nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mnyika ondoka nafasi ya Katibu mkuu, viatu vya Dk Slaa vimekupwaya

    Tuachie chama chetu, hauna mkakati wowote kuhakikisha tunasimama kama enzi za Dk Slaa. Mbaya zaidi chama kama chama kinafanyiwa maonevu makubwa lakini hauchukui hatua hata kushitaki UN na tume za haki ya binadamu. Chama kinazolota lakini huchukui hatua kabisa. Unalipwa posho kubwa bure tu ndio...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Tanzania yapoteza nafasi nne kwa Libya, miujiza ya Simba SC inasubiriwa

    Tayari Walibya wameishapata slots ya teams nne kilichobaki ni miujiza kama Simba SC wataingia group stages ya shirikisho na hiyo ina depend kama Pascal wawa ataacha mgomo wake wa kuruka juu mipira ya kichwa au wauzaji mechi watawaonea huruma mamilioni ya washabiki wa Simba. Please maduka kuweni...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

    Kwanza nitoe pongezi kwa serikali iliyosikia kilio cha vijana kwa kutoa ajira zaidi ya elf 1 TRA. Kama mnavyojua, Kwenye ajira wazanzibar hupewa asilimia 21, kwa hio katika hizi nafasi 1,097 ni sawa na wazanzibari 230 tu, 230 hao bado ni wachache kulingana na idadi kubwa ya vijana wanaomaliza...
  4. Keco Group ltd

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI

    Wanahitakija Mabinti na vijana wenye uwezo wa kutoa Huduma ya Chakula/Hotel Maombi ya kazi : Jinsi ya Kutuma maombi andika barua ya kuomba kazi ukiambatanisha na mawasiliano yako na vyeti itapendeza zaidi tuma kwa Barua people iliyo ambatanishwa hapo chini Mahali : Dar es Salaam, Kinondoni &...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Makalla: Machinga wakirudi maeneo waliyohamishwa, nitakuwa sitoshi kwenye nafasi yangu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewataka watendaji wa mitaa kulinda maeneo yao, kuhakikisha wamachinga waliohamishwa hawarudi tena maeneo hayo, wakikuta kibanda watajua watendaji wanahusika. Amesema wamachinga wakirudi katika maeneo waliyohamisha itamaanisha yeye hatoshi kwenye...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wengi wameanza kuwa na sifa za kuajirika, wapewe 25% za nafasi za ajira na sio 21%

    kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa...
  7. Sunbae

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Hostel Chuo cha CBE

    Wakuu natafuta nafasi ya kubebwa hapo CBE Dar es Salaam. Mwenye connection tuwasiliane. Ahsanteni.
  8. covid 19

    JamiiForums Tanzania Mchango na nafasi ya vijana wasomi kwenye maendeleo nchini

    Habari ndugu, wana jf katika kuadhimisha kumbukumbu ya mwalimu. Nyerere baba wa taifa nimeona nilete mada hapa ili tuijadili kwa pamoja kuhusu "mchango na nafasi ya vijana wasomi kwenye maendeleo nchini". Kwanza ifahamike kwamba kwa tanzania kijana msomi ni yule aliyepata cheti cha elimu...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ikatokea ukapewa nafasi ya kukutana na rais Samia Suluhu Hassan

    Nawasalimuni wanangu hapa jamvini. Nisiwachoshe. Napenda kuwapa changamoto na chemsha bongo kwa kutumia hypothesis kama namna ya kutoa mawazo yenu kwa rais wenu. Je kama mtanzania, ungejaliwa kupewa nafasi hata nusu saa au dakika kumi hata saa kuongea na rais SSH, ungemwambia nini cha mno au...
  10. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Nape: Sasa hivi vyuma vimelegea, Rais Samia kamwaga pesa mtaani tofauti na awamu iliyopita

    Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia? Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
  11. Keco Group ltd

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Kijana anayejua kunyoa

    Anaitajika kijana Mwenye uzoefu wa Kunyoa Sifa za Muombaji MWENYEKITI WA BODI KECO GROUP LTD S.L.P 34332, DAR ES SALAAM, TANZANIA. Email: kecogrouplimited@gmail.com / 0717412002 Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 01 December 2021 saa sita usiku.
  12. John Ndeki

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya Ualimu Journalism & International relations TAEATI

    Haiya sasa karibuni vijana wenye sifa tajwa hapo kwenye Tangazo halijachakachuliwa wala nini... Ooh sijui tayari watu walishapatikana tangazo linapostiwa kutimiza wajibu, alafu wengine Tz wanatabia chafu sana kama hiyo
  13. T

    JamiiForums Tanzania Vita vya kusaka nafasi ya Naibu Katibu Mkuu UVCCM bara vyapamba moto

    Vita vya kusaka nafasi ya Naibu katibu Mkuu UVCCM Bara vimepambana moto kwelikweli. Nafasi hiyo iko wazi baada ya aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo ndugu Galila Wabanhu kuondolewa katika nafasi hiyo kutokana na tuhuma kadhaa za kimaadili. kUTOKANA na vyanzo vya uhakika wafuatao wako vitani...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ndoa za masikini zinapitia changamoto nyingi sana, kuanzia nafasi ndani ya nyumba.

    Kuna bwana mmoja amejenga nyumba yake, kuna wing ameweka chumba chake self contained na cha mke wake, wanashare sitting room ndogo ambayo ina na fridge la vinywaji, TV na sofa. Anasema anaemhitaji mwenzake anamfuata chumbani kwake. Nilitafakari na kuona hawa wanaishi kwa amani sana. Sasa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya house girl

    NAFASI YA KAZI YA HOUSEGIRL Anahitajika mfanyakazi wa ndani (mwanamke) House Girl mwenye vigezo vifuatavyo: 1) Mtu mzima wa umri miaka kuanzia 30 mpaka 36 2) Awe na ujuzi wa kazi zote za ndani ikiwa ni pamoja na usafi na kupika 3) Ajue kuongea English na uzoefu wa kufanya kazi na wageni (...
  16. SAKA25

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 250 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania 2021

    Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga, atangaza nafasi za kazi kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
  17. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya ulinzi: mshahara laki 1. Pesa ya kula elfu 30. Mbezi Dar

    Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi
  18. SAKA25

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 350 Idara ya Uhamiaji Tanzania 2021

    Idara ya uhamiaji Tanzania wametangaza nafasi za kazi 350 kwa watanzania kama tangazo linavojieleza hapa chini
  19. SAKA25

    JamiiForums Tanzania Nafasi 700 za kazi kutoka Jeshi la Magereza 2021

    Jeshi la magereza Tanzania limetangaza nafasi za kazi 700 kwa watanzania mbalimbali wenye elimu ya kuanzia kidato cha nne mpaka degree mwisho wa kutuma maombi ni October 10 2021 Kwa maelezo zaidi download pdf file iko hapao chini
  20. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Una uzoefu na uoshaji wa magari? Nafasi ya kazi hii hapa

Back
Top Bottom