Ayatollah: Iran haitakubali kusurrender, itapambana mpaka mwisho

Watery

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
2,729
Reaction score
3,511
Ni tangu vita vianze hajaonekana adhalani ila leo kaonekana kanena maneno kadhaa

Kwanza kasema Iran haitasurrender kwa Israel, adai anapambania haki na uhuru, hii ni baada ya Marekani na Israel kusema ajisalimishe kwa wema

Kasema hakuna kipengere cha UN kinasema hapaswi kurutubisha Uranium kwa matumiz ya umeme

Kasema hakuna ushahidi wowote ulioonesha Iran inatumia Uranium kwa matumiz mabaya ya kijeshi

View: https://youtu.be/SosjKO6y1pA?si=aHhw7mzRd5Idakbe
 
Si wanasema Marekani ana nguvu, sasa mbona Israel inaunguzwa moto na wao hawana ubavu wowote wa kuwasaidia!!??
 
Hizo ni teke za mwisho za farasi anayekufa, huyo mzee ameamua kwenda kulakiwa na mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo na ni swala la muda tu ataingia kwenye tanzia.

"Meanwhile, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu told ABC News on Monday that he was not ruling out assassinating Iran's Supreme Leader Ali Khamenei."

"Netanyahu claimed that doing so was "not going to escalate the conflict, it's going to end the conflict", a statement echoed by Trump on Tuesday when he also used “end” in his statement."
 
Unaweza kuta yy ndio snitch wa Iran.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Sema amekuwa mnyonge
Si mchezo kujua muda wowote adui akiamua unaweza zimishwa.

Umejificha zako sehemu unayoamini ni ya siri sana halafu wahuni huko nje wanatangaza wanajua ulipo na kukuita 'an easy target', na ukizingatia uwezo na historia yao kwenye ishu hizo. Unaweza kupoteza uzito hata kilo 6 kwa siku moja hata kama wanapiga mkwara tu na hawajui ulipo.
 
Sijawah ona mtu mwenye mikwara na maneno yakukatisha tamaa kama trump.
Yani kauli zake zikimpata mlengwa lazima achanganyikiwe

Nakumbuka kipindi cha nyuma kim jong un alikua anapenda sana kutest silaha zake na kuwatisha mahasimu wake, siku moja trump alimwita mr. Rocket man....tangu siku hiyo ndo ikawa mwisho wa n.korea kurusha hovyo rocket zake

Nadhani kile kijembe kinamuumiza sana rais wa N.k mpaka leo
 
😁😁Trump tajiri tena la kinyamwezi lakini mhuni kama akina mzee Magoma wazee wana kurujuan, ila kwenye vitendo huwa almost ni 0

Kwenye hii show ni vile ka combine na akina Netanyahu ambao huwa ni action hawajui maneno mengi, otherwise kwa biti za Trump hakuna lolote lingewapata Iran.
 
Back
Top Bottom