nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vile mtakavyopata taabu siku tukipata nafasi ya kuongoza nchi kwa hii Katiba mnayokataa kuibadilisha

  2. JamiiForums Tanzania IGP Sirro, kukiri hadharani kuwa polisi hutumia nguvu za ziada ni sababu tosha ya kuondolewa nafasi yako

    Kama mkuu wa polisi anakiri hadharani kuwa jeshi analolisimamia linatumia nguvu ya ziada basi ni wazi kuwa jeshi analosimamia huwa linafanya kazi kinyume cha sheria. Ni nguvu gani ya ziada inayotumika? Kupiga watu walio mahabusu ya polisi? Kutesa mahabusu wa polisi? Hii ni kinyume na katiba ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nani anaestahili kuchukua nafasi ya IGP kumrithi Sirro endapo mabadiliko yakitokea?

    Iwapo Raisi Samia ataridhia kufanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi kwa kumuondoa IGP Sirro, unadhani ni nani atafaa kukabidhiwa mikobo ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini? Inawezekana tunaona wengi wao ni tatizo, ila ukweli ni kwamba kuna mmoja,wawili au watatu miongoni mwao wanaweza kuwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Fashion Kali ya Msanii Barnaba

    Hii ndio fashion aliyekuja nayo mkali wa Bongofleva hapa Tanzania. Ukipata Nafasi ya Kukutana na Msanii Barnaba AKA Mopao Mkali wa Fashion Je Utampa Neno Gani. kwa Fashion hii.???
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya Shinyanga: Mtendaji III

    Shinyanga District Council is one of the five Councils and one municipal Council forming Shinyanga Region. The Council lies between latitude 30.20’ and 30.95’ south of the equator and between longitudes 320.30 and 330.30 east of Greenwich Meridian, south of Lake Victoria. It is bordered to the...
  6. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kuwa makini sana na watu wanaokuzunguka

    Sina shaka hapo ulipo kuna watu wamekuzunguka kwa maana unahusiana nao kindugu,kiurafiki, ujirani wafanyakazi wenzio pia hata wafanyabiashara wenzako.Katika hao watu wanaokuzunguka wapo wenye mwenendo mzuri na wenye mwenendo mbaya pia. Asilimia kubwa ya mambo tunayoyafanya ni kwa sababu ya watu...
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma[emoji116]
  8. JamiiForums Tanzania Unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa kitanzania?

    Habari za wakati Kufikiria sio kazi rahisi,ni kazi ambayo ina ugumu wake. Je unafikri unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa Kitanzania katika eneo ulipo?Je ajira utakayowapatia itakuwa na sifa gani,utawalipa kiasi gani,itakuwa na faida gani kwa jamii inayokuzunguka? Zingatia kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Nafasi za biashara zipo nyingi lakini tumeshindwa kufungua macho na kuziona

    Katika mawazo ya biashara ya kufanya, weka mawazo yako katika kutoa huduma katika jamii inayokuzunguka. Mawazo yako yakijikita hapa ni rahisi kugundua kitu kinachohitajika sana katika jamii yako. Fikiria jinsi utakavyozalisha kwa wingi bidhaa ile itakavyo okoa maisha au usumbufu katika jamii...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi 1000+ za scholarship kutolewa na Access Bank and Udacity

    Access Bank and Udacity will provide 1,000 Nanodegree program scholarships for people in Africa to build practical, in-demand, cutting-edge tech skills. The scholarship will create upskilling opportunities for scholarship recipients and give them the skills needed by many tech companies today...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Yanga tumsajili Kahata. katika nafasi zilizoongezeka

    Habari wadau. Ushauri kwa uongozi wa yanga. Kahata anatufaa sana
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi 4 za kujitolea Elimu Tech Foundation (ETF)

    Elimu Tech Foundation (ETF) ni shirika jipya lisilo la kiserikali linalojishughulisha na maendeleo ya tehama kwenye elimu hususani kwenye shule za serikali kwa kuhakikisha miundombinu ya tehama kwenye shule nchini inaboreshwa na kuhimiza matumizi sahihi ya tehama kwenye elimu kama msingi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi post 5 (volunteer) Elimu Tech Foundation

    Elimu Tech Foundation (ETF) ni shirika jipya lisilo la kiserikali linalojishughulisha na maendeleo ya tehama kwenye elimu hususani kwenye shule za serikali kwa kuhakikisha miundombinu ya tehama kwenye shule nchini inaboreshwa na kuhimiza matumizi sahihi ya tehama kwenye elimu kama msingi wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia sana kwani Urais wako ni mtihani si kwa Tanzania tu, bali kwa mataifa mengi kuhusu wanawake kupewa nafasi ya Urais huko mbeleni

    Tanzania ni nchi ya kwanza, kwa Afrika Mashariki na Kati, Kwa SADC, na kama sikosei ya pili kwa Afrika kuwa na Rais mwanamke. Tuna jambo kubwa sana, kwa kuwa hata Marekani hawajawahi kuwa na Rais mwanamke na jaribio lao la kufanya hivyo lilishindwa. Hatujali kwamba Rais Samia alikuja kuwa Raisi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Miaka ijayo Rais Samia atakumbukwa kama 'Iron Lady', tumpe muda ya kuendeleza vita vya uhujumu uchumi na ugaidi

    Tukiachana na unafiki, hakika nikiri kusema Serikali ya Rais Samia ni imara na madhubuti kwenye kusimamia amani na usalama wa nchi yetu. Jukumu la Rais kama amri jeshi mkuu ni kuhakikisha usalama na amani vinalindwa kwa nguvu zote na yeyote anayeonesha viashiria vyovyote vya kuvunja amani...
  16. JamiiForums Tanzania SoC01 Nafasi ya Mwanamke katika jamii na familia

    Habari za saa wana JamiiForums, Kwanza kabisa niingie moja kwa moja kwenye maada husika inayomuhusu mama/mwanamke wa kiafrika anayepitia changamoto mbalimbali,Ni kujaribu kujua jamii ya afrika ni kwa nini hatuwezi kuwaamini kinamama katika kufanya jambo la maendeleo katika familia na hata ngazi...
  17. JamiiForums Tanzania Ludovic Uttoh: Ukipata Uteuzi wa nafasi yoyote uliyechaguliwa ni wewe, sio wewe na Familia yako

    Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe na familia yako. Matatizo ya utawala yanakuja mtu anapochukulia kila kitu family affairs lazima utashindwa. Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anajua yeye ni mbunge kupitia CCM, kwanini anashawishi uongozi wa juu Chadema umpe nafasi agombee urais 2025?

    Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake. Sasa Rais Samia kaingia, Askofu kapoteza...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi 35 za Kazi at Tujijenge Tanzania – Loan Officer

    Job Positions 35 Loan Officer at Tujijenge Tanzania. Tujijenge Tanzania’s mission is to improve the quality of life for families in Tanzania through the provision of microfinance. We are a microfinance organisation, offering products through group and individual lending, targeting micro and...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba Mpya Liendelee: Mnyika achukue nafasi ya Mbowe

    John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana mashiko. Kama tatizo ni "ugaidi" wa Mbowe tu, basi sioni kwanini CHADEMA isiendelee na ratiba yao ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…