Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,009
- 2,197
Kama ulikuwa unajiuliza Kwanini UN,EU ,NATO, Nigeria na Marekani zipo so aggressive kwa kile kinacho endelea west Africa hasa Niger ngoja sasa nikuambie kwa ufupi.
Baada ya mzozo wa Ukraine na Russia nadhan utakuwa unakumbuka EU iliweka vikwazo vya kutonunua gesi ya mrusi , lakini baadae kikwazo hiko kikaja kuwa ni mtihan mzito kwa baadhi ya wanachama wa EU kwa ufupi ilishindikana.
Sasa baada ya kukaa chini na kufikiri kwa kina wakaja na mkakati wa kutafuta mbadala wa gesi ya mrusi, ndipo wakaigeukia Africa ikaandaliwa project ya Trans Saharan Gas Pipeline ambayo itasafirisha gesi kutoka Nigeria to Europe
Niger ilikuwa sehemu ya mradi huo ambao ungesaidia EU kureplace gesi ya Urusi.
sasa kwa situation unayoendelea sasa ni wazi kwamba mpango huo utacheleweshwa au usiwepo kabisa kwasababu tayari Russia inanekana imeshatia mikono maana juzi tu viongizi wa Africa walienda Russia na mara mapindizi na sasa inahofiwa Wagner group(Russia kwa kivuli Cha Wagner) inaweza kupewa mkataba wa ulinzi Niger
Hali inayoendelea sasa kwenye mzozo wa Niger.
-Niger, Mali, na Burkina Faso walikuwa na mkutano nchini Mali kujadili uwezekano wa kutumwa kwa haraka kwa vikosi vya WAGNER nchini humo.
- UN imeipa green light ECOWAS kuingia Niger .
-EU ipo tayari kuisadia ECOWAS kubabiliana na Niger.
-Nigeria imetuma jeshi lake la anga hadi kwenye mpaka wa Niger.
-Marekani inashusha shehena za silaha kuizunguka Niger na ndege zake za kivita na zimetayarishwa kwa mashambulizi (Marekani Ina askari wake 10k wapo Niger)
Hii vita ni kubwa kuliko unavyofikiria ni vita vya kupigania maslahi zaidi.