Ameitwa interview TRA nafasi mbili tofauti muda wa written interview ni mmoja

Wazee wa kubeti tunasema, Amebeti double chance na aliempa au asale kapigwa. Hapo achague nafasi moja anayohisi anaweza kupita
 
Wakuu, huyu mtu kama niwewe ungemshauri afanyeje.

Ameitwa interview TRA nafasi mbili tofauti muda wa written interview ni mmoja.
akifika atoe taarifa, then aombe apewe paper zote mbili, japo atatakiwa kutumia muda ulele wa paper moja kufanya paper zote mbilk, au wakimuhurumia kiasi anaweza ongezewa muda kidogo, ila LAZIMA ATOE TAARIFA anapofika tu. Hiyo hutokea so asijali wala haina shida.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom