nabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Siku makanisa yakijaa waumini matajiri na kuongozwa na nabii mmoja aliye masikini basi yesu atakuwa alikuwepo kweli!!

    Siku ikitokea waumini wote wa mwamposa wakawa matajiri kumshinda mwamposa basi itakuwa ni ishara ya wazi kuwa yesu alokuwepo na anafanya kazi. Kinyume na hapo ni ujinga tu ma hadithi za kusadikika!!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hoja juu ya Biblia Agano Jipya (2): Kwanini Yesu alipofufuka hakujionyesha kwa makuhani na mafarisayo kuthibitisha mfano wa nabii Yona?

    Makuhani na mafarisayo walimtaka Yesu awake ishara akawaambia kama Yona alivyokuwa kwenye tumbo la samaki siku tatu kisha akatoka basi na yeye atakuwa kaburini siku tatu na kutoka akiwa mzima tena. Lakini alipofufuka alikuwa akiishi maisha ya kificho. Aghalabu tunaambiwa takribani aliwatokea...
  3. apostleonesmodeus

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Nabii Amosi

    Je kitabu Cha nabii Amosi kimejikita hasa kwenye Nini na uhusiano wake na maisha ya jamii na kanisa la leo. Tunaweza tukashare idea kwa yeyote anayejua na kufahamu.
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna Nabii na mtumishi wa Mungu aliyejiingiza kwenye siasa akashinda pasipo kuwa Mpiganaji wa Vita. Manabii wengi walioingia kwenye siasa waliuawa

    HAKUNA NABII NA MTUMISHI WA MUNGU ALIYEJIINGIZA KWENYE SIASA AKASHINDA PASIPO KUWA MPIGANAJI WA VITA. MANABII WENGI WALIOINGIA KWENYE SIASA WALIUAWA KWA SABABU HAWAKUWA WARRIOR Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ni angalizo kwa wale Watumishi wa Mungu, Manabii na mitume wa wakati huu...
  6. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Huyu nabii alitabiri Museveni kuangushwa, na Rwanda kunyimwa misaada. Uijeruman na Ubelgiji tayari zimesitisha misaada kwa Rwanda

    sikikiza kwenye video hapo chini https://m.youtube.com/watch?v=NZI68ek9aOU
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nimelia machozi baada ya kusikiliza Mahubiri ya Nabii Denis Kuhusu Tanzania

    Mungu alipoona Taifa lake la Waarabu linaangamia kwa kukengeuka aliwateremshia Mtume Muhammad (SAW) kuwafindisha namna bora ya kuishi kwa kumpendeza Mungu. Akawaamrisha mema na kuwakataza mabaya kwa Mujibu wa Mafundisho ya Allah Tabaraq wa Taallah. Mungu pia alidhihirika nyakati za Rais Sauli...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unatoka kuzini au kufanya uasherati unaenda kwa nabii au mtume kwenye maombi na maombezi akuombee upate, gari, mume au mke kweli utapata?

    Unatoka geto kwako kupiga punyeto au kusagana moja kwa moja madhabahuni kwa nabii akuombee upate kazi na ukirudi home moja kwa moja breki bafuni kupiga nyeto au kusagana, kweli? hujui nyeto na kusagana ni kujipaka nuksi, unajisi na mikosi? Baraka na Neema za Mungu utaziskia kwa wenzako tu, we...
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Nabii & Mch. Steven Gumbo: Kuna matukio 7 atakayoyafanya Tundu Lissu kuuangusha utawala wa Samia na CCM. Yameruhusiwa na Mungu. Hakuna wa kuzuia

    Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania... Anachokisema hapa kinafikirisha na kutafakarisha sana na naileta hapa kushea na kujadili kwa pamoja...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Huko Arusha kuna ndoa imevunjika kisa mke kachora tattoo yenye jina la nabii GeorDavie

    Ule msemo wa mwanamke mjinga huvunja ndoa yake mwenyewe unaendelea kujidhihirisha. Mkoani Arusha kuna mama mmoja mrwmbo kajilipua kuchora jina lanabii GeorDavie begani. Mama huyo mrembo kweli kweli baada ya kuchora tatoo hiyo, mumewe alimkomalia aifute ila akagomaa Baada ya kugoma mume aliamua...
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Maneno aliyoyaongea Nabii Mkuu kipindi anampa gari Muimbaji wa nyimbo za injili yalikuwa ndiyo zawadi na siyo gari: Mwimbaji alishindwa kutafsiri

    Rejea maneno haya ya nabii Mkuu wakati anampa Mwimbaji gari "Mimi napenda kuuona uzuri wa watu na kuuyoa nje". Kwa haraka sana gari hapo limekuja la kiwakilisho tu katika ulimwengu wa vitu (material world) ila ukweli ni kuwa yule Mwimbaji alipewa mguvu ( energy). Waliomshauri kuchoma gari...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

    Salaam, Shalom!! Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla. Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU...
  13. Daktari W Sindabhalla

    JamiiForums Tanzania Mtume & Nabii J. Mwingira - Tundu Lissu

    =>HOW ARE YOU GOING TO CONQUER THE MAN WITH THE SPIRIT OF VICTORY? => Mshindi Huwezi Kumshusha. => Mshindi Huwezi Kumuangamiza. => Mshindi Huwezi Kumtishia. => Mshindi Huwezi Kumshinda. #Said, Apostle & Prophet J. Mwingira Of Efatha Church
  14. demigod

    JamiiForums Tanzania Je Kuna Usahihi Wowote Wa Kisayansi Katika Hiki Anachokisema Huyu Malaika Kupitia Nabii?

    Wakuu niko najifunza kwa kusoma makala za hadithi za Sunnah za waislamu. Haya ni masimulizi ya mtume wao kwa watu wake wa karibu. Lakini nimesoma Sahih Bukhari 3366 Book 60 Hadithi ya 4 (Link:- Hadithi hii hapa) nakutana na hiki kisa kama kinavyoonekana kwenye hii picha. Hapa ni tafsiri...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa Kwa Nabii Issa ( YESU)

    Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa Israeli. Kuzaliwa kwake ni tukio maalum linaloonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu. Kuzaliwa kwa Nabii Issa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyangali amfananisha Mbowe na Nabii Musa, Lisu na Nabii Joshua

    Kada maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyangali amesema nabii Musa alifanya mengi mazuri juu ya Taifa la Israel lakini baadaye Mungu akampunzisha ili ampishe nabii Joshua awaingize wana wa Israel nchi ya ahadi ya Kaanani Mdude maarufu kama Mdude Chadema amesema Mbowe...
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Inakiwaje Nchi ya Misri imekosa nabii hata mmoja?

    Kwanza naomba kujua ni sababu zipi wazungu waliziona kwa misri na nchi nyengine za mashariki ya kati kuziunganisha na bara la Afrika? Je ni usalama au Kuwagawa waarabu? Jambo la pili inakuwaje nchi kama Misri ambayo inahistoria kubwa mno,imeshindwa kutoa hata nabii mmoja,Kiongozi(sayansi...
  18. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Tukio la Nabii Musa kuona Moto unawaka kwenye kichaka cha majani mabichi kujirudia tena tarehe 20&21 Dec2024 nchini Israel Mlima Karkom! Je tulipigwa?

    Jeshi la Israel, IDF inaruhusu watalii kuona 'kichaka kinachowaka moto' kwenye Mlima Karkom, Je ni nini hiki? - mfafanuzi Jeshi limesema kuwa litafungua eneo hilo, ambalo kwa kawaida ni eneo la shabaha kwa silaha za moto la IDF, tarehe 20-21. Desemba 2024 Watu wataruhusiwa kuzuru Mlima Karkom...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hivi kulingana na biblia nani alikuwa ni nabii wa mwisho na nani alikuwa ni mitume wa mwisho ?

    kulingana na mtiririko wa biblia wa manabii unaishia kwa yohana kama ndie nabii wa mwisho yani yule alieandika kitabu cha ufunuo ambacho ndio kitabu cha mwisho kwenye biblia na ukiangalia manabii wote katika mtiririko wa biblia walikuwa ni waisrael na sio wa mataifa tofauti na hilo na hawakuwai...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Nabii Hakubaliki Nyumbani! Godbless Lema ni Nabii? Alianza na Ndoto, Ikatimia!, Akaja na Sabaya, Ikatimia!, Sasa ni Makonda, Itatimia? Asipuuzwe!

    Wanabodi Tukubali tukatae watu hatulingani, kuna watu wana nguvu fulani za unabii kama wa upako fulani, wakilisema jambo, linakuja kutimia!, kauli zao ni ama zina power ya umbaji ndani yake, wakilisema jambo kauli zao zinaliumba hilo jambo linakuja kutokea, ama wanakuwa wamepewa maono...
Back
Top Bottom