nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Nafasi ya tatu kwenye mashindano mengi ni ya kisiasa tu Haina maana yoyote.Fifa waondoe hii

    Habarini wadau wa soka. FIFA wangeanza kwa kuondoa hii nafasi ya tatu kwenye mashindano haya ya kombe la dunia then wengine wangefuata. Sioni maana ya hii nafasi zaidi ya kupoteza muda na kujichosha tu.Labda iwe kwa ajili ya kupata pesa tu. Dhumuni la timu ni kucheza fainali na...
  2. P

    Nataka kujifunza kwenu wana JF kuhusu Katiba na nafasi ya Urais Tanzania

    Tunatarajia kuwa na katiba mpya hivi karibuni! Ngoja tusizungumzie hiyo ijayo tuzungumzie iliyopo! Katiba iliyopo inaitambua nafasi ya Urais kuwa ni ya watanganyika na makamo wa Rais shariti atokee Zanzibar! Kwa minajiri hiyo, huku bara, yaani Tanganyika, ndiko anakotokea Rais wa muungano wa...
  3. Natafuta nafasi ya Internship au ajira. Nimesoma Automobile Engineering

    Habari wakuu, Naitwa nurman nimemaliza Automobile engineering chuo Cha taifa Cha usafirishaji nit naweza. Motor vehicle services wheel alignment...
  4. M

    Nafasi za kazi 2, declaration clerk na operation officer

    Anahitajika declaration clerk mmoja na operation officer wa kiume... Wawe wazoefu na Kaz sio wa kuelekezwa... Ajue kutoa magari bandarin, loose cargo na container. Atakaeingiza documents kwenye system awe anajua kufanya transit, local, container na loose cargo. 0764423726
  5. Unadhani ni umri gani kwa mwanasiasa haufai kugombea nafasi za kisiasa Tanzania?

    Kuna hoja huwa inakuja mara kwa mara kwamba "fulani ni mzee sasa anafaa apumzike siasa". hivi kwa Tanzania mtu akifikisha miaka mingapi ndipo ahesabiwe kwamba umri wake haufai kugombea nafasi za kisiasa?? Rais wa sasa wa Marekani Joe Biden ana miaka 80 na kuna uelekeo kwamba anaweza kugombea...
  6. Nafasi za Kazi Idara ya Uhamiaji Leo 11/12/2022

    Habari zenu wandugu, naomba niende kwenye hoja Moja kwa Moja. Idara ya Uhamiaji imetangaza nafasi za ajira 500 kwa vijana wa kitanzania wenye sifa na vigezo mbalimbali vya kitaaluma Leo tarehe 11/12/2022. Unaweza pitia attachments hapa chini kufahamu zaidi. Lengo la Uzi huu ni kuweza kupata...
  7. Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba...
  8. Wanafunzi 270,000 kukosa nafasi Sekondari za umma

    Baada ya Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kutangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba, imebainika wanafunzi 274,671 waliohitimu na kupata daraja D na E, hawana nafasi ya kujiunga na sekondari za umma katika mwaka wa masomo 2023. Idadi hiyo ni wastani wa mwanafunzi mmoja kati ya watano...
  9. M

    Kudos Azam FC, leo mmeumiza wengi. Kuna timu inaweza kuambulia nafasi ya tatu

    Nimeona leo mjadala umekuwa mkubwa juu ya refa kuongeza dk nyingi kwenye mechi ya Azam na coast union. Nafikiri mwamuzi alikuwa sahihi kwa 100% sababu hizi timu za mikoani zimekuwa na katabia kakijinga sana kupoteza muda pindi wanapokuwa wanaongoza au wanapoona matokeo yako upande wao bila...
  10. Mgunda achana na wazee na kupeana fadhila. Mohamed Quattara ni mzima na Yuko kwenye kiwango kizuri. Acheze nafasi ya Kanute

    Mgunda anahitaji shinikizo kwenye kupanga kikosi. Akina Mkude, Boko hawaoneshi uhai Tena simba. Asiwakingie kifua. Ukweli utambwaga chini. Nyeupe haiwezi kuwa nyeusi. Ampe nafasi leo Quatara ingawa yeye Ni beki lkn ana kila kitu kinachoweza kumfanya acheze Kama kiungo mkabaji. Akina Mkude umri...
  11. Nafasi zote za kuchaguliwa kama Ubunge na Udiwani ziwe na ukomo

    Kama ulivyo Urais, nafasi hizi nazo ziwe na ukomo. Hakuna sababu ya msingi mtu mmoja kuwa mbunge miaka 20. Na jambo hili wasipewe Bunge kuamua. Kuna wabunge wamechosha kabisa. Mtu amekaa bungeni miaka 20. Mawazo yake ni ya enzi za Mkapa huko. Yupo tu, "Tunafanyaga hivi." Pia, Soma Hivi...
  12. J

    Wajumbe Tuna imani sana na Mohamed Ali Mohamed (KAWAIDA) Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UVCCM TAIFA

    Mchakato wa Uchaguzi katika Ngazi ya Taifa ukipamba moto ndani ya Jumuia ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukipamba moto, Kijana Mahili na Mchapakazi Mohamed Ali (KAWAIDA) akionyesha kuwakimbiza kwa mbali sana Wagombea wenzaki katika Mchakato huu wa Uchaguzi ndani ya Taifa mara tu wajumbe...
  13. Kila anaepewa nafasi anatulazimisha tumuunge mkono Rais Samia

    Kwani kuna nini huko? Hii ni 2022 haijafika hata 2024, kinacho nishangaza ni kila anaesimama anatulazimisha tumuunge mkono rais Samia. Nabaki najiuliza, kuna nini kwani? Kuna kitu hakiko sawa huko? Halafu mtu anatulazimisha tumuunge mkono halafu akiachia mic anakuja kulalamika kama sisi tu...
  14. Nafasi 25 za Kazi kwa Waandishi wa Habari

    CALL FOR APPLICATION (25 POST) JOB TITLE: WATETEZI TV REGIONAL REPORTERS ORGANIZATION: TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFENDERS COALITION (THRDC) DUTY STATION: TANZANIA MAINLAND AND ZANZIBAR REGIONS CLOSING DATE: 30th NOVEMBER,2022 INTRODUCTION The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC)...
  15. Nafasi ya kazi-digital markerting

    NAFASI YA KAZI KWA DIGITAL MARKETING AND CUSTOMER CARE OFFICER TAREO (MIT & KIDT) inatangaza nafasi ya kazi mhudumu na masoko kwa njia ya teknolojia ( digital marketing officer ) SIFA. √ Elimu kuanzia ngazi ya cheti, shahada au stashahada √ Awe anaifahamu vizuri digital marketing √ awe na...
  16. T

    Tunaomba Rais ufanye uteuzi kwa nafasi zilizo wazi muda mrefu

    Habarini, Ninaomba yeyote aliye karibu na Mhe. Rais amfikishie ombi langu mbele yake nalo ni kufanya uteuzi wa nafasi zilizo wazi kwa muda mrefu hususani za utendaji kama wakurugenzi Uteuzi wa nafasi hizo utasaidia utendaji mzuri na kuacha kufanya kazi kwa kujionyesha. Kukaa muda mrefu bila...
  17. Tatizo la kurudiwa kutangazwa kwa nafasi za kazi za Assistant Lecturers

    Nini tatizo, Kwanini nafasi hizo zinarudiwa mara kwa mara kutangazwa? Je wanakosa watu? Je watanzania hawana vigezo? Je wakachukue wageni? Je watanzania hawana elimu za masters? Je kusoma masters ni gharama? Au wanachunguza sana mwisho wanakosa mtu wanayemwihitaji? Au hawawapati watu wale...
  18. Luhaga Mpina aenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)

    PANGA LA NEC LAMFYEKA LUHAGA MPINA- JINA LAKE LAENGULIWA KUGOMBEA UJUMBE WA NEC. * Mambo 11 yaliyomponza yatajwa HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi imeliengua jina la Mbunge wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya...
  19. Na sisi wakazi wa Dar Es Salaam tunaomba nafasi ya kumuona Shujaa Majaliwa

    Ndugu Mkuu, Kwa kweli inaonekana kwa sisi watu wa Dar es salaam mmeanza kututenga. Inaumiza sana. Mpaka sasa Shujaa Majariwa wamemuona tu watu wa Kagera, Mwanza ,Dodoma na Tanga kama sikosei. Sisi Dar mtatuletea lini tuweze msabahi shujaa huyu? Naumizwa na jambo hili maana hata Wabunge wetu...
  20. J

    UWT taifa tunakwenda na Gaudentia Kabaka nafasi ya Mwenyekiti

    UWT TAIFA TUNAKWENDA NA Comred. GAUDENTIA KABAKA Mchague GAUDENTIA M. KABAKA Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa #Daraja Bora la Maendeleo ya Chama, Serikali na Wananchi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…