Tunahitaji walimu wa Cambridge curriculum kwaajiri kufundisha home schooling. Pia mtaaalamu wa music and keyboard
Note: kabla hujaomba tafadhali hakikisha wewe ni expert wa Tangazo tulilotoa
1.Mwalimu wa Biology Advanced level Cambridge curriculum.
2.Mtaaalamu wa music and keyboard kwa kila...
NAOMBENI NAFASI YA KAZI YA CUSTOMER SERVICE AGENT KWENYE SECTOR YOYOTE...
AU *FRONT OFFICE AU
CALL CENTER...SEKTA YOYOTE ILE...
Ikiwa sector ya TOURISM AND HOSPITALITY nayo sio mbaya...
NAOMBENI TAFADHALI...*
CONNECTION NA EXPERIENCE VINANIKOSESHA KAZI KILA NIKIOMBA SEHEMU...
ILA...
Wakuu .
Mimi nimetembea duniani kote
USA
UK
France
German
N.k
Tukubali tu kuwa sisi watu weusi mambo ya kutawala nchi hatuyawezi Ila tunachoweza ni kuwa chini ya utawala wa MTU Fulani .
We are not organized
Angalia nchi Kama Venezuela haina , Gas , haina mafuta Ila ni moja ya richest...
Ukisema maendeleo kidogo yaliyopatikana katika soka la Tanzania limechangiwa na Wallace karia, ninapinga.Maendeleo ya soka nchini kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na wadau wa michezo wakiwemo wafadhili, ambao kwa namna moja ama nyingine nina uhakika wallace karia hajachangia au kama amechangia ni...
Ikitokea Jimbo au kata mbunge au diwani wa CCM amekufa hapo kijana ingia chap unapata nafasi, ikitokea mbunge au diwani ametangaza kutoendelea na madaraka hapo kijana usizubae chukua nafasi haraka.
Ikitokea mbunge au diwani ndugu yako sana msihi akutupie taulo akiridhia chukua nafasi haraka...
Mchekeshaji @stanbakora_ Agombea Nafasi Ya Udiwani Kata Ya Kiwanja Cha Ndege Morogoro
Ameyasema Hayo Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram Kwa Kuandika👇
“Wana MOROGORO MJINI Kata Ya KIWANJA CHA NDEGE Nipo Tayar Kuwatumikia”
Ndugu zangu Watanzania,
Nipo kimya na nimetulia kwa utulivu mkubwa sana huku macho ,masikio na mawazo yangu yote yakiwa yameelekezwa katika kufuatilia kwa kina sana na kwa ukaribu mkubwa sana zoezi la uchukuaji ,ujazaji na urejeshaji wa Fomu za kuwania Ubunge kupitia chama changu cha CCM...
Ndugu zangu najaribu kuwaza kwa sauti baada ya mchakato wa chama cha mapinduzi wa kuchukua form kuanza leo, nimeona mambo ambayo yanatafakarisha sana.
KUmekua na wimbi kubwa la watu maarufu kifedha ama kisanii lakini pia familia maarufu kuchukua form za ubunge.
Ni sahihi kwa sababu wana haki...
Ni dhahiri kwamba miaka 60 kurudi nyuma chi kama singapore na malaysia zilifanana umasikini wa kwetu Afrika.
Ila leo ni nchi ambazo zinakimbiza kimataifa.
Sisi tumebakia na tabu ambazo hata babu yako aliekufa akipigana na wakoloni kwa ajili ya ukombozi wa taifa lake atashangaa sana.
KARIBUNI:
FREELANCERS
Uwe mkazi wa Morogoro au Dodoma.
Umri miaka 20 - 30.
Elimu kidato cha nne - kuendelea.
Kazi - kutafuta masoko ( wateja wa huduma zetu )
Kazi zetu ni Installation & supplying - Security systems, Tv systems, Domestic electrical n Other IT solutions.
Malipo ni kwa kazi, kuanzia 30,000...
🚨 NAFASI ZIMEJAZWA TAYARI
📝 Tangazo kutoka Bright and Genius Editors
Bright and Genius Editors inatangaza nafasi za kazi kwa watu wenye uwezo wa kusikiliza sauti na kuhariri maandishi yaliyopatikana kutoka kwenye audio kwa usahihi na ufasaha.
🔊 Kazi: Kusikiliza Audio na Kuhariri Maandishi
💻...
Kila anayechukua huo wadhifa analiwa, tangazeni hiyo nafasi tena, wanawahishwa kwa mabikira....
Ayatollah tunamsaza tu ili atie saini mkataba wa kuisahau nyuklia, la sivyo tungekua tushamla na lile gauni lake
====================
The IDF on Tuesday assassinated the replacement Iranian Khatam...
Wakudri ni Nani na Wapo Wapi?
Wakudri ni kundi la kikabila linalokadiriwa kuwa na watu milioni 30–40, wanaoishi hasa katika maeneo ya:
Kaskazini mwa Iraq (Kurdistan ya Iraq), Kaskazini-magharibi mwa Iran,Mashariki mwa Uturuki na Kaskazini mwa Syria.
WAKUDRI (Kurds), ambao kwa miongo mingi...
Michepuko imeheshemishwa sana siku hizi, nafasi yake ni kahaba alie changamka ila vijana wana wapa privilege.
Vijana wanaiga ngozi nyeupe kupigia magoti wala ugali wenzao.
Vijana wanababaika na matako manene kupelekea kufanya ya ajabu ajabu.
-Kwa upande wangu Baba aliwahi kuniambia kuwa Binadamu anaweza kuwa hatari kuliko mnyama mkali wa porini. (Hili halina mjadala, lipo wazi kabisa)
-Vilevile mama aliwahi kuniambia nisipende kutembea nyakati za usiku hasa ikiwa hakuna ulazima wa kufanya hivyo. ( Pamoja na kuwa Baba wa familia...
Kwa mara ya kwanza Jeshi la Israel walijaribu kutumia marubani wa kike 26 October 2024, waliweza kushambulia kambi ya jeshi la iran, kuua askari wanne na kuharibu mifumo ya ulinzi iliyojaribu kuwazuia , waliweza kufika Tehran kupiga doria na kurudi salama Israel.
Round hii wameenda wengi zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.