nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania January Makamba Apewe Nafasi... Mtoto Akianguka Humkati Miguu

    Na. M. M. Mwanakijiji Mzazi yeyote anajua mojawapo ya kanuni kubwa za kumfunza mtoto; ni kumuacha wakati mwingine aanguke. Sasa humuachi aanguke mahali pa hatari au ambapo anaweza kuumia vibaya; bali unamuacha aangukie mahali ambapo ataweza kujipukuta na kusimama tena hata kama baadaya kulia...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Je, tunatoa mahabusu wa awamu ya tano tupate nafasi ya kuweka wa awamu ya sita?

    Jamhuri iliweka watu watu ndani zaidi ya miaka mitatu ndani bila kusikiliza kesi zao na baada ya awamu ya sita kuingia madarakani watu wale wanaondolewa Magerezani kupitia ofisi ile ile iliyokuwa inawashikilia. Mmoja Wapo Ni kaka yangu Rwegamalila. Wakati wakina Rwegamalila wakiondoka gerezani...
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ligula

    TANGAZO NAFASI ZA KAZI AJIRA ZA MKATABA Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ligula unawakaribisha wananchi wote wenye sifa kuomba nafasi za kazi za mkataba (30) zilizowazi kama ifuatavyo: - 1. AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II NAFASI (14) 1.1 SIFA ZA MWOMBAJI Awe amehitimu stashahada...
  4. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wakipata nafasi wanakuwa na hofu ya Mungu

    Sijawahi kufurahi kama ninapoona ndugu zangu upande wapili wakipata nafasi kadhaa. Nimefanya kazi nafasi mbalimbali na ukweli wao wakifanikiwa kupata nafasi kwanza wana hofu ya Mungu. Pili wana utu wa ubinadamu Tatu.Wako radhi kuhakikisha waliojuu yake wanasaidiana kusaidia wananchi zaidi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi nne (4) za ajira kwa Wauzaji wa Bidhaa na Electronics/Computers

    Nafasi za kazi kwa watakaopenda kuwa wauzaji wa bidhaa za Computer/ Electronics. 1. Muajiri angependa wauzaji ambao ni wanawake. 2. Elimu kuanzia kidato cha nne. 3. Mahali ni Dar es Salaam. 4. Uzoefu kuanzia miezi 6. 5. Mshahara ni mzuri. 6. Awe anaweza kuongea Kingereza na Kiswahili. 7...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yanga nafasi mmetengeneza lakini umakini umewaangusha

    Nitawalaumu kwa umakini mdogo mlioonyesha leo kufumania nyavu, nafasi 4 za wazi zingetosha kuwafanya muondoke na ushindi Leo hii, huwezi kupoteza nafasi kama hizo halafu ukategemea eti usonge mbele kwenye michuano mikubwa Kama hii, ukichezea nafasi basi ujue utaadhibiwa tu, pia sikuona mantiki...
  7. JamiiForums Tanzania Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?

    Si kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa! Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu? Sifa zake kuu ni zipi? Umahiri na udhaifu wake kwa Nafasi hiyo ni upi? Keep in mind ni uzi tu wa kumfikiria JM katika nafasi hiyo na ikitokea lolote...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Polisi, qualification “Raia wa Kuzaliwa” Vipi mawaziri wenye uraia wa kuomba gazetini?

    Juzi nafasi za kazi nyeti ya polisi zimetoka. Sharti la kwanza la kuomba kazi ni uwe raia wa kuzaliwa wa Tanzania. Kumbe kuna tofauti ya uzito wa uraia wa Tanzania, sijui imeandikwa wapi kisheria. Lakini kama ni suala la “busara” na sio sheria hivi waziri mwenye siri za cabinet sio muhimu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenye uraia wa nje wanateuliwa kushika nafasi za juu kwenye Utumishi wa Umma?

    Naomba kuuliza Watanzania wenzangu, kuna watu nawafahamu tulisoma nao nje wazazi wao wakiwa ni raia wa Tanzania. Lakini baada ya kukaa kwa muda walibadili uraia wakapata uraia wa kigeni na wakawa wakija nchini Tanzania wanakuja kama wageni. Wengi wao familia zao ni za wasomi waliopelekwa nje...
  10. JamiiForums Tanzania ZAFELA: Ushiriki wa Wanawake katika nafasi za maamuzi (hasa ya kisiasa) bado ni mdogo

    Na Salma Said, Zanzibar Ushiriki wa wanawake katika masuala uongozi ni jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele sana na watetezi wa haki za wanawake wakitaka kushirikishwa kikamilifu kama azimio namba tano la umoja wa kimataifa linalotaka asibakishwe mtu nyuma. Wadau wanatambua kuwa kuna...
  11. K

    JamiiForums Tanzania SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi anatakiwa kuwa IGP

  12. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ict-instructor (2 posts)

    VACANCY ANNOUNCEMENT: BACKGROUND INFORMATION: KOMU College of Technology and Management (KCTM) is one of the ICT reputable College in Tanzania offering ICT professional and academic programs. The college is located in Mbeya city. The Principal is pleased to announce two vacancies for ICT...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Bill Gates na sekeseke linaloendelea duniani

    Patent WO / 2020/060606 imetengenezwa na Microsoft Technology Licensing LLC ……… Microsoft ni ya bill gate, au sio? WO = World Order (yaani New World Order) 2020 = ni patent iliyosajiliwa mwaka jana WIPO (World Intellectual Property Organisation) 060606 = namba ya patent (666??? - tafakari)...
  14. JamiiForums Tanzania Walionyanyaswa kwa sababu ya Lissu warudishwe kwenye nafasi zao

    Kuna minong'ono kuwa mtu yeyote aliyesaidia kwa namna moja ama nyingine kuokoa uhai wa Lissu (Mungu mwenyewe ndiye Mwamuzi wa mwisho) basi "alisulubiwa". Minong'ono inasema baadhi wamerudishwa kama Jose who's our representative in Brussels. Wengine bado. Namuomba mama awarudishe. Huu uzi...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi maabara, au Taasisi za afya, mifugo na tafiti

    Habari wapendwa, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kujenga Taifa. Mwenzenu ninatafuta nafasi ya kazi katika taasisi mbalimbali kama za afya, mifugo, kilimo au tafiti. Nina shahada ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika molecular biology and microbiology...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi (serikalini) sekta ya mifugo

    MAAFISA MIFUGO, UGAVI ETC. ========= WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA) Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. LITA ilianzishwa kupitia Wakala za Serikali Sura 245. LITA ilianzishwa tarehe 01, Septemba, 2011 na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania TFF wekeni kigezo cha vyeti kwa walio na nafasi za usemaji na uhamasishaji ili kudhibiti ufinyu wa akili unaojitokeza

    Jambo hili ni muhimu sana.Utakuta mtu anafanya personal attack kwa muwekezaji na biashara zake kisa alinyimwa mshahara anaoutaka. Jambo hili ni ugaidi wa kibiashara na lisipoangaliwa vizuri litaleta shida sana baadae. Kama wewe ni msemaji wa timu pinzani hakuna sababu ya kuleta personal...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba nafasi ya kujitolea Mimi ni clinical officer🙏

    Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021 Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula🙏 Nipo shinyanga Mawasiliano 0746532392
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa mwanamke, eneo Mbezi Mwisho...

    Natafuta mwanamke anaeweza kutumia kompyuta kwa ajili ya kufanya kazi ya kuingiza nyimbo kwa wateja,Mwanamke wa umri wowote anaeweza kutumia kompyuta. najua si rahisi au yawezekana haujawahi kabisa kufanya hiyo kazi ila usijali utafundishwa na mwanamke mwenzako anaefanya kazi hiyo hiyo,kama...
  20. JamiiForums Tanzania EPL: Arsenal sasa yaburuza mkia , yawa nafasi ya ishirini katika msimamo wa timu 20

    Ni vema ukafahamu jambo hili mapema ili usije ukapata matatizo ya kiafya, kwamba timu iliyokuwa inapigania ubingwa leo hii inaburuza mkia , hii ni baada ya game 3 tu. Wachambuzi wanaitabiria kushuka daraja .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…