mzaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Mwigulu: Hakutakuwepo na mchezo wala mzaha kwa anayecheza na fedha za umma

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amesema hayo Machi 13, 2026 akiwa mkoani Katavi katika ziara ya kikazi, ambapo anatarajiwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.
  2. R

    Ona mzaha mwingine: MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ameti

    MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ametinga nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … Dk. Pandor, aliteuliwa na SADC kuwa mwalikishi wake maalum wa kushughulikia mgogoro wa kisiasa nchini Tanzania...
  3. Pakome

    Sikuwahi kufikiri kama Wanachuo wa UDSM wangefanya mzaha mkubwa kiasi, hii inaonesha dunia kuwa masihara ni sehemu ya maisha yao

    Sikuwahi kamwe kudhani kuwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kingekubali Wanachuo wake waoneshe uma masihara makubwa ya kiasi hiki Masihara haya yataeleza dunia kuwa ni kiasi gani Chuo hiki hakina hadhi Wamejitokeza Wanachuo wa UDSM wakaunda toy nakuita Robot Kujaribu sio kosa bali ni mwanzo wa...
  4. Logikos

    PostGE2025 Tulitumia gharama sana kufungua Nchi; Sasa tunajifungia kimzaha mzaha

    Tulijitenga na Mwamba, lawama tukamtupia na video tukatengeneza, sio moja tu bali tukatengeneza version mbili ya kule kuonyesha kwamba alikuwa katili na hamnazo na asiyesikia la mtu..., tukasema sisi huko hatuendi tunakwenda huku pengine...; Filamu tukaitangaza kuliko kutangaza kile...
  5. M

    Taifa tunalipoteza hivihivi kwa kufanya mzaha kwenye mambo ya msingi

    Walionywa hawakusikia, waliulizwa mambo serious wakatoa majibu mepesi. Wanaambiwa nchi inaibiwa wanatoa majibu ya kejeri na kuudhi, wakadiriki hadi kujitungia sheria za kulipa mafao wake wa wenza ilihali wamama wajawawazito wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora za afya, watoto hawana...
  6. Tlaatlaah

    Umahiri na weledi wa kisheria wa wakili Nassoro Katuga ni wa kiwango cha juu mno mahakamani, hacheki na mtu, hahitaji ushabiki, wala hana mzaha

    Muungwana ni mtu na nusu awapo mbele ya mahakama. Anajua wajibu wake ipasavyo. anayakabili majukumu yake vyema na kwa weledi wa kiwango tajika. Hababaiki, hatetereki wala hayumbishwi na yeyote awepo mahali pake pa kazi. Nassoro katuga sio tu mahiri wa sheria, bali pia ni mwamba na nguli wa...
  7. Hismastersvoice

    Zimamoto kufanya kazi ya uokoaji kwenye migodi ni mzaha, uachwe

    Tanzania ina migodi mingi sana lakini hakuna kikosi cha wataalamu wa uokoaji migodini! Tanzania inauhusiano wa miaka mingi, cha kushangaza imeshindwa kutumia uhusiano huo kwa kuwaomba watoe mafunzo kwa watanzania kuhusu uokoaji migodini. Afrika Kusini inao uzoefu wa uokoaji migodini kwa miaka...
  8. E

    Bodi ya Waandishi wa Habari (JAB) ina matamko mengi kuliko watu iliowahudumia hivyo waache mzaha

    Katika siku za hivi karibuni Bodi ya Ithibati kwa waandishi wa Habari Nchini(JAB),imekuwa ikijitokeza mara kwa mara kuonya waandishi wasiosajiliwa na Bodi hiyo wasijishughulishe au kufanya kazi yoyote ya kihabari mpaka watakapothibitishwa. Hili linaweza kuwa Jambo jema lenye kulinda hadhi ya...
  9. G Sam

    Mchengerwa anasema yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kulinda amani ya nchi. Mzaha si mzaha!

    Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe. Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari. Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi...
  10. GENTAMYCINE

    Tuendeleeni tu kulifanyia Mzaha hili Suala la Timu zinazomilikiwa na Mawaziri Waandamizi kuwapa Kiholela Uraia Wachezaji wao

    UHAMIAJI TANZANIA na TISS wala msiwe na wasiwasi hili Jambo ni jema mno kwa Taifa letu hivyo endeleeni tu Kulala na Kuliachia kwani litadumisha sana Utaifa na Uzalendo wetu wa Kihistoria sawa?
  11. Luhungu

    Suala la mtaala ulioboreshwa lisifanyiwe mzaha

    Shule zimefunguliwa takribani siku Nne Hadi Sasa na kwa uhakika wanafunzi wa Kidato Cha kwanza Wana miminika mashuleni. Uhakika uliopo ni kuwa wote wanakuja kuanza mtaala ulioboresha (alimaarufu mtaala mpay) Pasipo kupinga mtaala ulioboreshwa umelenga kupunguza changamoto za mwanafunzi...
  12. R

    Eti ni kwanini ndani ya BIBLIA hakuna simulizi za utani Wala mzaha, tunapata fundisho Gani?

    Salaam,Shalom!! Enyi Wana wa Mungu msomao BIBLIA, ni wapi umewahi kusoma simulizi yoyote yenye utani au mzaha? Yaani ukakuta Mungu akimtania Nabii wake, au Nabii alifanya mzaha Kwa wafuasi wake? Hii mizaha na utani wafanyayo watumishi wa Mungu wa Leo wakiwa madhabahuni wanaitoa wapi? Wana...
  13. Kabende Msakila

    SSH ni hazina ya nchi - MTU asilete mzaha na chokochoko juu yake - aendae tofauti tutamlaani kwa maneno na matendo

    Wana Jf, Salaàm! Nawaambia kuwa CCM tuko tayari kufanya kusikiliza wenzetu wanataka nn lkn siyo suala la Samia Must Go. Rais wetu yupo kikatiba - hatutaacha atoke kabla ya muda wake kuisha - yeyote mwenye fikra hizo aache mara moja. * Mchango wa SSH ktk elimu, afya, madini, siasa, Kilimo...
  14. K

    Kama mzaha hoja ya Mbunge Shabibi inaweza kutungiwa Sheria kuongeza maumivu kwa wananchi

    Akichangia mapendekezo ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Mbunge wa #Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Tsh. 2,000 kila Mwezi kwenye laini za simu na Tsh. 10,000 kukatwa kwa Wabunge, Wafanyabiashara na Wafanyakazi ili fedha hizo ziwe chanzo cha...
  15. Mjanja M1

    Video: Wamama wa Kiafrika huwa hawapendi mzaha mzaha!

  16. J

    RC Chalamila na mzaha wa kufikirika

    Ndio kwa utashi wangu nimeamua kumpuuza RC huyu wa Dar baada ya kujiridhisha kuwa hastahili nafasi hiyo. ni kubwa sana kwake, ajaribu shughuli nyingine Sina uhakika kama mwamba huyu anayafahamu au amezingatia kuwatumia wanajeshi 8000 kufanya usafi Jan 23 na 24. Kwa sababu:- 1. Wanajeshi 8000...
  17. Magufuli 05

    CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi wa 2025

    Kwa kuwa kumekuwa na kilio cha muda mrefu kwamba CHADEMA imekuwa ikihujumiwa na media nyakati zote hasa katika mikutano ya hadhara. Kwamba mikutano huwa haionyeshwi kwasababu ya maelekezo kutoka juu. Mimi nawakumbusha tu kwa vile najua hata nyinyi mwalijua hili kwamba kuwa na channel yenu ya...
  18. CK Allan

    Hadithi: Mzaha wa damu

    Wakuu! Nimerudi mapema kuliko nilivyotarajia. Hii ni kutokana na sababu kadhaa Mosi, nilifanikiwa kupata device nyingine japo sio yenye vile viwango nilivyotaka lakini inaweza! Pili , watu wengi wameonyesha upendo wa Hali ya juu kwangu! Kwa hivyo, nimekuwa nikipokeaa simu na jumbe nyingi na...
  19. GENTAMYCINE

    Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

    Kama kumbe kigezo cha kusajili Mchezaji siku hizi ni kwanza ajue kupiga kanzu, nawaombeni mje mnisajili na mimi GENTAMYCINE kwani pamoja na huu uzee (ukongwe) wangu wa miaka 60 sasa huku mitaani katika ligi zetu huwa napiga mno mikanzu kuliko hata Sewakubwa wenu. Halafu tukisema kuwa Yanga SC...
  20. blogger

    Mzaha mzaha....!!?

    Hutumbua usaa...
Back
Top Bottom