Wiki iliyopita Morocco waliotengeneza historia ya kuwa Taifa la kwanza Afrika kuingia nusu fainali ya Kombe la Dunia. Hatua hiyo imeifanya Simba wa Atlas kutengeneza historia ya soka lakini sasa inaisubiri Ufaransa katika nusu fainali.
Morocco wamebakisha mechi mbili tu kunyakua kombe la dunia...
Hizo Simu ambazo kila mara unapokea pokea tu kuwa nazo makini na Kesho chezesha kwa Haki sasa haribu ukione. Wenye Akili na Mapenzi na Mkoa wa Tanga tunajua kuwa Coastal Union FC ya Kesho itakuwa si ile Watu waliyoizoea bali ya Kesho itakuwa kama FC Barcelona au PSG FC kwa itakavyoupiga mwingi...
Kwa zaidi ya wiki nne sasa kumekuepo na mauaji ya kutisha sana wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga.
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba zaidi ya Watu wanne wameshauawa kwa nyakati tofauti huku wauaji wakiwapora victims wao except tukio la Jana Mei 23 la kuuawa kwa Mlinzi na wauaji kutokuchukua kitu...
Imekuwa mazoea sasa ambapo watu wanaopata huduma ya Dialysis pale Bugando kushindwa kufanyiwa huduma kwa kuambiwa kuwa vifaa havipo au havijafika.
Wagonjwa wa Dialysis idadi yao inajulikana na forecast inafanywa kwa kujua mahitaji lakini inafikia sehemu wagonjwa mpaka wanalala kwenye chumba cha...
Nyoka kikawaida ni muoga sana, anatumia mbinu rahisi sana kujilinda yaani kukimbilia kichakani, akiamini kwamba yupo sehemu salama na akifuatwa na adui atatumia werevu wake kumshambulia adui.
Katika mchakato wa kuua nyoka kichakani muuaji pia anatakiwa mbinu ya kuchoka kichaka ili hata wadudu...
SERIKALI IACHE MZAHA; KURUHUSU WATOTO WALIOPEWA MIMBA KURUDI SHULENI KUSOMA NI ANGUKO LA TAIFA LA KESHO.
Anaandika Robert Heriel.
Naiomba serikali, viongozi wakubwa msikie Jambo hili, tena msifanye mzaha. Huruma huruma za ajabu ajabu katika baadhi ya ishu ni hatari Kwa ustawi wa taifa...
Hamkutulia mfanye utafiti nini tija ya hii biashara na namna gani inaendeshwa, mkawakuta Fastjet na kuwatupia nje....yaani deni lote hili mbona linatia kiwewe...na bado mnasubiri mindege ije.
Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara: Kumekuwa na mzaha mzaha, unatoa maelekezo hata mheshimiwa Rais juzi ametoa maagizo watu wanaibuka wanazungumza mambo yao ambayo kwakweli ni makosa makubwa sana.
Sisi tunatakiwa kupata muongozo kwa kiongozi mkuu wa Nchi, Rais ni Taasisi, sasa...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, amewakumbusha Wananchi wanaoendelea kufanya mzaha juu ya janga la corona kuchukua tahadhari badala ya kulichukulia kwa wepesi jambo hilo.
Dkt. Gwajima ameyasema hayo leo akizungumza na waandishi wa habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.