nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. barakachaplin

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi: Airtel Money Business Support Officer

    Je, wewe ni mtaalamu wa ukuaji wa biashara, usimamizi wa akaunti muhimu, au huduma za fintech? Jiunge na mteja wetu, kampuni ya simu maarufu, kama Airtel Money Business Support Officer na usaidie kuendeleza matumizi ya pesa za mkononi, ushirikiano wa biashara, na mifumo ya malipo ya dijiti! 🔹...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi za kutunza Bustani

    Nafasi za kazi: Watunza Bustani (02) Eneo la kazi: Dar es Salaam, Tanzania Majukumu: Kutayarisha na kutunza upandaji wa maua, mapambo, na nyasi. Kuripoti matengenezo yanayohitajika kwenye bustani. Kuweka eneo la bustani katika hali ya usafi na nadhifu. Kuhakikisha matumizi sahihi na uhifadhi...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tanzania hapatawahi kutokea rais mwanamke mstahimilivu, mwenye subra na maono, hekima na busara kama za kiutawala kama Samia Suluhu

    Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Prof Janabi anaweza kushinda nafasi ya WHO Africa?

    What is happening ni kwamba Wamarekani waliiahidi Serikali ya Tanzania kuipa chanjo za magonjwa mbali mbali kwa masharti kwamba Tanzania lazima ikubali genetic experiments zifanyike on the Tanzanian population. Yaani hizi genetic experiments zifanyike with no or limited monitoring by our own...
  5. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Kijana anatafuta nafasi ya kazi kwa mkoa wa Dar es salaam au Dodoma.

    Habari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050. Tumsaidie apate ajira ndugu zanguni
  6. A

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema msimpe nafasi ya kuongea na umma anawachomganisha na umma

    Nimesikia kauli Moja ya Lema anasema kuhusu sadaka kwenye nyumba za ibada na michango ya CHADEMA. Huyu jamaa hachuji mambo ya kuongea na hajui madhara yanayoweza kukifika chama chake kwa kauli zake. Sijui ana tatizo Gani kichwani mwake. Aliwahi kusema ugali ni chakula Cha masikini akasahau...
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Janabi kushinda WHO ni finyu

    Mwamba kwenye CV yake hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
  8. H

    JamiiForums Tanzania Alignment ya field ulizosomea unaweza kuleta shida kupata nafasi taasisi fulani

    Habarini wakuu, natumaini mnaendelea vyema na shughuli za kulijenga taifa. Kuna jambo moja nimelifatilia Kwa watu mbalimbali japo nimepata majibu mchanganyiko. Kwa hivyo nimeona nililete kwenu pia kama kuna watu mnaofahamu tushauriane. Nitumie mfano: Labda nimesoma Bsc with Education (Biology...
  9. Stability

    JamiiForums Tanzania Muda sio mrefu Slim Thicke watachukua nafasi ya tipwa tipwa

    Hakuna kinachoweza kushinda urembo wa namna hii, unakuta mtoto tumbo flat alafu sio pana then butt imeinuka round na sio kubwa na tepe tepe sanaaa, paja linakuwa nusu kilo sio kilo moja, chuchu ndio usiseme bado zina antena😁 Kama una miliki totoz ya namna, basi hongera sana. Au wakuu bado...
  10. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali ya written Utumishi nafasi ya Planning Officer II mwenye madini share please

    Wadau nakwenda kupambania bahati yangu tarehe 25 mwezi huu, mwenye madini juu ya maswali ya written kada ya planning officer Fanya kushare
  11. E

    JamiiForums Tanzania Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand

    Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand (Kupitia Danvast Career Search) Habari wanajamii, Nimekutana na tangazo la kazi ambalo naona linaweza kuwasaidia baadhi yetu humu. Kuna nafasi 700 za kazi za kuangalia wazee (Caregiver Jobs) katika nyumba za kulelea wazee New Zealand...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Augustine Okajepha anajua boli, Fahdu ampe nafasi

    Nimekuwa navutiwa sana na kiungo huyu lkn hapewi nafasi, ni fundi kweli wa mpira lakn anawekwa benchi na wakati mwingine hata benchi hakai
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 GEITA, Mwenyekiti UVCCM: Kabla ya kuwapa nafasi hawa waongo tukayaseme mafanikio ya Rais Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo amewaasa Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kuyasemea mazuri ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwemo ujenzi wa miradi mbalimbali inayoendelea Mkoani Geita. Hayo ameyasema wilayani Bukombe wakati...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Aise hawa madogo wa PSG wanapiga mpira, wala hawana striker ila mawinga wao wanazunguka kugawana nafasi tatu za ushambuliaji. Counter pressing hatari!

    Ingawa ligi yao ni ya wakulima ila wanaonesha katika UCL kuwa ni tishio, wakipoteza hii UCL ni uzembe wao.
  15. Tembele

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Kiwandani.

    Kiwanda cha kuchakata plastiki kilichopo tegata - Daressalaam, Kinatafuta vijana wawili kwa ajili ya kazi za kiwandani, Kazi hizo zinahusisha , kuchambua plastiki, Kuosha plastiki, Kusaga plastiki na Kuengeneza bidhaa mbali mbali kwa kutumia plastiki, vijana wawe na sifa zifuatazo. 1. Awe...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Simba SC yatikisa kwa ubora Afrika, yapanda hadi nafasi ya 4

    My Take Lipokuja swala la kuiheshimisha Nchi na Ligi ya Tanzania Kimataifa,Simba ni Timu ipewe maua yake.
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Maswala gani matatu utaanza nayo ili kuufufua uchumi wa nchi hii endapo utapata nafasi ya juu katika uongozi?

  18. Muchaa

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Sales & office admin

    Anahitajika kijana mkazi wa Babati Qualification.. 1. Degree/Diploma in business or any related field 2. Awe mkazi wa Babati 3. Awe na uwezo wakusafiri kupita katika wilaya zilizopo Mkoa wa Manyara..... Mawasiliano piga 0687222251
  19. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Mpishi

    Hoteli nyota 3 Ilemela Mwanza inatafuta wapishi 2 mmoja mwanamke na mmoja mwanamme. piga simu 0739290084 kwa maelezo zaidi ya kina.
  20. C

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji na akapata anaweza kugombea udiwani mwaka huo huo?

    Habari wanajf, Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji katika uchaguzi wa serikali za mitaa na akapata anaweza kugombea udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huo huo?
Back
Top Bottom