nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Manchester United kumsajili Anwar El Ghazi ili kuziba nafasi ya Antony na Sancho

    Manchester United inahitaji winga wa kulia baada ya Antony kutakuwa kuwa nje ya klabu kwa muda wakati akishughulikia kesi zinazomkabili wakati Jadon Sancho hatma yake haijulikani baada ya kutofatiana na kocha wake, Erik ten Hag. El Ghazi (28) ni mchezaji huru, aliondoka PSV Eindhoven, wiki...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa asili kuna ishara Tundu Lissu ni Dikteta na Much know hafai kwenye nafasi ya Urais na Uenyekiti

    Wasalaam Bazzukulu, Mkubali au mkatae ila ukweli usemwe Tunda Lissu ana asili ya umuch know na udictator, pia ni lopolopo sana, na ni mjuajj anaependa kuabudiwa na kusifiwa. Kwa sifa hizo mbovu hafai kuwa na cheo cha juu sana cha Urais na Uenyekiti wa Chama chake. Abaki tu na sifa za...
  3. JamiiForums Tanzania PC yako inahitaji nafasi ya kupumua, ondoa makorokoro! kwa wale tulio na utitiri wa videos, hii ndiyo njia nayotumia kuzifuta chapchap na kuzihakiki

    Unaweza kuwa na lundo la videos ambazo huwezi kuja kuziangalia tena, huwa ni sawa na makorokoro, Pc ama hata simu yako ni sawa na chumba, ni muhimu iwe na nafasi ya kupumua, toa makorokoro hayo chini ya uvungu ili kuwe na sehemu ya kupumua na kuwe na urahisi wa kuperuzi karibu kusoma post za...
  4. JamiiForums Tanzania Mungu hakukosea kutenganisha nafasi na majukumu katika muktadha wa jinsia

    Wasalaam, Wanaume na wanawake ni zao la Mungu baba wa mbinguni, aliye muumba wa vitu vyote, ukuu wa Mungu na vielelezo vyake ameumbiwa mwanaume. Hivyo nawakumbusha wanajamii na watu wa mataifa Duniani kuzingatia yote kwa kufuata muundo wake Mungu. Itokeapo ukamfanya mke kuwa Mkuu wa kaya zenu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kuuza duka la dawa za binadamu

    Hello guys. Natafuta kijana wa kuuza duka la dawa za binadamu awe na zifa hizi: 1. Mwenye cheti cha Ado na umiliki wa duka la dawa. 2. Awe tayari kufanya kazi kwa bidii. Eneo ni Dar es salaam- Kigamboni- Kisarawe 2. NB: Kuhusu mshahara tutaelewana akijitokeza. Asanteni.
  6. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Mwana FA aiombea Yanga nafasi kucheza Super League, Yanga yalalamika kutoalikwa mkutano wa CAF Arusha

  7. JamiiForums Tanzania Jinsi nchi zinavyo endelea ndivyo ndoa na kuzaa sana zinapoteza nafasi ndani ya jamii

    Kutokana na utafiti uliofanywa na vyombo vya kimataifa kama New York times kuhusu utamaduni wa kufunga ndoa. Unaonesha utamaduni wa kuoa au kuolewa unapoteza nguvu ndani ya jamii zile zinazo endelea na zilizo endelea kwa kasi. Utafiti uonesha vijana wa mataifa yaliyo endelea na yanayo endelea...
  8. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake? Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Festus Bulugu Limbu anafaa nafasi ya juu Serikali humu nchini

    Mtajwa hapo juu aliwahi Mbunge Jimbo la Magu, lakini pia aliwahi kuwa Naibu waziri wa fedha katika awamu ya 3 akishughulikia masuala ya SERA na Mipango ya wizara hiyo. Na kwa hakika kazi yake ilionekana na inaonekana mpaka wa leo na kuifaidisha nchi na wananchi pakubwa. Dr. Limbu is among...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Je, naweza pata nafasi CUHAS Course ya Radiology Level ya Diploma?

    Msaada naweza pata nafasi cuhas course ya radiology level ya Diploma?
  11. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba kutoa ukomo wa raisi kuongoza miaka kumi tuu na kumpa nafasi Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kugombea tena 2030

    Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi. Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe...
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi La Kujenga Taifa Latangaza Nafasi za Mafunzo

    eshi la Kujenga Taifa JKT limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo ya kujitolea kwa mwaka 2023 kwa Vijana wa Tanzania Bara na Visiwani kuanzia August 28,2023 na watakaofanikiwa wataripoti kwenye makambi kuanzia Septemba 26 hadi 29, 2023 Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Tawi la JKT Brigedia...
  13. JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM (T) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 17 Mfungo Sita 1436 9 Januari 2015 TAMKO LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM TANZANIA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KWA WATANZANIA WOTE, JUU YA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA...
  14. JamiiForums Tanzania 📢Tangazo: Nafasi za Kazi (Field Personnel)

    Wanahitajika watu wa nne 4 tu wa Field Personnel. 🔍 Majukumu: Kutekeleza kazi za field kulingana na maelekezo na ratiba iliyowekwa. Kukusanya taarifa muhimu na data katika mazingira yakazi. Kufanya usimamizi wa malipo ya ofisi kwenye eneo la field. Kuripoti mara kwa mara kuhusu maendeleo ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi KOMU College of Technology and Management

    KCTM TUNATANGAZA NAFASI ZA KAZI: 1. INSTRUCTOR 2. HR SOMA KIAMBATANISHO HAPA CHINI
  16. JamiiForums Tanzania Mechi 4 za kimashindano Migual Gamond amebadilisha nafasi zote wachezaji isipokuwa kwa Otola kwasi Yao(Jeshi)

    Ngao ya jamii mechi 2,klabu bingwa pamoja ligi kuu dhidi KMC amefanya mabadiliko kila eneo la isipokuwa kwa full back right YAO YAO hii inamaanisha Kibwana shomari anayo kazi ya kufanya kuanza katika kikosi cha kwanza. Kibwana shomari ni mchezaji mpambanaji sana lakini mpinzani wake ni zaidi...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga inasumbuliwa na timu iliyoshika nafasi ya pili ligi ya Djibouti

    Hili ni jambo la kusikitisha sana na najua wanayanga wengi limewafedhehesha. ASAS Djibouti au kwa jina lingine "AS Ali Sabieh" ni timu ambayo msimu uliopita ilimaliza nafasi ya pili katika ligi ndogo na dhaifu ya Djibouti lakini jana imeisumbua sana Yanga. Ingekuwa na mshambuliaji mmoja wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kuoa/kuolewa na mtu wa nchi nyingine ungachagua raia wa nchi gani?

    Mimi ningachagua kuoa Rwanda. Kila mtu anajua maua yaliyopo kule. Wewe ungechagua wapi?
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi za muda za kusimamia uchaguzi mdogo Mbarali

    Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mbarali ametangaza zaidi ya nafasi 1200 za kusimamia uchaguzi mdogo utakao fanyika tarehe 19/ 09/ 2023. Chonde chonde wapinzani msisusie uchaguzi vijana tupate posho.
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi: Walimu wa English kufundisha "twisheni" watoto wa shule za kayumba

    Baada ya kutoa maoni yangu kwenye Uzi wa Bongotunacheza uitwao " FAIDA nilizo zipata baada ya kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba" nimepokea pms nyingi sana watu wakiniuliza ninatumia mkakati gani kuhanikisha watoto wangu wanafanya vizuri kwenye somo la kiingereza kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…