nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Festus Bulugu Limbu anafaa nafasi ya juu Serikali humu nchini

    Mtajwa hapo juu aliwahi Mbunge Jimbo la Magu, lakini pia aliwahi kuwa Naibu waziri wa fedha katika awamu ya 3 akishughulikia masuala ya SERA na Mipango ya wizara hiyo. Na kwa hakika kazi yake ilionekana na inaonekana mpaka wa leo na kuifaidisha nchi na wananchi pakubwa. Dr. Limbu is among...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Je, naweza pata nafasi CUHAS Course ya Radiology Level ya Diploma?

    Msaada naweza pata nafasi cuhas course ya radiology level ya Diploma?
  3. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba kutoa ukomo wa raisi kuongoza miaka kumi tuu na kumpa nafasi Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kugombea tena 2030

    Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi. Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi La Kujenga Taifa Latangaza Nafasi za Mafunzo

    eshi la Kujenga Taifa JKT limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo ya kujitolea kwa mwaka 2023 kwa Vijana wa Tanzania Bara na Visiwani kuanzia August 28,2023 na watakaofanikiwa wataripoti kwenye makambi kuanzia Septemba 26 hadi 29, 2023 Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Tawi la JKT Brigedia...
  5. JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM (T) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 17 Mfungo Sita 1436 9 Januari 2015 TAMKO LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM TANZANIA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KWA WATANZANIA WOTE, JUU YA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA...
  6. JamiiForums Tanzania 📢Tangazo: Nafasi za Kazi (Field Personnel)

    Wanahitajika watu wa nne 4 tu wa Field Personnel. 🔍 Majukumu: Kutekeleza kazi za field kulingana na maelekezo na ratiba iliyowekwa. Kukusanya taarifa muhimu na data katika mazingira yakazi. Kufanya usimamizi wa malipo ya ofisi kwenye eneo la field. Kuripoti mara kwa mara kuhusu maendeleo ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi KOMU College of Technology and Management

    KCTM TUNATANGAZA NAFASI ZA KAZI: 1. INSTRUCTOR 2. HR SOMA KIAMBATANISHO HAPA CHINI
  8. JamiiForums Tanzania Mechi 4 za kimashindano Migual Gamond amebadilisha nafasi zote wachezaji isipokuwa kwa Otola kwasi Yao(Jeshi)

    Ngao ya jamii mechi 2,klabu bingwa pamoja ligi kuu dhidi KMC amefanya mabadiliko kila eneo la isipokuwa kwa full back right YAO YAO hii inamaanisha Kibwana shomari anayo kazi ya kufanya kuanza katika kikosi cha kwanza. Kibwana shomari ni mchezaji mpambanaji sana lakini mpinzani wake ni zaidi...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga inasumbuliwa na timu iliyoshika nafasi ya pili ligi ya Djibouti

    Hili ni jambo la kusikitisha sana na najua wanayanga wengi limewafedhehesha. ASAS Djibouti au kwa jina lingine "AS Ali Sabieh" ni timu ambayo msimu uliopita ilimaliza nafasi ya pili katika ligi ndogo na dhaifu ya Djibouti lakini jana imeisumbua sana Yanga. Ingekuwa na mshambuliaji mmoja wa...
  10. JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kuoa/kuolewa na mtu wa nchi nyingine ungachagua raia wa nchi gani?

    Mimi ningachagua kuoa Rwanda. Kila mtu anajua maua yaliyopo kule. Wewe ungechagua wapi?
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za muda za kusimamia uchaguzi mdogo Mbarali

    Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mbarali ametangaza zaidi ya nafasi 1200 za kusimamia uchaguzi mdogo utakao fanyika tarehe 19/ 09/ 2023. Chonde chonde wapinzani msisusie uchaguzi vijana tupate posho.
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi: Walimu wa English kufundisha "twisheni" watoto wa shule za kayumba

    Baada ya kutoa maoni yangu kwenye Uzi wa Bongotunacheza uitwao " FAIDA nilizo zipata baada ya kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba" nimepokea pms nyingi sana watu wakiniuliza ninatumia mkakati gani kuhanikisha watoto wangu wanafanya vizuri kwenye somo la kiingereza kama...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Natafuta mtu mwenye maarifa ya uokaji (Bakery)

    Hello. Natafuta mtu mwenye maarifa ya uokaji (Bakery). Mjuzi katika utengenezaji wa mikate,cakes na maandazi. Mwenye kujua kutumia vifaa vya uokaji eg. Mixer, ovens etc. Yoyote mwenye interest na baking anaweza ku apply. Ofisi zipo mwanza mjini. Karibuni.
  14. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE:: Air Manula wala asiwe na wasiwasi nafasi yake ipo salama

    UNAPOKUWA Aishi Manula nyakati hizi unakuwa na wasiwasi mwingi. Wakati upo kwako Kitunda unaambiwa kwamba Simba imepeleka golikipa kutoka Brazil katika kambi yao ya Uturuki. Moyo wako unapatwa na wasiwasi. Hakuna mwanadamu ambaye hana hofu na kazi yake. kazi ni maisha. Kazi ni kila kitu. Lazima...
  15. JamiiForums Tanzania Usimuunganishie ndugu, rafiki au mtu wa karibu nafasi ya kazi ofisini kwako

    Hii ni nature na hakika, Usijaribu kujionyesha kuwa u mwema au u mtoto wa mjini kwa kumuunganishia mtu wa karibu nafasi ya kazi kazini kwako. Mtavurugana mpaka mchanganyikiwe. Hii nimeiona kazini kwa watu kadhaa nami yalitaka yanitokee sema nikapanchi. Mtafutie kazi ndugu au rafiki katika...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi medical laboratory assistant

    Anahitajika mtaalamu aliyesomea medical laboratory assistant/technician. Kwa mawasiliano zaidi piga 0745225561
  17. JamiiForums Tanzania Wakati Wazungu wakijiandaa kuihama dunia tupeleke vijana wetu wakachukue nafasi

    Bila shaka wazungu wako na mpango mkakati mkubwa sana yaani kuhama dunia na kuhamia sayari nyingine au kwenye "space" Hatuna budi sasa kuwaruhusu vijana wetu kuhamia marekani,uingereza ,uchina n.k kwenda kuchukua nafasi.
  18. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Lodhia group of companies, mwisho wa maombi ni Augusti 11, 2023

    EMPLOYMENT OPPORTUNIES AT LODHIA GROUP OF COMPANIES Lodhia Industries is one of the leading and fastest growing steel & plastic manufacturers inTanzania and is currently operating out of two locations, Dar-es-salaam and Arusha. Since thefoundations of the company laid back in 1996, Lodhia...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa ndugu zangu wa PCB mtakaokosa nafasi vyuo vya afya jaribuni kozi nyingine

    Salaam, Hii ni kwa wale ndugu zangu wa PCB wenye matarajio ya kwenda medical schools(hasa public universities) lakini competition itawaondoa. Jaribuni kozi nyingine nje ya field ya afya pale itakapo wabidi kama sisi kaka zenu tulivyojaribu. Inawezekana usichaguliwe huko medical school kwa kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Je, mwenye alama 28 kidato cha nne anaruhusiwa kuchaguliwa kujiunga na advanced level?

    Naomba kuuliza wakuu, eti mtu mwenye division four ya 28 anaweza kupata nafasi ya kusoma advance shule ya private?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…