina binti yangu ambaye baada ya kufanya mtihani wa kidato cha pili kunachangamoto ilimtokea hakuweza kuwa masomo licha ya matokeo yake vizuri kwa kujiunga kidato cha 3. Baada ya kurudi katika hali yake ya kawaida, sasa anahitaji arudi shule...
  8. Afrolink-Tz Consult Ltd

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Vellfire au Toyota Alphard new model haraka sana

    Habari zenu Ndugu zangu nina ofa ya mil 15.7 (hela hii pamoja na udalali kama una wewe ni dalali unaeuza) cash nahitaji mwenyewe moja kati ya gari hizo mbili ambazo ni Toyota Vellfire au Toyota Alphard (model mpya) Sio lazima iwe namba E lkn ikiwa D basi iwe ya mwisho mwisho au hata E ya mwanzo...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nina mgonjwa nahitaji kwenda India naomba connection

    Wakuu Nina mgonjwa anatakiwa operation ya ziwa, naomba nisaidieni agency contact au watu wanaohusika na matibabu ya kwenda India. Natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa waungwana. God Bless You.
  10. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Nahitaji G/Pixel 4 ama 5...Nishauri kwa sifa na uwezo kati ya hizi.

    Wakuu wangu naomba kushauriwa kwa uwezo na mifano kati ya simu hizi mbili za Google.. Pixel 4 na Pixel 5 aina zote.Niko Dilema kuchagua kati ya hizo mbili... Lakini si haba nikijuzwa na Pxl 6. Mwisho nipate uchanganuzi wa gharama zake. ASANTE NA WASILISHA NIKO PEMBENI..
  11. africatuni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana wa kusimamia Play Station yangu Dodoma. Mshahara 100k

    Done
  12. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Mbweni, bajeti Mil. 60

    Just Whatsapp. NO CALLS
  13. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Mliopata mkopo ngazi ya diploma mwaka Jana nahitaji muongozo

    Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu, Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma. Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
  14. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Nahitaji maharage ya njano

    Habari Nahitaji maharage ya njano , mwenye nayo anicheki, nahitaji mengi kuanzia Tani 1 na kuendelea +255716473605
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja na shamba- phahi (kondoa)

    Wadau wa jamvini, Niataji kiwanja na shamba la kununua kata ya pahi(kondoa). Mwenye kiwanja au shamba nijulishe inbox au kwa namba 0767727388.
  16. Yule girl

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

    Samahani nahitaji mtu anayeweza nisaidia katika hili tuingie deal anisadie kutafuta Location ya mahali ilipo simu yangu.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haraka sana nahitaji Mwanamke wa kwenda nae Kufunga Ndoa ya 'Kibwerere' Mkoani Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa chachu ya kukuza uchumi. Makonda amesema masharti ya ndoa hizo ni pamoja na kati ya wawili hao...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mliosoma medicine mpite hapa nahitaji msaada.

    Nilisoma clinical medicine mwaka 2018/2019 nikaishia level 4 sababu ya changamoto za ada. Sasa nataka nirejee masomoni Ila nahitaji kusoma radiology . Swali? Je inaruhisiwa kwenda chuo kingine kusoma radiology ama kozi nyingne za afya. maana nimekuwa nikiambiwa kuwa Bado mfumo unanisoma chuo...
  19. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Nina 500k nahitaji laptop

    Wakuu nahitaji laptop Hela niliyo nayo 500,000 Iwe na angalau sifa zifuatazo Ram 8GB STORAGE - SSD angalau 200 gb Generation 6+ Bluetooth, webcam, HDMI port LAZIMA Ukubwa wa Kioo usizidi nch 12 yaani iwe ndogo iwezekanavyo Chaji angalau masaa 3 Dell, au HP ni kipaumbele. ISIWE YA WIZI isiwe na...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua ama Kanisa Wanalosali hawa Mawaziri Wawili au Waganga Wao wa Kienyeji wanaowatumia au Mizimu yao wanayoitumia tafadhali

    1. Waziri Jenista Mhagama 2. Waziri Dk. Mwigulu Nchemba Sitaki Kuulizwa Swali kwanini nimewataja hawa au nimeomba hivi kwani ukiwa na Akili Timamu tu utajua ipi sababu.
Back
Top Bottom