nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tulionya tukapuuzwa, tukashauri wapinzani, basi wao wachukue nafasi ya upepo wa JPM, wakatuita kila aina ya majina!

    Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya fumigation personnel

    EFT CLEANING AGENCY LIMITED inatangaza nafasi ya kazi ya Fumigation Personnel Sofa . 1. awe na Umri usiopingua miaka 21 2. Awe na utayari kufanya kazi pale atakapopangwa 3. Awe amesomea fani husika na aw na vyeti vyote muhimu vya usajili 4.Awe tayari kufanya kazi ndani ya wiki mbili toka angazo...
  3. JamiiForums Tanzania Usaili wa nafasi Jeshi la Polisi mkoa wa Dar es Salaam unashangaza

    Usaili wa nafasi za kazi jeshi la polisi umeanza October 31,2032. Mikoa yote nchi nzima. Baadhi ya mikoa wamemaliza usaili kwa ngazi zote, lakini mkoa wa Dar es Salaam bado. Usaili ufanyika ngazi ya wilaya na mwisho ni mkoa, ambapo kikawaida mitihani ya mchujo ufanyika katika ngazi ya wilaya na...
  4. JamiiForums Tanzania Balozi wa Uingereza nchini: Serikali zinatakiwa kuzingatia nafasi za wanaowafadhili. Ni kuhusu haki za LGBTQ

    Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar akihojiwa kuhusu Uganda kupitisha sheria ya ushoga, amesema nafasi ya Uingereza juu ya haki za LGBT+ duniani iko wazi. "Tunaunga mkono haki za makundi yote kutendewa kwa usawa na wasibaguliwe. Makundi yenye watu wachache ikiwemo jamii ya LGBT+...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi ya KVP Officer imetangazwa, wapiga zumari mko kimya! Tuna tatizo kubwa sana

    Tanzania ni Mojawapo ya Nchi inayopenda kuongozwa Kwa matukio, yaani akitokea MTU hasa MTU Mwenye njaa zake Huko basi mtatengenezewa tukio mtajiona nyie NDIO nyie. Miezi michache iliyopita Mwakyembe na mwandishi wake walijitokeza hadharani na kuja na allegations kibao, mitandao yote ikabeba hio...
  6. JamiiForums Tanzania Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

    Wanaukumbi. Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku. Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central...
  7. JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi za kazi

  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Tanzania ya 4 kwa usalama wa anga Afrika

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imefanikiwa kushika nafasi ya nne barani Afrika kwenye masuala ya usalama wa anga kwa kupata alama 86.7 ikitanguliwa na Nigeria, Kenya na Ivory Coast katika ukaguzi uliofanyika Mei, 2023. “Kwenye ukaguzi mwingine wa uwezo wa nchi kiusalama uliofanywa...
  9. JamiiForums Tanzania Fursa za ajira katika Jumuiya ya OACPS

    Ubalozi wa Tanzania nchini Ubelgiji unapenda kuarifu kuhusu uwapo wa fursa za ajira katika Jumuiya ya Nchi za Afrika Karibiani na Pasifiki OACPS yenye makao makuu Brussels Ubeliji ambayo Tanzania ni nchi Mwanachama
  10. W

    JamiiForums Tanzania Ushiriki mdogo wa vijana katika nafasi za uongozi Tanzania unatia wasiwasi

    Nchini Tanzania, ushiriki wa vijana katika nafasi muhimu za uongozi bado ni mdogo sana, hali ambayo haionyeshi ukweli wa idadi ya watu wa nchi. Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 ilifunua kuwa takribani asilimia 50 ya Watanzania wana umri wa miaka 18 na chini, na thuluthi mbili ya idadi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Simba ndio timu peke Tanzania kupata nafasi ya kuanzisha mambo,na wengine hufuata baadae.

    Ni karama itokananyo na bidii,haiji hivihivi. Simba ndio timu pekee kwa Tanzania kupata nafasi nyingi za kuweka historia.kisha timu nyingine hufuata baadae sana. Mfano,kombe la Afrika mashariki lilipoanzishwa timu ya Simba kwa tanzania Ikawa ya kwanza kulitwaa. Simba Ikawa ya kwanza kuingia...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nani amefanya mwaka wako kwenda vizuri hata pale ambapo uliona hutatoboa? Chukua nafasi hii kumshukuru kila aliyesafisha njia yako ukapita bila shida

    Habari Wanajf? Kuna kipindi tunakutana na magumu kwenye maisha mpaka unaweza kufikiria kukata tamaa, lakini kwenye yote hayo kuna watu wamekuwa msaada kwetu kutunyanyua kila tunapoanguka, kutupangusa vumbi na kuhakikisha tunafika tunapotakiwa kufika. Watu ambao ushauri wao umekuwa msaada...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kupata Nafasi ya Kazi kwenye Ofisi yoyote, NGO au Microfinance

    Asante sana. Nilishafanikiwa kupitia jamii forum kupata nafasi
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) Oktoba, 2023

    Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) linatangaza nafasi kama ifuatavyo:
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Tanga-Pasadit OVC-kizazi hodari -hho position

    EMPLOYMENT OPPORTUNITY – PASADIT TANGA PASADIT is a non-governmental organization operating under the Catholic Diocese of Tanga. PASADIT strives to ensure that the Most Vulnerable and Marginalized groups have dignity and secure life through social accountability, capacity building, service...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Nape atambue nafasi yake ni kipimo cha utu na utimamu wa akili hasa kiutendaji

    Habari ya zuio ama masharti ya matumizi ya VPN kutoka kwa Waziri Nape na wizara yake kwa ujumla inasikitisha hasa inapotokea Waziri anakosa statements zenye substance na credibility, si vema watu wenye dhamana kama ya ndugu Nape kutoa statements zenye mzaha mzaha, Tanzania sio kisiwa vinywa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inaweza kutangazwa wageni, diaspora na wananchi wakaiomba?

    Nimetafakari kuhusu nafasi za kitaaluma kama Gavana wa Benki kuu, nini madhara zikiruhusiwa kuombwa na mtu yeyote mwenye sifa? Teua tengua zimekuwa nyingi jambo linaloashiria kuna shida ya wale wanaopatikana. Sisi tumekuwa hodari wa kukuza watu wasiotumika wanaondoka kwenda kujitafutia huko...
  18. JamiiForums Tanzania Japan: Watanzania 6 kuchuana katika Riadha leo ili kuwania nafasi ya Kushiriki Michezo ya Olimpiki 2023

    Wanariadha hao ni Paul Makiya, Fabian Naasi, Peter Sulle, na Sarah Ramadhan wanaoshinda katika Mbio za Kilomita 42 (Full Marathon), huku Joseph Gisemo na Transfora Mussa watashindana katika Mbio za Kilomita 21 (Half Marathon) huko Nagai leo Oktoba 15, 2023. Endapo Wakimbiza Upepo hawa watafanya...
  19. JamiiForums Tanzania Misri yaiomba Israel iachie nafasi ya misaada kutoka Uarabuni kuwafikia Wapalestina

    Mpaka sasa Israel inaendelea kusambaratisha kila kitu na kukata huduma zote, wakimbizi 250,000 wamekusanyika wakitegemea UN, misaada inaendelea kukata, mataifa ya Kiarabu yametanguliza Misri ibembeleze Israel iachie nafasi kidogo ya kufikisha misaada. Hii ni hali ya hovyo sana, kuanzisha choko...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya nafasi za kazi zinazotangazwa zinakosa watu

    Habari wanajamvi Nimefuatilia placements nyingi za kazi lakini kuna jambo nimegundua unakuta wakati tangazo la kazi linatoka serikalini labda linahitaji watu 20 lakini watakaoajiriwa ni 12 tu shida ni nini...? Ni kwamba vijana sikuizi hawajiriki ndoo maana baadhi nafasi kukosa watu na kua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…