Kutana na Rais wa wanaume wanaopigwa na wake zao, Ndg Komba

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,314
24,177
1669556675009.jpeg

Wanaume tumeumbwa kuzitawala nyumba zetu.
Na hili ni pamoja na mke na watoto na wote wanaolala nyumbani mwako.

Na hii ndio maana ya kichwa cha familia.

Kuna huyu Ndg Komba, yeye si kichwa bali mkia wa familia.
Anaeleza kuwa , huwa anasokomezwa makonde mazito mazito na mkewe!

Mimi bado sijamwelewa vizuri ana tatizo gani!

Je wandugu hili tatizo lipo?
Na tunalitatuaje?
 
Kuna wanaoning’inizwa kisawasawa.
Wanawake hatari sana.
Kuna jamaa alikatwa dhakari kabisa kwa kudhaniwa anatembea nje.
 
Ni aibu kwa mwanaume kuongelea yanayomsibu nyumbani kwake lakini wengi upitia mateso makubwa Sana toka kwa wanawake wapumbavu.
 
Mzee mwenzangu upo timamu kweli?(sorry). Unampiga mkeo akikuua usiku au kukumwagia maji ya moto je?
Mimi tangu nijue jinsi ulimwengu wa giza unavyofanya Kazi najizuia kumpiga mwanamke hata anitukane vipi bora nikalale nje.Wengi baada ya kuua ile spirit ndipo uondoka ndipo majuto huja.Nani atakulelewa watoto wako ulimwengu wa sasa wa tabia za watu zimebadilika.
Kwann uishi na kichaa wakati wenye akili timamu wamejaa.
Wakorofi waoane wenyewe.
 
Back
Top Bottom