mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Sio kwa Ubaya, ila Kutumia JWTZ kwenye mambo ya Kisiasa ni Jambo ambalo sioni kama Lina mwisho Mzuri Mbeleni

    Kumekuepo na tabia ukifika Uchaguzi au yakitangazwa Maadamno basi Utaona JWTZ mara wanafagia na Kusafisha mitaro. Sioni kama ili jambo lina afya mbeleni. Tumeona baada ya Kelele lukuki za kuhusu maandamano heti JWTZ nayo inafanya mazoezi na Askari kuweka Utayari wa mwili. Nitawashangaa sana...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye : Binam Nyama ya hamu mwisho ni miaka mingapi?

    Wajuvi na wanumbi naombeni maelekezo yenu. Uzi tayari
  3. JamiiForums Tanzania Zama za Uonevu na ufisadi zimefika mwisho

    CCM lazima iwajibike ipasavyo! Wale wote waliotumia madaraka vibaya, waliokwapua mali ya umma au kuvunja haki za wananchi, watakabiliwa na sheria. Hakuna aliye juu ya sheria — kila mtu atajibu kwa matendo yake.” Kesi zitakazochunguzwa ni pamoja na: Kesi za ufisadi na matumizi mabaya ya fedha...
  4. JamiiForums Tanzania Yawezekana Tanzania ikawa ya MwiSho kukombolewa, hata Burundi watatutangulia

    Nchi vijana wanakusanyika kuangalia tamthiliya kwenye cinema Vijana wanakubali haki yao kuporwa kwa sh elfu 5 tu Vijana ambao hawako committed wanatupa mpira kwa wengine kuwafanyia maendeleo Katika Afrika Mashariki Nchi itakayochelewa kukombolewa ni Tanzania , wananchi wamelala sana hasa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere

    18 October 2025 JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere https://m.youtube.com/watch?v=fiC1cODelxU “Jamhuri ya Plato” ni kazi adhimu ya falsafa iliyoandikwa na Plato, na hii ni tafsiri yake ya Kiswahili iliyofanywa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hii ndiyo kazi...
  6. JamiiForums Tanzania Shikamoo mama mara ya mwisho ulienda Sumbawanga mwaka 1997?

  7. JamiiForums Tanzania Suluhu hana suluhisho, ubabe wake umefikia mwisho, jukwaani anatoa mipasho, hoja zake hazina mashiko.

    Yule fedhuli mwenye roho ya korosho, Mwenye hoja zisizo mashiko, Anadhani katiba ni hadithi za esopo, Kila mara hutoa boko, Kwasasa amekosa soko, Kila kona mi miwasho, Mikali zaidi ya ile ya uamsho, Ataipata ya joto, Kiti kitawaka moto. Wahuni wenye mikoko, Wanaotegemea pisto...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana: Mwendokasi TANO zinasubiri abiria Mbezi Mwisho

    Wakuu, Serikali za kiafrika zina changamoto sana, kwamba bila kushinikizwa na vitisho haziwezi kujisimamia? Au ni kwa sababu ya uchaguzi, kwamba ukipita wakishapata "ridhaa ya wananchi" tutarudi kukekule? Hii inaweza kuwa danganya toto, watu wasihadaike maana hawa ccm wanajulikana kwa kuhadaa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Windows 10, The end is 14 October 2025, haya ndio mambo muhimu unayopaswa kuyajua na hatua za kuchukua

    A. Hakutakuwa na updates za Usalama (Security updates) – Virusi vipya na mbinu mpya za mashambulizi zitaweza kupenya kwenye mfumo wa Windows 10, ingawa antivirus kama windows defender itaendelea kupokea updates, Windows 10 kama mfumo endeshi haitaendelea kupokea updates rasmi zinazoweka viraka...
  10. JamiiForums Tanzania Uzi wa Kufahamishana Mafao ya Mwisho wa Mwezi

    Waajiriwa wengi hutegemea kupata mafao yao ya kazi ikifika mwisho wa mwezi, yaani mshahara wao. Hata hivyo kuna waajiri wengine, hasa serikali ya Tanzania, huwa hawatimizi makubaliano ya kuwalipa mafao ya mwezi waajiriwa wao inapofika mwishio wa mwezi. Uzi huu ni wa kuhabarishana kuhusu waajiri...
  11. JamiiForums Tanzania Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu

    Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu Ndugu zangu, wenzangu, wapenzi wa haki na uwajibikaji, Leo, tunakutana hapa kwa mioyo mizito na roho zilizojaa huzuni. Tunakutana kuzungumza kuhusu kisa ambacho kinatuacha na maswali mengi yasiyo na majibu, kisa...
  12. JamiiForums Tanzania Israel yagongomelea msumari wa mwisho kwenye Jeneza la Magaidi wa Hamas!!!

    Baada ya Majeshi shupavu ya Israel kushusha kipondo kikali kwa magaidi wa Hamas hatimaye usiku wa kuamkia leo wamekubali kwa hiari yao kuwaachia mateka waliowateka Oct 07,2023. Kukubali kwao kunatokana na mbinyo uliofatana na kipigo cha mbwa-koko wali ho kuwa wanapata toka walipofanya uvamizi...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29 hatutachagua mtekaji. Damu hizi zitakulilia mpaka mwisho wa uhai wako

    Wewe unayeteka watu nakwambia hautachaguliwa kwa matendo Yako haya. Na hizi damu za watu wasio na hatia wana wa Mungu zitakulilia mpaka mwisho wa uhai wako. Huwezi kuteka watanzania hivi halafu ukalala usingizi. Mungu huyu wa mbinguni tunamuomba kila siku akutendee adhabu kwa kiwango Cha...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Duniani kote wenye Mamlaka ya mwisho juu ya Nchi yao huwa wananchi

    Mamlaka ya mwisho kabisa iko kwa wananchi siku wananchi wa Tanzania wakijitambua dharau za Viongozi zitaisha viongozi wamejaa dharau sana kudharau wananchi kuwaona kama takataka. Hiyo inatokana na wananchi kutojua kwamba wao ndo wenye mamlaka ya mwisho ya kuweza kuondoa yale yanayowaumiza...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Kutoa shahawa mwisho wa haja ndogo

    Habari Wana JF Naomba anaefahamu hilitatizo linasababishwa na nn aniambie Kwani kunawakati nikienda haja ndogo kujisaidia wakati namaliza zinatoka shahawa naomba msaada
  16. JamiiForums Tanzania Mambo niliyoyaona kuelekea robo ya mwisho ya mwaka huu (vuli).

    1.Bomu/kombora au ndege ya vita kutoka angani kufyatuka na kwenda kuteketeza makazi ya watu... Tukio hilo litafuatiwa na au litaambatana uvamizi wa watu wenye silaha za moto sehemu flani. 2.Mvua kubwa inayoambatana na radi nyingi, inayoweza kuleta madhara kama yale ya hanang na baadae anga...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Guinea yafikia Mwisho wa Kampeni za Marekebisho ya Katiba, huku Upinzani Wakikosekana

    Septemba 18, 2025 mji mkuu wa Guinea, Conakry, ulijaa shughuli za kampeni huku wananchi wakijiandaa kupiga kura ya marekebisho ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa mapinduzi Col. Mamadi Doumbouya kutafuta urais. Shughuli mbalimbali zikiwemo kusoma Quran, tamasha za reggae na sala...
  18. W

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Museveni asema hii ndiyo mara yake ya mwisho kugombea Urais, kisha atamuunga mkono Bobi Wine

    Uganda president Yoweri museveni says this is the last time he is vying for presidency in Uganda, urges Ugandans to come in large numbers and vote for him for the last time.
  19. JamiiForums Tanzania Tunaweza tengeneza dawa ya ebola na marburg ya kutibu symptoms hii fedheha inatakiwa ifike mwisho

    Maginjwa ya ebola, na marbug yamekuwa yakiitesa sana East afrika hasa DRC, kwa mbali Rwanda, Burundi na Uganda ila kituko tunasubiria huruma za nchi za magharibi watutengenezee dawa to be honest hiki ni kituko Yaani tatizo lipo nyumbani kwako unamsubiria mtu wa mbali ambaye hata haishi hapo...
  20. JamiiForums Tanzania Polepole: Wanatubagaza, wanatubananga, na mwisho wanatutindinganya

    Comprado... Hatutaki matajiri wapiga Dili, mtu mmoja anafanya kitu kinaitwa Transfer price faida anapata yeye in return kuwaumiza watanzania haswa wenye kipato Cha chini Kumbe yule bwana ndio alimshauri Mkapa mambo ya bima ya afya...dah..ndio mana bima ya afya ni kizungumkuti Jana Leo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…