mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uwanja wa KIMATAIFA Chato ulipokea wageni wa kimataifa mara ya mwisho mwaka 2021

    Uwanja wa hadhi ya kimataifa, haujapata ugeni wowote wa kimataifa tangu Mzee wetu JPM afariki mwaka 2021. Hakuna watalii Wala tukio lolote la kimataifa. Kwa nini ulijengwa kwa hadhi ya kimataifa na mataifa hayafiki hapo uwanjani? Au walijengewa watu wa mataifa(wakristo watanielewa)
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe amejitahidi kuifufua CHADEMA ila Lissu ndio kapigia jeneza msumari wa mwisho!

    Bila shaka huko aliko Mwenyekiti Mbowe anauma mdomo na kugonga meza kwa maboko anayotoa lissu kwenye majukwaa hivi sasa. Mwenendo,kauli na maneno ya lissu kwenye majukwaa mbalimbali yanaashiria ameathirika kisaikolojia na inawezekana ana magonjwa mawili kati ya haya.... 1-PTSD 2-BDD magonjwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kilichopo nyuma ya mzozo wa Niger vs ECOWAS, EU na Nigeria

    Kama ulikuwa unajiuliza Kwanini UN,EU ,NATO, Nigeria na Marekani zipo so aggressive kwa kile kinacho endelea west Africa hasa Niger ngoja sasa nikuambie kwa ufupi. Baada ya mzozo wa Ukraine na Russia nadhan utakuwa unakumbuka EU iliweka vikwazo vya kutonunua gesi ya mrusi , lakini baadae...
  4. JamiiForums Tanzania Tabia ya Magari ya Mwendokasi hasa Kimara Mwisho hadi Kibaha kutotaja majina ya vituo njiani ni kero kubwa

    Nina malalamiko kuhusu magari ya Mwendokasi, nina mambo mawili, la kwanza ni kuhusu kutotajwa kwa majina ya vituo, tabia hii ilianza mdogomdogo na hatimaye imekuwa kawaida. Ni kama vile wanaamini kila anayepanda Mwendokasi basi anajua vituo na anaijua Dar vizuri. Katika vituo vya hatikati ya...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyemuua, kumtupa mwanafunzi UDOM ahukumiwa kunyongwa

    "Ni kweli nilimuua Happiness na nilimuua Kigamboni mji mpya nyumbani kwetu kwenye chumba ninacholala,” hii ni sehemu ya maungamo ya muuaji wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Happiness Fredrick. Idrisa Mwangobola ambaye Ijumaa iliyopita alihukumiwa kunyongwa alieleza hayo katika maelezo...
  6. JamiiForums Tanzania Mara yako ya mwisho kuangalia movie za kihindi ilikuwa lini?

    Me mara yangu ya mwisho kuangalia movie za kihindi ni mwaka 2017 ilikuwa movie moja hivi inaitwa 'Shanklaj' Kwenye hii movie bana starling alipiga teke tembo, hadi tembo ikapaa, nikasema sitokaa tena niangalie Hindi movies. wewe kwa upande wako ilikuwa lini? au bado unatazama.
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single mwisho miaka mingapi? Isijekuwa nishapitiliza.

    Wakuu tujuzane hapa , naona Kama nishapitiliza, au niendelee tu kuwa single.
  8. JamiiForums Tanzania Mishindo inayovurugika kileleni, weka hapa kisa chako cha tukio lililokuvuruga kituo cha mwisho.

    Kuna muda huwa kuna matukio yanatokea pindi tunapofika ama tunakaribia kileleni, mshindo unavurufika kabisa. Nikianza mimi kuna siku nikiwa nakaribia mshindo ghafla simu ya dem ikaanza kuita kaweka ringtone ya wimbo Solomo Mukubwa ule una mashairi "wanipa tumaini la maisha", kiukweli hata...
  9. JamiiForums Tanzania Mwisho wa siku tutawauliza CCM mlikuwa mnatetea mkataba wa bandari wa dpw kwa maslahi ya nani na kwa maslahi yapi ya ziada?

    Daaaaaaaaaah Kuna maslahi gani ya ziada kati ya CCM yetu na mkataba wa DPW ?? Budget ya hii mikutano kuhusu kinachoitwa ELIMU ya mkataba wa DPW imetoka wapi ?? Kwanini imekuwa ghafla na kwa CCM kufanya uamuzi wa ajabu ambao haujapata kutokea wa kuzunguka NCHI kuelezea mkataba mmoja tu ...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya saluni ya Taliban: Wanawake wa Afghanistan wanaomboleza mwisho wa huduma iliyothaminiwa

    Marufuku ya saluni ya Taliban: Wanawake wa Afghanistan wanaomboleza mwisho wa huduma iliyothaminiwa. Siku moja kwenye saluni iliwaruhusu wanawake wa Afghanistan kuzungumza katika mazingira tulivuImage caption: Siku moja kwenye saluni iliwaruhusu wanawake wa Afghanistan kuzungumza katika...
  11. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

    Kwa furaha kubwa kabisa napenda kuwataarifu wana JF kuwa kwa tukio litakalotokea leo tarehe 24/07/2023, mjadala wa Dp world ndio unafika mwisho, tujipongeze wote tulioshiriki. Ahsanteni sana. ========== Mdau mwingine pia aliandika: =====
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa aliyefanikiwa kutuma maombi HESLB anielekeze

    Kwa ambae amefanya maombi ya mkopo mpaka mwisho mwaka huu 2023 HESLB. Atuambie amefanyaje maanake hii system mpya hatuielewi.
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa mwisho kwa Simba kuhusu usajili

    Habari wakuu, Moja kwa moja niende kwenye mada, lakini nitoe angalizo kuwa napenda mada yangu usomwe na watu wenye akili timamu na kujibiwa na watu wenye ufahamu. Binafsi ninahuzunishwa sana na baadhi ya sajili kwenye Klabu yangu pendwa ya Simba. 1. Usajili wa mawinga kumi na moja. Saido...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yapewa nafasi ya mwisho kesi vigogo wa bandari

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa nafasi ya mwisho kwa Serikali kabla ya kutoa uamuzi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande na wenzake watano. Hatua hiyo inatokana kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 38/2022...
  15. JamiiForums Tanzania Waarabu wajanja sana walishapiga hesabu kuwa mafuta yana mwisho wa kuchimba

    Then baada ya mwisho wa kuchimba deposits za mafuta, zitakuwa zimeisha sasa wanatengeneza mikataba ya kilaghai ili ku meet future economic demands maeneo mbali mbali ili kupata future ecomonic sources of income hapo baadae when oil deposits runs out aisee.
  16. JamiiForums Tanzania Utafutaji ni mgumu nawashanga watumishi wa serikali wenye uhakika wa kuvuta mshahara kila mwisho wa mwezi japo ni kiduchu wanashindwa kushukuru

    Habari ya sikukuu Mtoko wangu wa leo sikutaka kwenda kuponda raha niliingia hapo mbezi stendi kuangalia hawa ndugu zetu walio jiajiri ili nijifunze vitu vipya ambavyo sivijui hawa watu wanaamka saa kumi za usiku na kulala mida mibovu sana middle of the night aisee utafutaji wao ni mgumu sana...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Jonas Gerald Mkude, ni mwisho wa zama zake?

    NIMEKUMBUKA miaka michache tu iliyopita, Simba walikuwa wanapigania maisha yao kwa Jonas Gerald Mkude. Wakati huo mkataba wake ulikuwa unakaribia kumalizika Simba na Yanga walikuwa wanahaha kumnasa Jonas. Simba walilazimika kutoa kiasi cha shilingi 80 milioni kuinasa saini yake kwa mkataba wa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia atumie kete yake ya mwisho kumaliza utata wa bandari

    Mpaka sasa tumeachwa gizani hatujui mustakabali wa nchi yetu swala la mkataba wa bandari upande wa utetezi ukimsikiliza Mheshimiwa waziri mkuu ,waziri wa ujenzi na uchukuzi,na msemaji wa serikali hawa wote nimewasikiliza kauli zao kila mtu kila mtu anasema lake lakini bado hawakati kiu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Turufu yetu ya mwisho kujitoa mkataba wa DP World ni kuwakata waliohusika kujadili na kusaini kwa tuhuma za rushwa

    Kama mkataba ni mbaya na ni wa milele, Turufu yetu ya kwanza kujitoa ilikuwa kupingwa na bunge ingekuwa wazi kwamba mchakato wa kisheria haukamiliki kwa mtu mmoja kutia saini. Hiyo wabunge wetu wanajigamba kuwa magwiji wa sheria hawakuona. Sasa ni kuunda timu ya kuchunguza ambayo itaibuka na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…