na rais

NA-173 (Rahim Yar Khan-V) (این اے-173، رحیم یار خان-5) is a constituency for the National Assembly of Pakistan.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    CCM yatia neno mashamba yaliyofutwa na Rais Samia Kilosa

    CCM YATIA NENO. MASHAMBA YALIYOFUTWA NA RAIS SAMIA KILOSA Shaka asema uamuzi huo ni wa kihistoria, umegusa maslahi ya wananchi Na Mwandishi Wetu Kilosa KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevunja ukimya baada ya Rais Samia Suluhu Hassan...
  2. Ndani ya siku chache toka aapishwe ,Rais William Ruto ataonana na Rais wa USA na mfalme Charles wa iii wa Uingereza.

    Wakati wenzetu wanapanga kuonana na watu wa maana ulimwenguni. Sisi wa kwetu wanaona sifa kupiga picha na baba yake Rihanna.
  3. Rais Ruto ameanza safari yake ya kwanza nje ya Kenya, atakutana na Mfalme Charles III na Rais Biden

    Akiwa huko, Rais atakaribishwa kwa chakula cha jioni na Mfalme Charles III na pia atahudhuria Ibada ya Viongozi wa dunia leo jioni Jumatatu, Ruto atakuwa miongoni mwa viongozi wa dunia watakaohudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II. Ruto ni kati ya viongozi 500, ikiwa ni pamoja na Rais Joe...
  4. Rais Uhuru akutana na Rais Mteule Ruto IKulu

    Rais mteule William Ruto saa hii anakutana na Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta na Ikulu, Nairobi. Ruto ameandamana na Mkewe Rais mteule Rachel Ruto. Ripoti zilionyesha kuwa viongozi hao wawili wanafanya mkono wa kibinafsi kabla ya kuapishwa kwa Ruto mnamo Jumanne katika uwanja wa Kasarani...
  5. Kenya2022 Ruto: Nina miezi sijazungumza na Rais Kenyatta

    Rais mteule wa Kenya, William Ruto ameweka wazi kuwa hajazungumza na Rais Uhuru Kenyatta kwa miezi sasa huku akiahidi kuwa atampigia simu kuzungumza naye. Ruto amesema hayo muda mfupi baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kutupilia mbali maombi ya kikatiba yalifunguliwa wiki iliyopita na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…